Search results

  1. 1

    Thamani ya msichana asiyekwenda shule ni ng'ombe watano!!!

    News-RT ya Russia imekuja na mpya...kwamba watoto kadhaa wa kike nchini Tanzania huozeshwa wakiwa watoto wadogo wengine hata umri wa miaka 11...Inaelezwa kuwa wako wazazi wakipewa ng'ombe watano kama mahari wanamuozesha mtoto wa kike na kwamba hawezi tena kwenda shuleni....Nimeipenda makala...
  2. 1

    Tangazo la TRA kuhusu risiti lirekebishwe

    Mwenzenu nimekuwa nakwazika na lile tangazo la Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA) linalotolewa na baadhi ya vituo vya televisheni kuhusu umuhimu wa kupewa risiti unaponunua mahitaji yako dukani...Yule mwenye duka (wa kwanza) ana lafudhi ya watu Fulani kutoka eneo moja nchini mwetu...Huyu mwenye duka...
  3. 1

    Huko Marekani weusi wanakwisha

    US protests after police shooting of black man in Louisiana Protests broke out near the scene of the shooting Protests have taken place in the US state of Louisiana after a video emerged appearing to show two white police officers holding down and shooting dead a black man. The incident took...
  4. 1

    Mugabe awabwatukia wazungu

    Mugabe awabwatukia wazungu Kama ilivyo kawaida yake, mwana wa Afrika, Rais Robert Mugabe, amewabwatukia wazungu katika hotuba yake kali kwenye mkutano wa wakuu wan chi za Afrika huko Addis Ababa. Hotuba ya Mugabe ilikuwa ni ya kukabidhi madaraka kwa Mwenyekiti mpya wa AU, Rais Idriss Deby wa...
  5. 1

    Kumbe panya ni kitoweo safi kwa nchi nyingi

    The countries where rats are on the menu Before going to sleep, you ought to make sure no food is left forgotten somewhere on the floor or table. Otherwise, you may end up with some familiar and unwelcome guests: rats. Just a glimpse of a furry rodent is enough to inspire revulsion and...
  6. 1

    Hivi inakuaje baadhi ya watu hucheka pale ajali inapotokea?!

    Kuna jambo ambalo binadamu wengine na hasa Watanzania siwaelewi kabisa. Hivi karibuni nilikuwa Tarakea, Rombo kwa shughuli muhimu yakifamilia. Mimi sitoki huko kaskazini lakini mmoja wa familia yetu anauhusiano wa karibu huko. Basi nikiwa hapo Tarakea nikaamua kuwatembeza baadhi ya...
  7. 1

    Utumbuaji majipu kwenye vyombo vya habari

    Mpaka sasa tunaona kinachoendelea katika taasisi mbili nyeti -TPA na TRA-kuhusu utumbuaji wa majipu kwa watendaji waovu, wabadhirifu, wezi, wazembe na mafisadi. Hatuna shaka moto huu utaendelea kwenye taasisi nyingine. Vyombo vya habari nchini vimekuwa mstari wa mbele kutupasha kinachoendela...
  8. 1

    What they say about us following the inauguration of MAGUFULI (PhD) as our new president

    #WhatWouldMagufuliDo sparks new bout of Tanzaphilia Posted on November 30, 2015 by Hanno Brankamp A few weeks into his presidency, John Magufuli?s moves towards free education, anti-corruption and belt-tightening are already recalling memories of Julius Nyerere. Sisters...
  9. 1

    Wasemavyo kuhusu uchaguzi wetu

    Tanzania's ruling party looks set for poll win, opposition cries foul By Drazen Jorgic and Fumbuka Ng'wanakilala 21 hours ago     Content...
  10. 1

    Jee Prof. Lipumba naye kujitokeza hadharani na kutoa ya moyoni?

