Search results

  1. K

    Ulishawahi kutafuta kitu huku umekishika mkononi?

    Hii ilinitokea baada ya kunywa valuer ndogo mbili mfululizo, nlihisi nmepoteza simu nkamwomba jiran yangu aniazime simu yake niipige nijue ilipo. Nkapiga wee kumbe nmeishika kwa mkono wa kushoto ikaita napokea afu nauliza nani mbona huongei? nkakata sasa ule mda nmekata tamaa namrudishia sim ya...
  2. K

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Wapo mbona, na ex wangu anatafuta mume wa kumuoa mpk rafiki zake wananiomba nirudiane nae.
  3. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwaka 2014 siku ya xmass tulikutana ndugu mbalimbali kusherekea, katika hao ndugu alkwepo binamu yangu, let me call her Carin, ambae ndie nlimla kimasihara. Tulisherekea hadi saa tatu usiku, baadae Carin akaniomba nimsogeze hadi mbagala, maana kwao ni mbal kidgo na mda ulikua ushaenda na...
Back
Top Bottom