Search results

  1. D

    Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

    Kigogo akamatwe kwa kosa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Hiyo mi askari yenye mitumbo mikubwa imekalia kupokea rushwa tu, huwa haitosheki, FYEKELEA MBALI Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    ACT Wazalendo msifanye makosa Uchaguzi 2020

    Wanasiasa wanatuchezea akili, wote lao moja, kuchumia matumbo yao na familia zao, kujilimbikizia mali na kutafuta umaarufu tu.SIONI HAJA YA KUSUMBUKA KUPIGA KURA MIE Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    TANZIA Babu Njenje Mabruk amefariki dunia alfajiri ya leo

    R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Kwanini huu utawala unatumia nguvu kubwa sana kujisifia?

    Ni uzwazwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Kwanini huu utawala unatumia nguvu kubwa sana kujisifia?

    Uzwazwa unawasumbua Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Yu wapi Malebo aliyeimbwa na Pastor Munishi?

    Yupo kwake Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Kama CHADEMA inashindwa kuongoza wabunge wasiozidi ishirini ! Ni vipi wanatudanganya wanaweza kuongoza Watanzania million 60? Watanzania tuwe makini

    CHADEMA ni taasisi,maamuzi yote yanayofanywa pale si ya Mbowe kama baadhi ya mamluki wa upande ule mnavotaka kutuaminisha.Mnahoji maamuzi ya CHADEMA,nyie mlipomtimua MEMBE kisa ana nia ya kugombea Urais mliulizwa na nani?ACHENI UZWAZWA Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    NDUGAI UPEWE VYEO VYOTE,USPIKA,UENYEKITI WA VYAMA VYOTE,USAJILI WA VYAMA NA UMBEA Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Ndugai acha kiherehere,maamuzi ya CHADEMA yanakuhusu nn?Wewe ndo unawapa kiburi wasifuate taratibu za Chama,angalia ya kwako huko kijani njano party Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    Huyu jamaa nashindwa kuelewa hichi kibri anakipata wapi!Inavoonekana yuko juu ya sheria huyu ndugu Bashite.Amekuwa anatoa matamko ya ajabu na hovyo kila kukicha.Mara mwanamke atakayepigwa na mumewe,apigiwe simu,utapokea simu za wanawake wangapi hapa Tanzania?Mara wanawake waliotelekezwa akutane...
  12. D

    Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

    Wako kazini,kujipendekeza ni kazi inayolipa sana awamu hii ya gwala Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Ni muda wa kuwapumzisha jumba la makumbusho hawa FWISI EMU Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

    Tatizo la covid 19 limewafanya hata madaktari wawe na hofu muda mwingi,tusiwalaumu sana,nyenzo za kukabiliana na hili janga bado ni changamoto kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Kwanini viongozi wa upinzani wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kuliko wa chama tawala?

    Wale wa majani ya mboga wanamtukuza mjomba kwa kila jambo hata upuuzi ili wasitumbuliwe Sent using Jamii Forums mobile app
  16. D

    TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Ni pigo kubwa kwa TBC na tasnia ya habari kwa ujumla,R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  17. D

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mtandao wa hovyo sana huu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. D

    Makonda: Kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua Dar kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamisha safari

    Hili jamaa huwa ni zigo kweli, cjuo uncle huwa halioni? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom