Search results

  1. T

    John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

    Huyu Bwana anaitwa Marcossy Albanie, Mwanaharakati na Mkurugenzi Mtendaji wa Citizens’ Parliament Watch (CPW). Marcossy, wengine humuita Mgweno ni mwanaharakati wa maendeleo mwenye uzoefu wa kazi mbalimbali alizofanya maeneo mengi nchini Tanzania na nje ya nchi anayejulikana miongoni mwa...
  2. T

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Kama ninyi mpo wengi...... hata Misri na Libya walikuwepo.
  3. T

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Michango jukwaani hapa inadhihirisha namna ambavyo tunahitaji kubadirishwa sisi kwanza kabla ya kutaka mabadiriko. Hii ni kweli kuwa tunahitaji mabadiliko sisi kwanza kabla ya mabadiliko tuyatakayo. Mimi nilishangazwa sana kusoma mijadala humu kuwa Dr Ulimboka kanyamazishwa, wengine...
  4. T

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Nasikitikakuwaarifu kuwa hakuna jipya aliloacha Dr. SU ambalo halijarekodiwa. Kilichobaki ni kukamilisha ushahidi na kuweka bayana kwa maneno yake mwenyewe.... Usalama wake ni juu ya MUNGU WAKE nanyi ndugu zake... waliobaki watakamilisha hesabu. Kwa Mungu haki huhesabiwa kwa dhahabu na fedha...
  5. T

    Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

    Here's a basic overview of CT scanner prices, costs, expenses, and how much other CT scanner options are going to cost you. The Bread and Butter The "bread and butter" option applies to those looking to perform almost every kind of scan aside from cardiac. The best bet in balancing your...
  6. T

    Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

    Here's a basic overview of CT scanner prices, costs, expenses, and how much other CT scanner options are going to cost you. The Bread and Butter The "bread and butter" option applies to those looking to perform almost every kind of scan aside from cardiac. The best bet in balancing your...
  7. T

    Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

    katika ile mashindano ya madaktari Bingwa Duniani, Dr mmoja toka japan alijisifu kwa kumwekea mgonjwa wake mikono ya bandia miaka ishirini ilopita na kuwa kijana huyu amefanikiwa kuwa bingwa wa SUMO anayethaminiwa sana Japan hivi sasa. Dr toka Tz ndiye aliibuka mshindi kwa kumwekea katoto/kijana...
  8. T

    Star tv Live: Kukithiri kwa ufisadi, maadili yamepuuzwa?

    Yahaya, ile taarifa ya CPW ilionesha kuwa moja ya suala lilowaangusha sana viongovi wa Bunge kwa wastani wa ufanisi wao ni namna walivyoshughulikia madai ya kuwepo rushwa ndani ya Bunge na miongoni mwa wabiunge. Mfano ulotolewa ni jinsi walivyosghulikia madai ya Mh. Kafulila aliyewataja kwa...
  9. T

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    NAFIKIRI PIA ITAKUWA VEMA TUKIRI KUWA KUONGEZEKA KWA KAZI ZA ASASI ZA KIRAIA NA Wanaharakati kumesaidia sana kuibua na kuchagiza mabadiriko. Taarifa nyingi za utafiti, uchambuzi na uwazi zimeweka mambo mengi bayana. Wa pili kujali ni vyama vya upinzani vimetoa nafasi kwa viongozi wenye uwezo...
  10. T

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    Kaka nimekuambatanishia an EXTRACT FROM SOCIAL ACCOUNTABILITY REPORT OF MWANANZA CITY COUNCIL IN 2008 By Marcossy Albanie inayoonesha kuwa mambo haya Mwanza yalianza zamani isipokuwa waliokuwepo madarakani wakati huo walifumba macho. (Although over 50% of the section's allocation goes for...
  11. T

    Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?

    Tathmini ya Ubora wa Viongozi wa Bunge 2011: 1. NDUGAI, JOB YUSTINO; Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilindaserikali; haoneshi utashi wake kumiliki mamlaka aliyopewa na Kanuni za Bungeanapoongoza vikao. USIKIVU KWA WABUNGE 2.500 UZINGATIAJI KANUNI 2.625...
  12. T

    StarTV Live: Mjadala Bungeni Kielelezo cha kukomaa Demokrasia?

    Tarajio letu wabunge wajikite kuelezea taarifa za CPW juu ya utendaji wa viongozi wa Bunge kwa vigezo vilivyoainishwa. Kuwatambua au kutowatambua CPW si jukumu la wabunge au waziri, vipo vyombo kwa ajili hiyo, na hiyo haina tija kwenye taarifa zao. Sababu anazotoa Naibu Spika Ndugai kukwepa...
  13. T

    tuongee asubuhi,mijadala bungeni;kielelezo cha kukomaa kwa demokrasia.

    Tarajio letu wabunge wajikite kuelezea taarifa za CPW juu ya utendaji wa viongozi wa Bunge kwa vigezo vilivyoainishwa. Kuwatambua au kutowatambua CPW si jukumu la wabunge au waziri, vipo vyombo kwa ajili hiyo, na hiyo haina tija kwenye taarifa zao. Sababu anazotoa Naibu Spika Ndugai kukwepa...
  14. T

    Taarifa za Utendaji wa Viongozi wa Bunge la Tanzania (MPYA Tanzania)

    Tathmini ya Ubora wa Viongozi wa Bunge 2011: 1. NDUGAI, JOB YUSTINO; Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilindaserikali; haoneshi utashi wake kumiliki mamlaka aliyopewa na Kanuni za Bungeanapoongoza vikao. USIKIVU KWA WABUNGE 2.500 UZINGATIAJI KANUNI 2.625 UPENDELEO WA...
  15. T

    Friday on Star TV: Tathmini ya Viongozi wa Bunge 2011

    Taarifa tulizopata ni kuwa utafiti huu ni huru na haukutumia gharama zozote za ufadhili. Watafiti walijitolea kwa gharama zao na walitumia VOLUNTEERS wa kitanzania kuendesha zoezi hili. Nawasilisha.
  16. T

    'MESEJI' ya HUJUMA...

    Lete namba zako za cm watu tufanyie kazi, la sivyo tumia muda huu kabla MOD hajachukua hatua za kukurekebisha. Hapa Kazi tu mengine peleka MabweP.
  17. T

    Taarifa za Utendaji wa Viongozi wa Bunge la Tanzania (MPYA Tanzania)

    Jack Zoka, Nyoka Mkuu.... Hussein Ramadhani Mwagilo
  18. T

    Hivi utendaji kazi wa wabunge wa magamba unategemea homa za vpindi?

    Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and Political Rights Watch) itatoa taarifa juu ya tathmini ya Uongozi wa Bunge kwa mwaka 2011. Tathmini hii inaangalia utendaji na ufanisi wa viongozi wa Bunge...
  19. T

    Tathmini ya Viongozi wa Bunge 2011

    Siku ya Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and Political Rights Watch) itatoa taarifa juu ya tathmini ya Uongozi wa Bunge kwa mwaka 2011. Tathmini hii inaangalia utendaji na ufanisi wa viongozi...
Back
Top Bottom