Search results

  1. majonzi

    January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Huyu Dogo atatuvurugia amani yetu tumtazame kwa macho mawili
  2. majonzi

    Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

    Karibu Ester Bulaya kwenye basi makini lenye hadhi yake, basi hili la ukawa litakurudisha mjengoni bila hofu
  3. majonzi

    Kahama: Watendaji wa Lembeli, wanadi mkutano wa Tundu Lissu

    Magamba yanapukutika utazani kipindi cha kiangazi
  4. majonzi

    TANZIA John Nyerere afariki dunia

    R.I.P John Nyerere
  5. majonzi

    Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

    Kumegewa siku hizi ni kawaida ukitaka usimegewe mkeo usifuge kitambia
  6. majonzi

    Butiku atema nyongo asema CCM inafuga majambazi, majangili na mafisadi

    Mimi ninamkubali sana huyu mzee akiongea, hapepesi macho wala kumungunya maneno
  7. majonzi

    Ngeleja awalipua Upinzani

    Huyo Ngereja anafahamu maana ya upinza vizuri? au kaamua kuongea ili watu wajue kuwa na yeye yupo bado mjengoni
  8. majonzi

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Huyu jamaaa sijui vipi anatafuta promo kwenye mitandao kwa nguvu kwanza watu wa Mbeya wanamtafuta awaombe msamahaa kwa matusi yake
  9. majonzi

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Tupo pamoja kamanda katika kudai haki AMINIA
  10. majonzi

    Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Naomba viongozi wote wa chadema tujaribu kuchunguza kwa umakini ili tuweze kukitambua hicho kirusi kilichopo hapo makao makuu haiwezekani barua za ndani zikawa zinavuja kiasi hicho.
  11. majonzi

    Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

    Kapige kazi kamanda wakati wao wakiangaika na kujifanya BONGO MOVIE sisi tunawapiga za uso kwa wananchi
  12. majonzi

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Leo ZITO umenoga bila kutiwa ndimu siku zote ungekuwa unawachinjia baharini kama leo chama lisinge yumbishwa, WELL DONE KAMANDA umetoka kivingine this time
  13. majonzi

    anywa sumu baada ya kufeli form four

    R.I.P. wakusoma
  14. majonzi

    CHADEMA: Tutafanya Maandamano Makubwa ya Mapokezi ya Wabunge wetu

    Kesho tujitokeze kwa wingi Ubungo saa 5 asubui kuwapokea wabunge wetu wa upinzani na tukiwa na wabunge hao tutaelekea viwanja vya TEMEKE litapigwa bonge la mkutano tusikose MAKAMANDA peoplessssssss!!!
  15. majonzi

    PICHA: Lulu akiwa mahakamani mapema leo asubuhi

    Kweli Gereza limemkubali
  16. majonzi

    Kikwete, acha kulidhalilisha JWTZ kwa kulinda amani mtaani MASASI

    Amani ya taifa letu inapotelea mikononi mwa KIKWETE
  17. majonzi

    Ndesamburo: Nimerudi na niko fiti kikamilifu

    Karibu jembe
  18. majonzi

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    Mimi nawatakia kila la kheri wanawamtwara
  19. majonzi

    Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!

    Hawa viongozi wetu hovyo kabisa madini tugundue sisi wenyewe walete wawekezaji kilaini, tungueni wazungu wawili kwa mishale liwefundisho
Back
Top Bottom