Search results

  1. Haroub Kibanda

    Napinga Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia

    Hapo mimi ndipo hasa palipo na hoja yangu. Ikiwa mataifa tajwa hapo juu leo sote tunakiri kwamba yana nguvu kiuchumi, basi hilo ndilo la kuigwa, na sio kuangalia ufanano wetu na watu wengine kwa kutumia lugha zao kisha sisi tukadidimia kiuchumi. Kwanza tuweke maarifa ya kweli katika vichwa vya...
  2. Haroub Kibanda

    Jussa: Huu ndio unafiki wa hali ya juu!

    Jibu ni rahisi sana, Wazanzibari hawataki muungano huu batili uliopo, na biashara ya Watanganyika ambao waliwaamini kwamba ni ndugu zao kumbe Watanganyika wanatumiwa na mataifa ya magharibi kuikalia Zanzibar kimabavu (muendelezo wa "divide and rule" ya Muingereza). Wazanzibari wameshatanabahi...
  3. Haroub Kibanda

    Jussa: Huu ndio unafiki wa hali ya juu!

    Dah kweli jina limesadifu, wewe sawa na hilo jina unalotumia hapa huna tofauti hata chembe. Sasa unapotuambia "Fanzeni hima mjikomboe" ndio unathibitisha kwamba Watanganyika munaikalia Zanzibar kimabavu au sio? Maana mimi Kiswahili ni lugha yangu ya kuzaliwa, pengine mwenzangu wa kutoka Mrima...
  4. Haroub Kibanda

    Miaka mitatu michungu mtaani

    Dah pole sana mkuu! Huo ndo uhalisia wa maisha yetu watanzania. Usichoke, keep praying as much as it can be done. Chengine, kwa sisi wengine wengine huwa tunaamini endapo sehemu moja maisha yamekushinda ni vyema uhame ukaombe Mungu mahala kwengine, so na mm nakushauri hivyo. Pia, inaweza...
  5. Haroub Kibanda

    Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

    Dah, mkuu mm hii sijaipenda ila utanisamehe. Kila mtu anakosea, kutojua kiingereza si aibu hata kidogo
  6. Haroub Kibanda

    Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

    Kaazi kweli kweli
  7. Haroub Kibanda

    Hivi ndivyo Rais alivyoongolea Mahakama ya Kadhi na Waliomuelewa ni Watu Wachache sana

    Hili ni kosa letu waislamu, tujutie na tumtake Mungu msamaha, kisha tuanze harakati rasmi kuelekea kwenye ushindi. Kosa letu kubwa tulisahau mafundisho ya Allah, alituambia kabla kama "msiwafanye makafiri ni rafiki zenu, kwani wao hawaridhiki mpaka wakutoeni ktk njia yenu ya haki" kosa ni pale...
  8. Haroub Kibanda

    MBA UDOM: Lecurer kafaulisha 6 na kukamata 28

    Dah, mkuu mm hii sijaipenda kabisa. Mimi ni Mzanzibari nimeguswa na hili, labda naomba niulize kidogo, kwa kuanza kuwasakama wazanzibari na kuwachafulia jina ndio suluhisho la hilo tatizo? Na jee tunapandikiza mbegu gani ktk mioyo yetu na pengine hatma yetu huko mbele kama sote ni Watanzania wa...
  9. Haroub Kibanda

    Tusichokijua wabara ni kwamba-Wazenji na Watanganyika ni watu tofauti sana

    Mtoa mada wewe ndo mpuuzi mkubwa kuliko wote duniani............kafie mbele hatubadiliki kwa ujinga ujinga wako unaoongea, sisi tunajielewa.
  10. Haroub Kibanda

    Wazanzibar wanatuchafua Watanganyika

    Huu ndo ujinga unaonipelekea nikawa najikuta nawachukia Watanganyika. Jitu limetoka kunywa pombe huko, jitu lisilo na maadili, jitu ambalo tunalibeba ktk kila nyanja, jitu ambalo hata ukilifundisha nini halielewi labda njama za wizi, jitu ambalo tumelifungua macho na kulifunza ustaarabu, mpaka...
  11. Haroub Kibanda

    Screen ya laptop toshiba l20 ipo

    Wadau anaehitaji screen ya laptop Toshiba asisite kunipigia kwenye 0717 77 74 74 bei ni 100,000/- hakuna ubabaishaji wala ulaghai hapa, kama unahitaji nipigie tufanye biashara!!!!
  12. Haroub Kibanda

    Calm down, Kenyans; Tanzania is flying!

    I get you mkuu Agosti.........!!!!
  13. Haroub Kibanda

    Calm down, Kenyans; Tanzania is flying!

    Mhhh!!!! Kwa style hii tutafika jamani huko kunakoitwa maendeleo? Bora tungejadili impact ya yeye kuja huku kwetu, ili angalau tuweze kuwa anticipation fulani good or bad maana hawa mabwana ukifanya nao deal yoyote inakupasa uwe makini 500%............ Duhhh, hapa kuna kazi kweli kweli. Haya...
  14. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Hahahahah so funny eehh!!! 1.5 mil people wanapelekesha Tanganyika nzima....... duh hadi raha, kumbe sie vidume mwanangu!!!!!
  15. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Then jiulizen hapo Tanganyika mnakula vyakula vya aina ngapi ambavyo vimelimwa south africa? Simply apples...... vingapi vimelimwa asia? Then jiulizeni ni mara ngapi tanganyika imeshaingia ktk uhaba wa chakula na zanzibar mara ngapi? Nyie watu jiulizeni hzo ni very simple logics....... nikupeni...
  16. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Hebu nmoja tu ktk nyie aniambie ni lini Tanganyika iliwahi kupita ktk better living std km ambavyo zanzibar imewahi.....100% free education to all, free health, accomodation and other basic public utilities? Hamjawahi kuwa na kiti UN taifa gani nyie na muungano uvunjike leo tuone km mtapata kiti...
  17. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Huu ndio ujinga uliotopea ktk vichwa vya watanganyika. Yaani wanahukumu watu kwa asili zao, wadini tena wadini wajinga na wapumbavu, na siku zote huwa chuki zenu zipo kwa waarabu na ofcourse huwa si waarabu bali ni uislamu km alivyotamka wazi yule nabii wenu Nyerere laanatu-llah alaih. Sisi...
  18. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Minyoo naona unaropoka tu, na huyo Mtikila ndo kuzidi.... ..nlijua huyo jamaa ana akili, kumbe duhhh majanga!!!! Kwani nyie watanganyika hamjiulizi km wazanzibari ni mzigo kwa nini viongozi wenu ndio wanaotumia juhudi zao zote mpaka nguvu za kijeshi kuhakikisha vibaraka wao hapa zanzibar...
  19. Haroub Kibanda

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Angalau wewe umeongea cha maana, ila hao wengine wanaropoka na kuongea kishabiki..........ahsante kwa kuwa muelewa na kujadili mambo critically....!!!!
Back
Top Bottom