Search results

  1. Z

    Taarifa Ya Msiba J. Njaidi

    Mnomba alikuwa mtu mzuri sana, pole sana kwa familia yake, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu Amlaze mahali pema peponi, Amin.
  2. Z

    My great loss

    Pole sana Mpita Njia, Mungu akupe nguvu wewe na familia yako katika hiki kipindi kigumu. Mungu amlaze mahali pema peponi Mama Mpendwa.
  3. Z

    Serikali yaweza kulipa Sh. 315,000 ikisitisha matanuzi

    Hii sio haki!!! Inasikitisha jinsi wafanyakazi wa kima cha chini wanavyoonewa!!!
  4. Z

    MC aingia mitini na 300,000 za wanaharusi

    Zamani MC alikuwa ndugu msemaji au mcheshi siku hizi ulaji!!!
  5. Z

    Karudi Baba Mmoja (Toleo Jipya)

    sikumbuki hiyo ya Sadiki lakini nakumbuka hii nyimbo... Mkulima mwenye shamba alipanda viazi akachimba chimba chimba akaona almasi lo lo lo bahati ya mtu mwenye shamba akatupa jembe upande akaenda mjini kununua motokaa sasa ni tajiri lo lo lo bahati ya mtu mwenye shamba!
  6. Z

    Karudi Baba Mmoja (Toleo Jipya)

    the good ol' days... nakumbuka ya Sungura... Hadithi inayokuja ni ya sungura sikia hadithi uliyongoja leo ninakuletea alitoka siku moja njaa alipo sikia njaa aliposikia sungura nakwambia Siku ile akaenda porini kutembelea akayaona matunda mtini yameenea sungura akayapenda mtini akasogea...
  7. Z

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Hakuna kabila wala watu waliokatazwa kusoma au kujielimisha. Elimu ndio msingi wa maendeleo. Way to go Wachagga na wasomi wote!!!
  8. Z

    Kuna Haja Gani Ya Mtu Kudanganya Umri?

    Hakuna haja wala hakuleti faida, ni uwoga tu wa kuonekana mzee ;)
  9. Z

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Oo maskini kaka wa watu yaani serikali inabidi iwasaidie sasa amepewa kilema cha maisha yaani hao wamasai wakikamatwa lazima wapewe adhabu kubwa!!!
  10. Z

    Watu 16 wafukiwa mgodi wa dhahabu wilayani Geita Mkoani Mwanza

    Huko mashimoni inabidi waweke vitengo vya huduma ya kwanza ili maafa kama haya wawe yanashughulikiwa haraka iwezekanavyo!!!
  11. Z

    Sifa mbaya za makabila yetu

    SIFA NZURI 1. Wachagga-wanasaidiana, wanainuana kimaisha, wanafundishana kuendelea 2. Wafipa- (sijawahi kuwa na rafiki mfipa so sijui..) 3. Wazaramo- wanashirikiana kwa shida na raha 4. Wanyakyusa- wakarimu 5. Wahehe- wachapakazi 6. Wakurya- wakarimu na wacheshi 7. Wajaluo- wachapakazi 9...
  12. Z

    African viewpoint: In praise of the dead

    One of my friends knows a ghanaian who's mother's funeral is set for JUNE!!! She died in DECEMBER 2009!!!
  13. Z

    Mradi wa nyumba 5000 wakwamishwa na Daniel Yona?

    Hawa watu walifanya mkutano Boston at that time walikuwa wanasolicit watanzania wanaofanya kazi marekani kuapply ili waweze kuonyesha OPIC kuwa demand ipo na watu wenye kipato cha kulipa hizo morgage wapo. Walisema morgage zingekuwa kama dola 600 kwa mwezi lakini interest yao ilikuwa juu...
  14. Z

    Kwanini tunakimbilia India kwa Tiba?

    Madaktari hawathamini wagonjwa. Mama yangu alikuwa anamatatizo ya moyo, kila akipewa appointment Muhimbili anakaa kumsubiri daktari hata masaa sita, daktari akitokea anaona wagonjwa watatu anasema wengine wapewe tena appointment after waiting for 6 hours!!! mara nyingine daktari hatokei...
  15. Z

    Chama Kipya: New York Metropolitan Tanzanians Community

    Wazo zuri la kuunda jumuiya ya watanzania. Muongee pia na jumuia za watanzania wa sehemu nyingine kwa ushauri zaidi, kwa mfano New England kuna jumuia ambayo ilianzishwa kama a social organization kuwakutanisha watanzania kila summer kwa kufanya barbeque na sports (soccer matches/ volley...
  16. Z

    Hausigeli akutwa akiwanga kwa tajiri

    Hii tabia ya kuajiri watoto wadogo na kuwanyanyasa lazima ikomeshwe, sasa kumbe wana binti wa miaka 25, mtoto wa 15 wa nini? Hivi tumekuwa wavivu kiasi hiki? Tena usikute mama mwenye nyumba hata kazi hana!!!
  17. Z

    Hausigeli akutwa akiwanga kwa tajiri

    Maswali ni mengi kuhusu jinsi ya kukomesha utumwa wa kisasa (aka ma-housegirl) Hivi hakuna sheria inayosema huwezi kumuajiri mtoto chini ya miaka 18? Kama ipo kwanini chama cha mawakili wakike haki chukui hatua kutetea haki za wanyonge kama haka kabinti? Kabla ya ku-deal na uchawi huyo...
  18. Z

    Shivji apinga Afrika Mashariki kuikodolea macho Marekani

    OMG yaani badala ya ubunifu wa jinsi ya kujiboresha tunawania misaada, duh kwa mwendo huu tutafika kweli???!!!
  19. Z

    Mwanafunzi Mtanzania kakutwa amekufa/ameuawa Bangalore India

    Maskini mtoto wa watu, Mungu aipokee roho ya marehemu Imran na apumzike kwa amani, Amin. Pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Imran. Ni uchungu mkubwa kwa wazazi wa huyu kijana, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  20. Z

    Tupunguze Idadi ya Wabunge ili Tusomeshe Watoto Wetu

    Inasikitisha zaidi kuwa hata hao wa kutoka vyama vya upinzani hawaoni gharama zisizokuwa na mpango! Kwa mwendo huu tutafika kweli???
Back
Top Bottom