    Jana tumeona na kushuhudia Dr. Slaa akitoa ya moyoni kuhusu Lowassa na Sumaye. Je, Profesa naye atajitokeza na kusema yake kwanini aliamua kujiuzulu uenyekiti wa CUF. Na kama akifanya hivyo hemu tujadili na kubashiri kile atakachosema profesa huyo wa uchumi.
  11. 1

    Mchuano kati ya Wasira aka Tyson na Ester

    I am just curious. I just want to know. Mchuano kati ya 'Tyson' Wasira na Esther Bulaya ukoje hapo Bunda? Hawa wawili walikuwa wanapigana vijembe sana bungeni. Upepo ukoje hapo Bunda? na hasa baada ya esther bulaya kushindwa kwenye kura za maoni za CHADEMA lakini akarejeshwa na aliyeshinda...
  12. 1

    Hali itakuwaje siku tatu baada ya Oktoba 25, 2015

    CCM walizindua kampeni yao jana. UKAWA na vyama vigine bado hawajazindua kmpeni zao. Uchaguzi wa mwaka huu ni wazi utakuwa mgumu pengine kuliko wa 1995. Kura zitapigwa Oktoba 25. Jee, yupo anayeweza kutabiri siku tatu baada ya uchaguzi zitakuwaje?? siku tatu za mwanzo ni zile za kusubiria...
  13. 1

    Hivi hawa wapiga debe wa kituo cha Mbezi mwisho wanatumwa na nani?

    Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi lakini sipati majibu.  Pale kituo cha mabasi mbezi mwisho kuna wapiga debe ambao wana nguvu kubwa utadhani wao wana serikali yao.  Dala dala haiwezi kupakia  abiria mpaka wairuhusu.  Kila dala dala inalipa sh. 2,000 kuwapa wapiga debe...
  14. 1

    Hivi waandishi wetu wa habari wakoje? Kwanini wanafanya makosa ya aibu ya kiuandishi?

    Kwenye gazeti la leo la Mwananchi toleo Na. 5319 la Februari 15, 2015 nimeona kioja kikubwa na cha aibu. Kwenye ukurasa wa 37 kuna habari ya kimataifa yenye kichwa cha habari: Urusi kutengeneza ndege ya kubeba nyingine 100. Intro au paragraph ya kwanza inasema hivi: Serikali ya Urusi...
  15. 1

    Truck driving may be America's most popular job

    According to a new analysis of U.S. census data by NPR, by some measures truck driving just might be the most dominant job in America. In 29 states truck drivers made up the majority of full-time working adults in 2014, NPR found. The trucking industry, it seems, is immune to the effects of...
  16. 1

    Ni gazeti lipi linasema ukweli Tanzania?

    Nimekuwa nikipata tabu kuhusu ni gazeti lipi linasema ukweli na inafaa tuliamini hapa Tanzania. UHURU ndilo gazeti kongwe lakini linaegemea mno CCM na serikali yake na hasa wakati wa uchaguzi. CCM linamilikiwa na CCM. DAILY NEWS nalo ni la serikali na habari zake nyingi ni za kuifagilia...
  17. 1

    Kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wetu kijamii, kisiasa na kiuchumi, Tanzania miaka 25 hadi 50 ijayo

    Hivi karibuni tulikuwa watu sita hivi mahali tukibadilishana mawazo. Miongoni mwetu walikuwepo wasomi madaktari wawili na ambao ni wahadhiri wa vyuo vikuu, mmoja alikuwa mfanyabiashara anayejiweza ingawa hana elimu kubwa sana, mwingine alikuwa ni kiongozi wa masuala ya michezo na mwingine...
  18. 1

    How Russian military might is eroding the Western alliance

    Russia is still the only country with the ability to erase the US from the face of the world. With 8500 nuclear warheads (and at least 30,000 more mothballed) the Russian strategic forces are the world's most fearsome. Against this massive firepower, the US has 7500 nuclear warheads plus another...
Back
Top Bottom