Wakuu naomba kuuliza sheria ya bima ya afya kwa mfuko wa NHIF inasemaje kwa mwenza zaidi ya mmoja?
Je, unaweza kuandikisha mke zaidi ya mmoja katika mfuko?
Ahsante
Habari za mwaka mpya wakuu.
Mwaka 2018 sidhani kama niliandika chochote humu jukwaani, ulikuwa mwaka nitakaoukumbuka kwa mengi.
Baada ya salamu ndefu, naomba niulize hivi kwa wadada/wamama:-
Umeshawahi kujiuliza kwanini kabla ya ndoa kunakua na mapenzi motomoto sana, lakini baada tu ya ndoa...
Habari Wadau...
Ni muda mrefu sasa sijachangia humu ndani, majukumu yamenifanya niwe nasoma thread za wenzangu tu.. Ila leo acha niwanasue baadhi ya vijana wanaoelemewa na mizigo mikubwa ya wasaliti bila kujua.
Dalili zifuatazo ni dalili kuu kuwa mwanamke uliyenaye si mwaminifu.
1. Line za...
Mimi binafsi sioni sababu ya mtu kunuka jasho hata kwa dakika moja. Ni rahisi sana kunukia vizuri.
Njoo nikupe bidhaa zote zitakazokuacha na harufu nzuri muda wote.
Tunaanzia mdomoni, kwa kukupa dawa safi ya meno, kwa hakika utayafurahia maongezi. Kisha mwili unahitaji sabuni ambayo utaogea na...
SHIMO KWENYE JINO (CAVITY)
JE, Umeshawahi kusikia kuhusu mtu kwenda kujazwa risasi katika jino?
Unafikiri kwanini jino lijazwe risasi? Nini kimetokea?
.
Ngoja nikwambie kitu..
SHIMO katika jino ni matokeo ya kuharibika kwa jino.
Kuharibika kwa jino kunaweza kuathiri sehemu zote, sehemu ya...
Na:
Mdharuba J.K.
*SEHEMU YA KWANZA*
★★★★★★★★★★★★★★★★★
“Nashindwa kuelewa kwa nini nakupenda kiasi hiki Jay, nahisi kuchanganyikiwa juu ya penzi lako my” Jacqueline alisema maneno haya huku akiwa amelalia kifua changu. Tulikua katika chumba changu kidogo nilichopangisha uswahilini...
Habari wanajamvi..
1. “...Serikali imetangaza kuwa itawapa 'mafunzo maalum' wale ambao wana Degree za Sayansi ambazo si za ualimu ili waweze kwenda kufundisha. Hii ni katika juhudi hizi za kukabiliana na uhaba wa walimu wa Sayansi mashuleni...”
PIA
2. “...Serikali imesema...
*STORY*: KARIBU UANI
*MTUNZI*: JK
0718274130
*SEHEMU YA KWANZA*
**************
Saa 12 asubuhi, tayari nilikua njiani kama kawaida yangu. Nilikua katika pikipiki yangu ambayo mara zote ndio huwa naitumia katika safari zangu zote, ikiwemo hii ya kazini. Kwakuwa nilikua mbali na mjini, ilinilazimu...
STORY:KINDERE
EPISODE 01
*******
"Sijui ni nini kinachonivutia kwako, sielewi. Nahisi kuchanganyikiwa kabisa na muda wote nakuwaza wewe tu". Maanu alinambia maneno haya akiwa amejilaza kifuani kwangu tukiwa katika chumba hiki nilichopangsha maeneo haya ya uswahlini. Kiufupi sikuwa na cha...
STORY: "SIKUTEGEMEA"
MTUNZI: Mdharuba J.K.
SEHEMU YA KWANZA.
★★★★★★★★★★★
"Ndo huyu huyu.. mi naona dawa yake ni kumpoteza kabisa duniani.." Alisema yule bwana aliyekuwa amevaa koti jeusi na suruali yake ya kijani kibichi...
