Search results

  1. kasulavenance

    Wachezaji sita wa kimataifa wa simba waitwa kwenye Timu zao za Taifa, wenzetu vipi?

    Wachezaji sita wa Simba wa kimataifa wameitwa kwenye timu zao za Taifa. Wachezaji wa Yanga imekuwaje hata hawachezei timu zao za Taifa. Hii ina maana gani kwa soka la Bongo? Wamenunua makapi au bado hawajakomaa, wataitwa wakikomaa au Yanga wamenunua mizigo!!!
  2. kasulavenance

    Ofisi ya msajiri wa NGOs bado haiendani na spidi ya awamu ya tano ya Magufuli

    Ofisi ya Msajiri wa NGOs Makao makuu Dodoma kufuatana na Janga la Corona na vilevile kurahisisha kupatikana kwa huduma zao kwa urahisi wameanzisha mfumo wa kwa kusajiri NGOS kwa mtandao yaani E-REGISTRATION. Unatakiwa utume documents zako zote kwa mtandao na kama kutakuwa marekebusho...
  3. kasulavenance

    Mwisho wa kutumia passport za kusafiria za zamani ni tarehe 31/Jan/2020

    Mambo yamekuwa mambo Tanzania. Wakati bado tunasumbuliwa na NIDA na usajili wa line mpya kwa wale mliokuwa na passport za kusafiria mjue kuwa mwisho wake wa kutumia hati hizi za kusafiria ni kesho kutwa. Inabidi kuanza zoezi jingine la kwenda Uhamiaji. Na shida inakuja pale unapoenda na...
  4. kasulavenance

    NATAKA KUSAJIRI FOOTBALL ACADEMY ANAYEJUA UTARATIBU UPOJE?

    Naomba msaada kwa anayejua utaratibu gani unatumika kusajiri football academy.
Back
Top Bottom