Search results

  1. B

    Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight

    Tuachane na fikra potofu na tumpime individual na mchango wake kwetu. Tutafika mahali tutawakosea hata waliotuzaa na kuwaita washamba kwa sababu tu hawachomekei kama wewe. Please stand corrected.
  2. B

    How to use JamiiForums effectively

    Help me change my username. It is too conspicous not that I intend to hide.
  3. B

    Chadema kaeni njoo..tunamalizia kuwatimua mafisadi ndani ya ccm...

    Naamini kwamba kufanya mageuzi ya kweli ndani ya CCM ni kufanya mapinduzi ndani ya serikali. Kwa CCM inawezekana? Kinachosemwe ni mbali na matendo halisi. Propaganda ipo wapi - CCM au CDM?
  4. B

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Mimi sasa ni babu kweli wa vijukuu. Halina maana nyingine.
  5. B

    Inasikitisha askari polisi kuendesha pikipiki bila helmet au kumpakia abiria bila kuvaa helmet

    Hili limenigusa kwenye kidonda cha siku nyingi. Tatizo hapa ni sheria kawekewa nani - sisi au wao na sisi. Hiyo haitoshi. Kofia nyingi ambazo zintumika kwa sasa hazimlindi mwensha pikipiki. Ni nyepesi mno kiasi kwamba ikidondoka inapasuka - kichwa je? Mamlaka husika ya viwango inasubiri mtu...
  6. B

    TCRA on spot over mobile call congestion

    Ikiwa TCRA ni waangalizi waliogeuka watazamaji inabidi nayo itafutiwe mwangalizi au iundiwe tume? Imefika wakati menejimenti zote zinazonekana zinalegalega zipewe contract. Tunakoelekea ni kwamba tutalumbana wakati dawa ni management by contract. Mbona tutawatimua wengi tu. Kwa sasa kama...
  7. B

    Tanzania ni nchi pekee duniani inayojiendesha yenyewe bila Rais

    The thread has a point. The comments lack mwelekeo. My observation is: what now? As per our constitution we put him there albait the numbers do not reflect the reality. Lets come up with tangible solutions not malalaiko day in day out! Maisha ya waTanzania wengi yapo njia panda na wachache...
  8. B

    Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

    Sirikali yetu kwa sababu ya udhalimu wao inabidi kila wafanyalo ni siri juu ya mgongo wa (usalama wa taifa). Hii itatupeleka pabaya.
  9. B

    Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

    Naona na hili ni janga la kipekee la taifa. Nina wasiwasi basi hili lilibebe petroli. Haiwezekeni gari ya dizeli iteketee kwa muda mfupi. Serikali ina nyenzo zote. Sasa mabasi yote ya abiria yazianze safari bila ya ukaguzi na udhibitisho wa ukaguzi huo. Askari wote wa barabarani wafanye kazi...
Back
Top Bottom