Search results

  1. CHRISSIE255

    Tunauza dagaa na samaki wa kukaanga

    Heri ya mwaka mpya 2021. LAKE FOOD PRODUCT SUPPLIER Wauzaji na wasafirishaj wa samaki na dagaa waliokaangwa mikoani. Jipatie dagaa safi wa mwanza waliokaangwa Vizur na watamu Hawana michanga. Kula dagaa kwa Bei nafuu kabisa kwa matumiz ya nyumbani na biashara package zipo za 200,500,1000,2000...
  2. CHRISSIE255

    PC aina ya Fujitsu inasumbua

    PC yangu n aina ya Fujitsu FMV-718NU4 ya kichina China hv tatzo lake n kama hvo kwny picha ila sahv imezima display haionyesh kitu ila feni imaunguruma sana tu naomben msaada tatzo lnaezakua nn Sent using Jamii Forums mobile app
  3. CHRISSIE255

    Naomba kujuzwa orodha ya vitabu vizuri vya kujisomea

    Kwanza natanguliza shukran pili natumain mu wazima wa afya tele. Naomben list ya vitabu vizur vya kusoma tafadhar nkipata na PDF zake nitashukuru zaid. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. CHRISSIE255

    Mkali wao na Dulla

    dah hii sanaa sio Sent using Jamii Forums mobile app
  5. CHRISSIE255

    Naomba kujua gharama za vifungashio vya bidhaa ndogo ndogo

    Naomba kujua gharama za vifungashio vya bidhaa ndogo ndogo kama hvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CHRISSIE255

    Uzi maalum wa kumpongeza watford

    Unbeaten anabak Wenger pekeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  7. CHRISSIE255

    Muonekano mpya wa msanii Meja Kunta

    Muonekano mpya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. CHRISSIE255

    Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

    Wadau samahani naombeni kujua tatizo la mapasheni kusinyaa na kudondoka chini kabla ya kukomaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. CHRISSIE255

    Kuanzisha biashara ya kuuza juice au kuuza nafaka

    Kwanza natanguliza samahan kwa usumbufu na polen na mihangaiko ya week nzima Naomba kufikisha ombi langu kama kijana wenu. Sisi n vijana watatu tuliomaliza Chuo mwaka Jana kulingana na uhaba wa ajira tumeamua kufanya kuungana ili tujiajiri wenyewe na tumebase katika hvi vitu viwili kuanzisha...
  10. CHRISSIE255

    Biashara ya viatu vya mtumba

    Wapendwa, poleni na majukumu. Kuna jambo naomba mnisaidie kuhusu biashara ya viatu vya mtumba, hususani akina mama. Kuanzisha hiyo biashara ni vitu gani muhimu napaswa kuwa navyo? Na je, kati ya Arusha na Mwanza ni wapi naweza kupata mzigo? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. CHRISSIE255

    Nahitaji kusomea udereva naomba ushauri

    Samahani wadau naomba kuuliza kusoma course ya driving daraja C kwenye chuo Arusha ni muda gani na inachukua kama shilling ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. CHRISSIE255

    Ushauri kuhusu kusomea mambo ya tours driving

    Samahani wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama VETA? Naombeni msaada wenu wadau mwenye kuelewa. Mbarikiwe sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. CHRISSIE255

    Naomba kujua kuhusu upataji wa ajira ya udereva

    Samahan wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama VETA? Naomben msaada wenu wadau mwenye kuelewa. Mmbarikiwe sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. CHRISSIE255

    ajira au volunteer

    Mm n kijana Jinsia: me Age: 25yrs Location: Arusha Elimu: Diploma in accountancy Chuo: IAA Natafuta kazi wapendwa ata ya kujitolea
  15. CHRISSIE255

    New member

    Mm mgeni Location: Arusha Elimu: diploma in accountancy Chuo: IAA
Back
Top Bottom