Search results

  1. A

    🚨 Mitsubishi Outlander a.k.a Kenge kwenye msafara wa Mamba

    nahitaji yakuanzia 2012_2014 kuijua kwanza zaidi
  2. A

    Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    UKIWA NA BEI NZURI SEMA UNA QUANTITY KIASI GANI TUJE KUCHUKUA
  3. A

    Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    ushauri wangu weka bei zilizopo sokoni hapo hapo moro kuna wateja wazuri tu iyo 2000 ni bei ambayo hata india haipo
  4. A

    Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Serikali kwenye kila muamala wa benki inakata vat charges nashangaa tena wanachukua tozo inasikitisha sana kile kidogo tunachobakiwa nacho wanachukua
  5. A

    Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Tanga mfumo wa ulipaji kodi haupo vzr nililipia ushuru wa mazao siku moja muheza na nilikuwa na document zote lakini cha ajabu kila nikifika kwenye mageti wananiomba niwape commision ya 20000 ikafika sehemu nikagoma kutoa walinisumbua njiani balaa wanahitaji kupitia mfumo wa ulipaji kodi tena na...
  6. A

    Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

    Nilikuwa block 4 social science niliuza sana nguo na stationary pia nilikuwa nauza na kufanyia watu assignment
  7. A

    TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

    Mungu amlaze mahala pema alikuwa mtu mzuri sana na mtu wa watu ni pigo kubwa sana.
  8. A

    Biashara Tabora- Mtaji Milioni 14

    nenda mombasa katafute soko la asali hafu uje ununue tabora ukauze
  9. A

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    nimekumbuka sana chenja ya asubuhi mchakamchaka( ilikuwa na morali sana)
Back
Top Bottom