Search results

  1. L

    ntapata starlet kwa bei gani mtaani

    leta 4Mil nikuachie mzigo. nitumie email yako nikutumie picha
  2. L

    Starlet for sale

    am selling a starlet (1995, manual), its in a good condition. its KM reading is 155,000 the last price I can accept is 4.0 million no negotiating below that unless you what to offer a higher price due to the good condition of the car. serious buyers get me on 0713262798 or lkawamala@gmail.com. I...
  3. L

    Kwa hili upinzani Bungeni unasubiri nini?

    Japo mimi ni kipenzi kikubwa cha hotuba za baba wa taifa hasa pale alipokuwa anajaribu kutumia lugha nyepesi nyepesi kuzima mambo makubwa yaliyokuwa yanatishia amani ya nchi kwa umakini mkubwa. Ila sijawahi, wala sitawahi hata sikumoja kuunga mkono falsafa yake ya kufanya Tanzania kuwa socialist...
  4. L

    Procument Assistant Required

    I have all the qualifications and on top of that I have advanced Diploma. catch me on lkawamala@gmail.com. right now am doing part time at the Ministry of Labour
  5. L

    ATCL: Another Richmond!

    UFISADI ATCL – JK IOKOE KAMPUNI Sisi wananchi tuliyo ndani na nje ya ATCL tumeona hatuwezi kukaa kimya tukiangalia jinsi kampuni inavyoangamia kwa ufisadi wa kisayansi. Ufisadi wa kisayansi kwa sababu wanaofanya ufisadi huu ni uongozi wa kampuni kwa kutumia nafasi zao za madaraka na kujifanya...
  6. L

    Mrema akagombee Arusha!

    kumbe kila aliyepitia CCM ni fisadi? hata mimi niliyempa JK kura ni fisadi? Mrema siyo fisadi bwana mbona alikuwa kinara wa kuwaumbua vigogo wa ccm enzi zake? bado akaondoka na kuacha ulaji ndani ya chama tawala?
  7. L

    Seif atoa masharti ya kurejea CCM

    Samahani wakuu ngoja kwanza nimalizie kucheka maana nimeisoma hii habari kwenye Nipashe ya trh 12/10/07 imeniacha hoi kweli kweli. okay ngoja uhondo kwa kukandamija habari kamili (kicheko kimeisha) Katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF amesema atarejea kwenye chama tawala cha CCM kama atapewa...
  8. L

    Nani alijua Kapuya anamiliki mgodi wa madini?

    kweli kuna wananchi na wenyenchi. Hawa viongozi wana mali, wanataka tena uongozi, bado wanataka kufika hadi ikulu sasa najiuliza wakitoka huko watataka pia hata kufika mbinguni kwa kutumia their bloody money. loh! hebu wajionee aibu, watanzania wangapi wanakula mlo mmoja kwa siku? wajawazito...
  9. L

    Karamagi na wanasheria wake watupiana mpira kuhusu tuhuma za ufisadi.

    Waziri aliyetuhumiwa ufisadi adai fidia ya Sh10bilioni Source:Mwananchi 10/10/07
  10. L

    Kikwete on Channel 10

    hilo changa la macho kama Dr Slaa naye anasababisha inflation then thas too much to think of. kama rais anadiriki kushika cheque feki sijui hao viongozi wenzake kazi wanayofanya
  11. L

    Jinsi Habari Muhimu za Tanzania Zinavyopatikana kwa Bei Kubwa

    its a good idea kuchangia lakini nyie mliopo ughaibuni kumbuka lifi lilivyo tight huku mascan, yaani mtu anajikusanya kweli kweli kupata buku moja ili aingie internet cafe kupata habari au kutoa duku duku lake kwenye JF sasa ikija hiyo la dola 10 sijui itakuwa kwa mwaka au mwezi naona wanachama...
  12. L

    Kikwete on Channel 10

    Huyu Jk mbona anakuwa kama chamelion? leo anasema tunarudia mikataba wapumbavu wake wanakimbia kusaini mikataba hiyo hiyo bado anawatetea nakutoa stupid smiles, alitwambia tutaje wanaohujumu uchumi na majambazi mpaka akatupa namba za simu, lakini leo hii anatugeuka nakutwambia eti tusiwe...
  13. L

    Njia Ya Uhakika Ya Kutibu Ufisadi Ni Hii

    kweli mkuu hawa bila mgomo kama wa Burma hawawezi pisha ofisi zao maana polisi, takukuru, mahakama, jela etc vyote wanamiliki wao
  14. L

    Mawakili Medium Mwale na Loom Ojare ni majambazi?

    Inawezekana wanamegewa kidogo na hayo majambazi, ila siwalaumu sana mbona mkono naye anatetea mafisadi? Hivi sheria inaruhusu kumtetea mtu yeyote hata kama jamaa anarekodi ya ujambazi? Hawa wanasheria watajibu nini kwa Mungu siku ya hukumu?
  15. L

    Nawahabarisha mambo kadhaa...

    thanks mwanakijiji for your effort, naomba usilegeze kamba uzi ni ule ule mpaka kieleweke. sisi tunachoomba ni uzima tu maana under the sun nothing is impossible.
  16. L

    Nawahabarisha mambo kadhaa...

    well done mwana kijiji, sisi tupo pamoja nawe tuombe uzima tu maana under the sun everything is possible may God bless u and add you more where you loose
  17. L

    Wana JF, Naomba Tumjibu Mhariri wa HabariLEO, Kwani Anauliza; KWA VITISHO HIVI...

    kwli hii nchi haina viongozi wala rais maana hali halisi inaonesha, hivi huyo mhariri alikuwa anakusudia nini? hata kama nikutetea ugali kwa style hiyo hapana, inamaana hata EL huwa anawaweka vitimoto waandishi wa habari wa serikali? kwahilo sidhani mimi nafikiri nikujipendekeza kwa baadhi ya...
  18. L

    Je huu ni ubaguzi au ubinafsi?

    mbona madaktari walisema hatapelekwa kutibiwa nje pindi tu alipofikishwa hospitali? au ndiyo fasheni ya kila kiongozi kwenda nje pindi anapo umwa? Naje hizo fedha zinatoka kwenye mgodi wake au kwenye fedha zetu sisi walipa kodi? mbona serikali haichangii wagonjwa wa moyo wanaopelekwa India kwa...
  19. L

    Karipitalization of Tanzania - who will stop it?

    kwani hao wapumbavu akina karamavi wameshakuwa na uelewa wa madini mpaka wakimbie nakusahau viatu vyao eti wanawahi wawekezaji wasije wakakosa fursa hiyo? mbona baba wa taifa alikuwa na subira na bado uchumi wetu kipindi hicho haukuwa mbaya kufikia wa sasa?
  20. L

    Vyombo Vya Dola Hovyo!!!

    ccm haina lolote kiama kinakuja 2010 wamezidi kutetea mafisadi, kwao muuaji ni mtu safi kwa chama chao. ila nafikiri hata mbinguni wana adhabu ya kujibu siku watakapofika huko
Back
Top Bottom