Search results

  1. M

    Nahitaji attention yako Ila sio wewe

    Kwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia Mimi siwezi kuwa rafiki yako haelewi, ukimleta karibu kwa ajili ya kuweza kufanya Mambo ya kikubwa...
  2. M

    Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

    Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
  3. M

    Ushauri wa mama kuhusu kuoa baada ya kusikia nataka kuoa, nipo nautafakari sana

    Nanukuu, jitahidi kupata mchumba mtumishi idara yoyote ya serikali. Wapo wengi sana. Usichukue mama wa nyumbani kuna shida Sanaa. Nguvu sababu nia na uwezi unao wa kupata. Nimemaliza kunukuu
  4. M

    Tulioshindwa kuwa vuguvugu kwenye mahusiano aka friendzone

    Hivi inakuaje unakuwa na urafiki na jinsia nyingine hutegemea muongozo? Au Una kuwa na mahusiano na mtu, yeye yupo nusu kwako nusu sehemu nyingine, huwezi mkuta anakuambia hakutaki wala kukuambia anakutaka, Ila anakuwa yupo vuguvugu. Unakuta labda umachana na mdada lakini bado anataka...
  5. M

    Mwanamke serious wa kuoa

    Kwa hakika upweke ni mbaya sana unaweza jikuta unajinyonga ndani Peke yako, ninatafuta mwanamke umri kuanzia 20 mpka 28 , awe anajielewa na anapenda kujishughulisha, ila awe tayari kuhamia kwangu tuishi . Mimi vigezo vyangu nina umri Kati 25-29, dini mkristo, makazi dar es salaam, kipato kila...
  6. M

    SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  7. M

    Chumvini na kugharamia sio kigezo cha kutulizana

    Baada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini Ila bado mwanamke anakuambia yeye kazoe kuwa na wanaume wengi hawezi kuwa na bwana mmoja kabisa, hii ni baada ya kufumania zaidi ya mara tatu...
  8. M

    Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  9. M

    Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    Nipo katika mazingira ya kupata hela kila siku ili mradi natoka kufanya kazi zangu za kila siku, kipato changu kwa siku hakipungui 30000 ikiwa na maana hapo nishakula na mahitaji yangu ya lazima ya siku kama vocha/soft drinks/ nk. Ila kuweka akiba imekuwa ni shida sana kwani naweza kujibana...
  10. M

    Mlipata wapi ujasiri wa kulipa mahari??

    Kuna hili suala la wanaume kugharamia sehemu kubwa ya maisha ya mwanamke na bado mwanamke anaendelea kugawa uroda Kwa vijana wengine na ikiwezekana vijana wenyewe hawagharamii chochote inauma sana. Kwa Sisi tunaojitoa usiku na mchana kuhakikisha wachumba wetu wanava, Kula, lipa kodii, nywele nk...
  11. M

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
Back
Top Bottom