Search results

  1. is3haq

    Msaada wa kupata template za blog

    Cheki hapa zipo za ukweli nyingi tuu na bure Free Blogger Templates | ThemeXpose
  2. is3haq

    Msaada; Uzuri na udhaifu wa blackberry

    Blackberry ipo poa kama wewe sio mvivu wa complicated UI, ukiangalia feature nyingi za android wamecopy kutoka kwa hawa malegend wa smartphones. Kuanzia Whatsapp wamecopy kutoka kwa BBM, Messanger, n.k. Tatizo kuu la Blackberry nyingi za kizamani zinatumia BIS (Blackberry Internet Services)...
  3. is3haq

    Ishu ya umeme kukatika wiki nzima Tanzania ni ya kweli?

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwatangazia wateja wake walioungwa kwenye gridi ya taifa kote nchini kuwa majaribio ya Mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi 1 megawati 150 yanaendelea vizuri na sasa tupo kwenye hatua za mwisho za kuwasha mtambo huo. Habari njema ni kwamba, gesi...
  4. is3haq

    Ishu ya umeme kukatika wiki nzima Tanzania ni ya kweli?

    Ahsante, Nimepata taarifa kuwa ni kweli utakuwa unakatika nchi nzima ila kwa muda usiozidi masaa mawili, ili kupisha installation ya huu umeme wa gas.
  5. is3haq

    Ishu ya umeme kukatika wiki nzima Tanzania ni ya kweli?

    Habari wadau, Hivi hi ishu ya umeme kukatika nchi nzima kwa wiki ni ya kweli wadau? Nasikia wanasema tunahamia rasmi kwenye gesi, hiyo ni kweli wadau? Kwa yeyote mwenye taarifa please!
  6. is3haq

    Msaada jinsi ya kuconfiga internet setting kwenye Huawei Y530

    Wanajamvi naombeni msaada jinsi ya kuconfiga internet katika simu hizi mpya za tigo za Huawei Y530. Android version 4.3 na ni tigo.
  7. is3haq

    Msaada mguu umepoteza hisia

    Nashukuru kwa mawazo yenu wanajamvi, nilienda hospital pale Herbat Kairuki na dokta akanieleza nini kinanisumbua, tatizo lilikuwa kuna nerve za fahamu zinazoleta taarifa kwenye mguu zilibanwa maeneo ya nyonga kutokana na kukaa chini muda mrefu. Nilipewa vidonge vya kumeza na alishauri nifanye...
  8. is3haq

    Msaada mguu umepoteza hisia

    ahsante kwa ushauri mkuu mzizimkavu
  9. is3haq

    Msaada mguu umepoteza hisia

    Habarini wana jamvi, mimi ni kijana wa miaka 23 nina tatizo katika mguu wangu wa kushoto.Kuanzia kwenye goti kushuka chini kuna muda unapoteza hisia, wiki ya pili sasa tatzo hili linanisumbua. Naombeni ushauri wenu.
  10. is3haq

    Huyu jamaa kuoga anashindwa

    mimi binafsi nina tatzo kama lake, tofauti yetu mimi huwa nikifanya zoezi ndio naweza kuoga kwa amani. Limenisumbua sasa kwa muda wa miaka tisa na nimehangaika hospital tofauti bila mafanikio. Chanzo cha tatizo hilo ni kuwa na ngozi kavu so kwa hiyo unapooga mwili unapoteza maji, wapo...
  11. is3haq

    Re;it prefessional without diploma,masters,degree

    kujiajiri au kuajiriwa inategemea na juhudi zako binafsi, kama ukiwa mzuri na ukawa unafanya shughuli za ukweli zinazokubalika basi ni rahisi kujiajili au kuajiliwa.
  12. is3haq

    Matumbo Sumbufu au Irritable Bowel Syndrome (IBS) Ni nani anayeweza upata? IBS ni

    Ni kweli hii kitu huwa inawakumba watu wengi ila ni ngumu kusema sababu inainvolve maeneo ya sirini. Vitunguu swaumu na papai vinasaidia sana kutibu matatizo haya, pia juice ya ukwaju inasaidia kuondoa haya matatizo.
  13. is3haq

    msaada computer yangu software zote zimebadilika icon na kuwa media center

    mimi nilishawahi pata tatzo kma lako kma mara mbili hivi, fanya hivi, create new account na utaziona shortcut zako zote kwa software ulizochagua zionekane kwa all users.
  14. is3haq

    Min laptop imegoma kuwaka

    jaribu kuchomoa ram alafu chomeka tena.
  15. is3haq

    Simu yenye kasi kwenye internet

    tafuta sonyericson experia toleo lolote zpo vizuri kwnye iternet,kuhusu speed inadepend bt mimi huwa napenda kutumia airtel,sio sababu ya unafuu tu ila hata upatikanaji wa 3G ni mkubwa katika mikoa mingi ukilinganisha na voda au tigo,also wana 3.75G.
  16. is3haq

    msaada jinsi ya kuset boot order kwenye samsung netbook

    habari wanajf,naomba mnisaidie jinsi ya kuset boot order kwenye samsung netbook n150 ili iboot kutoka kwenye USB,nimejaribu kuingia kwenye bios ila boot priority yake haina sehemu ya kuboot kutoka kwenye USB.Please naomba mnisaidie sababu nataka kuinstal new window.
  17. is3haq

    Wataalam wa computer umizeni kichwa hapa

    ni hivi inaonekana hiyo mashine yako ni 64bits alafu wewe unaistall software za 32 bits,so nakushauri ujue mashine yako kama ni 64bits au 32bits then tukusaidie.
  18. is3haq

    Utapeli mpya wa vodacom

    jibu la wapo kwenye majaribio nakubaliana nalo but mbona inakubali mitandao yote?
  19. is3haq

    Kuhusu "mwanga" na "giza" sayansi inasemaje?

    ndio maana hakuna torch ya kiza.
  20. is3haq

    Msaada dell latitude x 300

    drivers za sauti zipo,spika kubwa,cd-room na baadhi ya port zipo kwenye plate ya chini ambayo ni ya kudock na ku undock,cd room inafanya kazi vizuri na hizo port nyingine pia,tatizo ni spika tu.
Back
Top Bottom