Search results

  1. fikrapevu sungura

    Nyumba inapangishwa

    Haya nimewawekea tena picha hizo za Nyumba.
  2. fikrapevu sungura

    Nyumba inapangishwa

    Picha niliposti naona hazipo, ngoja niposti upya.
  3. fikrapevu sungura

    Nyumba inapangishwa

    Barabara kuu ya nyerere ipo mita 800 so hakuna shida ya usafiri.
  4. fikrapevu sungura

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba bado ipo wadau.
  5. fikrapevu sungura

    Fursa hii inaniweka roho juu.

    Hapo mkuu hata 15000 unauza.
  6. fikrapevu sungura

    Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

    Channel zilizoongezwa ni mbili tu, ITV na EATV. Hizo zingine zilikuwepo.
  7. fikrapevu sungura

    Nyumba inapangishwa

    Wadau napangisha Nyumba ipo Pugu Kichangani bei ni Tshs 200,000/= Yeyote anayehitaji anipigie kwa simu namba 0687702626. Nyumba ina vyumba 3, sebule,dinning,jiko choo cha ndani.Kisima kipo. Haina Dalali. Unaweza kuiona kwa picha hapo chini. Ulinzi upo.
  8. fikrapevu sungura

    Nataka Kununua Terios KID

    yeyote mwenye taarifa wakuu.
  9. fikrapevu sungura

    Nataka Kununua Terios KID

    Wadau yeyote anayejua nataka kununua TERIOS KID DAIHATSU cc 650 sijui utumiaji wake wa mafuta. Nataka iwe inanisaidia kwenda nayo kazini. Kwasasa nina NOAH inakula sana mafuta. Tafadhali aliyewahi kutumia gari hii anijuze 1 lita inakwenda kilometa ngapi?
  10. fikrapevu sungura

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Mkuu njunwa wamavoko hiyo MAGIC SIM CARD ndo sim card gani na inapatikana wapi? nahitaji hiyo huduma sana mkuu, tafadhali.
  11. fikrapevu sungura

    Ni sahihi mtoto kushuhudia?

    Nimeipenda hii..
  12. fikrapevu sungura

    Kwa wateja wa dstv channel ya supersport 10 kuondolewa kesho

    Duh Kumbe uhondo wote umehamishiwa Supersport 3, pamoja wakubwa.
  13. fikrapevu sungura

    Kwa wateja wa dstv channel ya supersport 10 kuondolewa kesho

    Kwa wale wateja wa kifurushi cha Compact Plus ambao wengi wetu tumevutika na hii channel ambayo inaonyesha live mechi za mpira wa miguu wataiondoa kesho midnight. Sasa sijui wanampango gani na sisi wapenzi wa mpira. Kama kuna mdau yeyote wa DSTV humu JF atuambie kama kutakuwa na njia nyingine ya...
  14. fikrapevu sungura

    unajua hili???

    We ni noma
  15. fikrapevu sungura

    Afrika kusini na ajira

    Sio sehemu nzuri kwenda, nimeishi huko miaka kadhaa nikaona hakuna dili nimerudi bongo mambo tambarare, nakushauri komaa hapa hapa Bongo opportunities zipo nyingi sana mkubwa.
  16. fikrapevu sungura

    Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

    Inaonyesha chuki za kidini zipo kila upande?
  17. fikrapevu sungura

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Ikulu matatani • Msemaji wa Rais adai kauli ya Dk. Ulimboka ni ya kipuuzi na Waandishi wetu SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, kusisitiza kwamba alitekwa na mtu anayefanya kazi Ikulu, Ramadhan Ighondu, Ikulu imehamanika na kujitetea...
  18. fikrapevu sungura

    Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

    Haya mapicha mengine ya jumba hilo haya hapo chekini wenyewe kufuru hiyo.
  19. fikrapevu sungura

    Ethiopian PM Meles Zenawi dies at 57 after illness

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kifo cha Waziri Mkuu wa nchi hiyo Bw. Meles Zenawi baada ya kupita wiki kadhaa za uvumi kuhusiana na hali ya afya yake.
  20. fikrapevu sungura

    Ulimwengu ndio huo Utajiri wa Dunia huoooooooooo........

    Noti ya dola 5000? hio hakuna.
Back
Top Bottom