Search results

  1. 1

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Hivi Ndugu yangu unajua maana ya derby?
  2. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sawa....binafsi nashukuru umerejea kwenye Uzi huu baada ya kupotea Kwa Muda mrefu.... Ujue tu mambo ni mazito huko Kwa Ukraine...
  3. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Duh....incredible....At long last you have surfaced!!
  4. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    no one even bothers to read them ....But, apparently you have read them
  5. 1

    Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

    Juhudi kubwa zinafanyika hivi Sasa na Marekani na West kuiaminisha dunia kuwa mauaji huko Moscow yamefanywa na ISIS...Mara baada ya Tukio USA ilikuja na tamko kuwa Ukraine haihusiki...ISIS wenyewe katika ha isiyo ya kawaida wametoa hata picha ya wahusika...incredible...huhitaji kuwa na akili...
  6. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Duh ..heeeeheee...wanapukutika huko Zelensky hana wapiganaji Tena....we told you that ..
  7. 1

    Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

    Sawa, ndiyo maana nimesema naitunza comment hiyo...utakuja kuniambia Muda siyo mrefu
  8. 1

    Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

    Naitunza comment hii..... Unadhani kufanya rafu na kuwachezea vibaya wachezaji wenzako ni sifa???!!!! Hata kidogo.....Unadhani huyo Zayd alichowafanyia wachezaji wa Yanga kwa kuwaumiza unadhani ana raha??? What goes around comes around....Huyo Zayd atakuwa target na wachezaji wengine...
  9. 1

    Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

    Kwani Fei alizoweka kwenye akaunti ya Yanga zilikuwa zake????!!!! Azam walimshawishi Fei aondoke Yanga. Walimshawishi kinyume cha taratibu za FIFA kwani alikuwa bado na mkataba na Yanga. Hakuna chombo cha habari kilichoenda zaidi ya hapo kwa kile kilichoonekana kuwa ni kuhongwa...
  10. 1

    Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    Nionavyo Mimi kiukweli wewe ndiye unayelialia na siyo Putin
  11. 1

    Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

    Viwanja vyote vya soka huko England vitakuwa targets... vitabomolewa vyote chini ya dakika tano. Hakuna tena premier league. Uchumi wa England ambao kwa asilimia funai unategemea soka utakuwa kaputi.
  12. 1

    Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

    Kwa hiyo wewe unadhani utapona???!!!! Dunia nzima itateketea... kwa hiyo acha ushabiki na kujitoa ufahamu. NATO wamezoea kuonea nchi nyingine ila sasa wamekutana na mwamba. Wakiingiza askari tu kwa maana the boots on the ground. Moscow inatangaza vita rasmi. Na ndiyo maana leo au jana Putin...
  13. 1

    Athari ya kuingiza Machawa kwenye timu yetu ya taifa

    Yaani ndiyo maana tumefungwa...Yaani unapeleka comedian kwenye suala zito kama hili???!!!!Dah!!!!
  14. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bombers hizo kwa maana ya TU-95 na TU-22 hutuma makombora yao zikiwa strategically ndani ya Russia iwe no kwa nchi kavu au baharini...hata MIG 31 ni hivyo hivyo.... Lakini kwa namna nyingine zinaweza zikaingia ndani ya nchi ya adui na zikafanya kazi zikiwa juu Sana angani ambako mifumo ya...
  15. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    He is paid for doing what he is doing.....he is an agent of an intelligence agency....there are many of this kind..
  16. 1

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    You are missing the point...language yako au andiko lako linaonesha dharau, chuki na ujinga uliopitiliza na hata upumbavu....Huyo uliyemtaja hatunaye Tena kwa hiyo uwe na heshima kwake...onesha ukomavu wako katika masuala ya utu na kijamii...
  17. 1

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Huyo uliyemtaja angekuwa ni baba yako ungeandika kuwa alitolewa kwenye oxygen na kwamba alikuwa anakohoa Kila baada ya sekunde mbili kiasi Cha kushindwa kueleweka ?!?! Stupid to the core
  18. 1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nashangaa na kusikitika kwanba kwenye orodha hiyo Mimi simo😂😁
Back
Top Bottom