Ni muda mrefu sana tangu vuguvugu la uchaguzi lishike kasi, watu wamekua wakichangia, wakitoa maoni yao na kueleza hisia zao!
Nimekua mfuatiliaji tu wa yanayoendelea kwa muda wote huo, ila leo na mimi naomba nitoe tafakuri yangu kuhusu mambo yanavyoenda.
Kwanza, ni masikitiko yangu makubwa...
Habari zenu wanaJF,
Kwakweli nimewamis sana! Ila tuko pamoja!
Kwa bahati mbaya au nzuri mimi ndiye mtoto wa kiume pekee nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne, wenzangu wote ni wa kike.
Sasa huyu dada yangu mkubwa ananipa wakati mgumu sana mimi.
Ngoja niwaeleze..
Yeye ananifahamu mimi...
Habari za swaumu wanaJf,
Naamini nyote mko na afya imara tu za kuendelea kuruhusu kuona hiki nilichoandika hapa.
Niliahidi kuwa nikimaliza UE nitakuja hapa kueleza mambo muhimu haswa yanayotuhusu wanaume.
Naanza na wanaume kwanza, wanawake nao tyme yao itafika.
Back to the topic;
Hivi ni...
Habari za wakati huu, Muwazima?..
Baada ya salamu, mimi mwaka huu nimedhamiria kuwakomboa wanaume wenzangu kwenye majanga ya mapenzi, maana wengi katika wao, wanasumbuka mno! Naomba nianze kuifafanua hiyo heading hapo juu. Juzi kati hapa nilileta tofauti kati ya kupendwa na kuonyeshwa mapenzi...
Habari wanajamvi,
Naomba nieleze (japo kwa ufupi) tofauti iliyopo kati ya kupenda na kuonyesha mapenzi.Ni ukweli ulio wazi kuwa wanaume tulio wengi sana tunajikuta tukidanganyika kirahisi mikononi mwa wanawake. Wanawake haswa wale wanaojua haswa mbinu na njia sahihi za kumdaka mwanaume...
Wakuu habari zenu,
Naombeni msaada wa kisheria kujua kuhusu hatimiliki na taratibu zake, na gharama zake zikoje pia!!
Kama kuna mwanasheria ambaye atataka kunisaidia zaidi..naomba anitafute kwenye namba 0718274130, msaada muhimu sana maana nina haki zangu nakaribia kuporwa.
Asanteni
Kama hukubahatika kusoma hii story, jitahidi uisome hapo chini, maana wadau walichangia sana baada ya mimi kufunguka hapa.
Kiukweli kuna wadau waliniuliza kuhusu matumizi ya condom na blabla zingine...
Ila ukweli ni kuwa sikutumia hayo mavitu,, ile siku kumbe ndo alikua anamaliza siku zake...
Habari wanaJF,
Kusema ukweli nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo ambao unahusu kijitabia fulani cha wanawake ambacho ni muhimu zaidi kukifikiria na kukifanyia kazi kabla hujaingia katika maamuzi magumu ya kuoa. Mara nyingi ndoa za siku hizi zinaonekana kutodumu kwa muda mrefu kuzidi hata muda wa...
Wanajamvi,
Na mimi leo nimeona niandike thread hii ndogo tofauti na story zangu za kila sik kujaribu kuweka wazi kile ninachokihisi.
Mimi naamini ndoa ni jambo la makubaliano ya pamoja kati ya muoaji(mume) na muolewaji(mke), ila kwa uzoefu wa ndoa nilizohudhuria, kunakuwa na mashahidi kutoka...
Uko na girlfriend wako kwenye basi mmesimama, anakuuliza, 'baby nikufanyie surprise?' unamjibu 'ndio'. Anakusogelea karibu, anafungua zipu, anaingiza mkono, anaitoa nje mbele za watu. Unabaki tu kutoa macho huna cha kufanya, then anakuuliza, nikupe hapa hapa au tukifika nyumbani?
Kwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.