Search results

  1. Laptop001

    Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

    Zitto huyuhuyu aliyebadilishana jimbo kwa makubaliano na mbunge wa ccm 2015?
  2. Laptop001

    Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

    Jamani mnisaidiye kiongozi mkuu wa act ninini hasa,?mi ninavyoelewa cheo cha juu ktk chama ni m\kiti safu inashuka.
  3. Laptop001

    Narudia tena: Ili CHADEMA ipone, Mbowe amwangukie Dr Slaa miguuni

    Ktk vita ukiona askari wa jeshi pinzani anakushauri kuwa ili mshinde vita mumtimuwe mwongoza vita wenu ujuwe anamwogopa kwa plan zake za ushindi kwahiyo anataka mwongoza vita boya
  4. Laptop001

    Narudia tena: Ili CHADEMA ipone, Mbowe amwangukie Dr Slaa miguuni

    Haya kapate buku7, amwaangukiye Slaa kwa lipi? na unatata data za chama mtandaoni we lofa eti? huyu Slaa ni nani hasa? Unaacha kujadili mambo ya kambi yenu unajifanya kiherehere kwenye nyumba ya jirani. Kwa tarifa yako chadema ndiyo chama kilicho na wanachama wengi kuliko chama chochote tz kwa sasa.
  5. Laptop001

    Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

    lissu katulia huko lakini maccm hayaachi kumuandama
  6. Laptop001

    Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Na wakisema watuzuiye wasitoke nje watugawiye vyakula na mahitaji muhimu.hali ngumu inatuburuza toka kitambo ye anajuwa leo?
  7. Laptop001

    Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Na wakisema watuzuiye wasitoke nje watugawiye vyakula na mahitaji muhimu
  8. Laptop001

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    sifa tu eti kuchukuwa kadi lumumba,wewe huna viongozi kwenye tawi lako unaloishi?kwenda lumumba sifa tu unataka makamera yakufotowe huna jipya.wauza sura wote mnaendaga huko
  9. Laptop001

    Nimeshikwa na Taharuki

    sumaye nakumbuka alisema hatajiunga na chama chochote.
  10. Laptop001

    Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

    kuhama chama mleta mada ni haki yako,lakini unapotangaza ktk midia kama mitandao ya kijamii tunakushangaa,kwani ulipojiunga ulitangaza humu?nendeni mkaongeze nguvu ya kuhujumu harakati za upinzani wa kweli mwaka huu.
  11. Laptop001

    Pole sana mdogo wangu Mbatia, Ubunge ulioahidiwa utakutesa sana

    Mbatia ameahidiwa na kupewa kazi,je mzee seif naye aliitwa ikulu hajapewa kazi maalum?
  12. Laptop001

    Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    kama umeacha taa on unalazimika kulipa ingawa si kwa kiwango sawa na waliyopo,kuhusu maji hutakiwi kulipa mana hutumii maji.hapo hata mimi silipi
  13. Laptop001

    Rais Magufuli ameendelea kuwapiga watu chenga ya mwili

    mleta mada lete uthibitisho uloshiba kuwa wanaufipa ndiyo walikuwa wanashabikia hilo na si tofauti.
  14. Laptop001

    Mahakama ya mkoa Ruvuma, imewaachia huru Viongozi wa CHADEMA

    Leo mahakama ya mkoa Ruvuma imetoa hukumu ya kutokuwa na hatia kwa watuhumiwa wote 9 akiwemo alyekuwa katibu mkuu chadema, Cecil mwambe alokuwa M\kiti kanda kusini na viongozi wengine wa CHADEMA katika kesi ya maandamano na kula njama ya kufanya mkusanyiko usiyo halali, kuna kesi nyingine...
  15. Laptop001

    Chama kikuu cha upinzani mbadala wa CHADEMA chashindikana kuundwa nchini Tanzania

    Mungu ni mwema wanaovumilia hadi mwisho ndiyo watakaobarikiwa. hivi membe kachero mbobezi yupo wapi?
  16. Laptop001

    Huwa nawaza mengi kuhusu utengenezwaji wa fedha

    Nimekumbuka kitu kinaitwa demand and supply, more money and goods scarcity.
  17. Laptop001

    Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

    Hotel za watu wakubwa s\kalini au za mashosti zao,sawa na dokta kukuelekeza duka la dawa la kwenda kununuwa ili kumpa ulaji jamaa yake.suluhisho s\kali kupita kuhakiki kama gharama zimepanda kuliko kawaida kusaidia kusovu.au kuwaelekeza hotel nafuu
  18. Laptop001

    Hivi mshahara huwa unatosha kweli?

    hapa wenye mishahara waje kuchangia,sisi wengine hatuna mishahara.
Back
Top Bottom