Search results

  1. tapemeasure

    Fursa kwa wanachuo wote.

    Mashindano ya 8 ya uwandishi wa essay kwa wanafunzi waliopo vyuo mbali mbali Tanzania.
  2. tapemeasure

    Naomba kufahamishwa muundo wa Katiba ya NGO

    Habari za muda wana jamvi, Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo. Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu. Shida yangu ni kutaka kufahamu muundo wa katiba ya NGO yoyote umekaje. Mfano katiba ya kikundi cha...
  3. tapemeasure

    Uwezekano wa kuhama chuo ngazi ya Diploma

    Habari za kutwa wana jamvi la elimu. Husika na mada tajwa apo juu. Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana weza kusoma MD kwa mwaka huu. Ameomba KCMC UDOM pamoja na St Francise ila amekosa vyote. Amekaa...
  4. tapemeasure

    Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT

    Habari za kutwa wana JF. Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla. Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
Back
Top Bottom