Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya Samsung na kujizima. Na haiwaki tena mpaka niiweke sehem yenye joto ipate joto ndio iwake. Kwa waatalam...
Habari zenu waungwana, nahitaji Generetor used yenye uwezo wa kiwasha tv receiver radio computer na taa kama 5 hivi bajeti yangu 150,000. ikipatikana moshi arusha itakuwa poa zaidi mimi napatikana moshi, kwa mwenye nayo nitafute 0715555849
Maeneo ya Moshi Mjini umeme umekatwa tangia saa 3 asubuhi. Umeme umekatwa jijini Dar es salaam, na maeneo mengi nchini.
Yote hii ni hujuma na mwendelezo ule ule wa kuinyonga demokrasia na kuwafanya watanzania kuwa watumwa miaka yote.
Wakuu amani iwe nanyi, wakuu naombeni msaada wenu ninapo ingia whatsapp napata ujumbe huu "YUOR PHONE NUMBER 255******* IS NO LONGER ALLOWED TO USE OUR SERVICE. ule mwaka mmoja wa kutumia bure umeisha je kuna namna yoyote naweza endelea kutumia hii huduma bila malipo? naombeni msaada wenu wana...
Wakubwa kwa wadogo habari zenu, Naombeni mnisaidie Nimeformat simu tajwa hapo juu kwa kutumia Code hizi 7370. Sasa imepatwa na tatizo la kuzima pale ninapopiga au kupigiwa simu na chaji iko full, naombeni mnisaidie nini cha kufanya ili irudi katika hali yakawaida, cheif na wadau wengine saidieni...
HAYA NDO YALIYOMKUTA BAADA YA KUOMBA AGEUZWE KUWA MWANAMKE>>
Mwanamume mmoja alimuomba Mungu amjalie ageuke kuwa mwanamke,kwa sababu alihisi mke wake anafaidi kubaki nyumbani wakati yeye anapiga kazi masaa kumi mfululizo.
Mungu hakuwa hiyana,asubuhi alipoamka,akaji -kuta tayari amekuwa...
Wanajamvi kwanza kabisa heshima mbele. wakuu ni wapi naweza pata RECEIVER aina ya
ARISAT AR600 MPEG4 HD. Zinapatikana wapi na bei yake kama kuna mdau anafahamu zinapopatikana basi anisaidie. natanguliza shukrani.
Wakubwa wadogo tulio rika kwanza kabisa HESHIMA MBELE. wanajamvi mimi natumia Simu sumsung gt-s5230 tatizo lilipo nikwamba ninapotaka kudownload application inakataa nakuleta ujumbe CONTENT NOT SIGNED au NO RESPONS. tatizo hili limeanza baada ya kuiflash hapo mwanzo ilikua inainstal bila tatizo...
Wakubwa wadogo tulio rika HESHIMA MBELE. Wanajamvi naombeni msaada natumia simu samsung gt-s5230 tatizo lilipo nikwamba nikitaka kudownload application yoyote ile inagoma nakuleta ujumbe huu CONTENT NOT SIGNED au NO RESPONSE, Tatizo limeanza baada ya kuiflash. msaada wenu tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.