Search results

  1. Samily de cruze

    Kwa uhitaji wa kuchimbiwa kisima bora na cha kisasa

    HABARI ZA MUDA HUU NDUGU ZANGU ☆TUNATOA HUDUMA YA UCHIMBAJI WA VISIMA VYA KISASA NA BORA ☆Location:- Dar es Salaam ☆PIGA SIMU NO:- 0714246117 KARIBUNI..
  2. Samily de cruze

    Je, mtu aliye Diploma anaweza omba mkopo?

    Habari ndugu zangu; Ningependa kuomba msaada hapa kidogo kuhusu swala la mkpo he bodi ya mkopo #heslb Wana weza toa mkopo kwa mwanafunzi wa diploma? Hii ni kutokana na matatizo ya kifamilia ndio maana nauliza ndugu zangu hebu tusaidiane kwa hili mwenye uelewa juu ya haya. Asanteni
  3. Samily de cruze

    Naomba kujuzwa Vyuo vinavyofundisha kozi ya Human Resources Management

    Habari wakuu, Natumaini mpo gud lengo la thread hii wakuu naomba msaada wa mtu anayewezanipa list ya Vyuo vinavyo toa kozi ya Human resources management kwa Dar es Salaam
  4. Samily de cruze

    Kipi Chuo bora kati ya CBE na TIA kwa Kozi za Bussiness Administration?

    Habari wakuu, Naomba msaada nhitaji kufanya application kwa kozi ya business administration lakini kuna vyuo hivi viwili CBE na TIA pote kozi inapatikana nilikuwa naomba msaada kwa mtu mweny uelewa au ufahamu juu ya Hili kipi Bora kwa kozi hiyo. ASANTE
  5. Samily de cruze

    Msaada juu ya matokeo ya Application za Chuoni

    Hellow Wana jamii, naomba MSAADA kwa mtu yeyote yule ambaye anaweza fahamu kuhusu majibu ya application nimeapply chuo Cha TIA (Tanzania institute of accountancy) kwa ngazi ya cheti sijajua majibu yanatoka muda gan au siku gani. Kwa anae fuahamu au aliye na uzoefu juu ya Hilo naomba usaidizi...
  6. Samily de cruze

    Naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu Chuo cha Mweka

    Naomba msaada wa ushauri juu ya hili swala bamkubwa kanishauri nikasomee chuo kinaitwa Mweka cha Wildlife kipo Moshi na sijajua kuhusu ajira zake kama zipo vizuri au ni za shida ukizingatia elimu yangu ni ya kidato cha nne naombeni ushauri juu ya hili swala. ASANTE
  7. Samily de cruze

    Siku sio nyingi dunia kwa ujumla tumeingia kwenye mtikisiko mkubwa ambao umesababisha shughuli ngingi kusitishwa

    Hellow rafiki na ndugu Leo ningeomba tujuzane na kupeana mawazo juu ya ulimwengu jinsi unavyo enda na matatizo yote yanayo tukumba. Siku sio nyingi dunia kwa ujumla tumeingia kwenye mtikisiko mkubwa ambao umesababisha shughuli ngingi kusitishwa ikiwemo. Elimu, Michezo na vitu mbali mbali. Pia...
  8. Samily de cruze

    Msaada: Naomba kujua kuhusu kozi ya Procurement and Transport

    Naomba kufahamu juu ya kozi ya procurement and transport Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Samily de cruze

    Msaada kuhusu upatikanaji wa chuo cha ujenzi kilichopo Dar es salaam

    Habari wana JF naomba kusaidiwa kuhusu ili je ni chou gani ambacho kipo dar es salaam ambacho kina kozi za ujenzi wa barabara Nahitaji kupata elimu zaidi kwani kwa sasa nafanya kazi ya kuchukua tenda za kusafisha mabarabara sasa nimeona nikajiendeleze kielimu zaidi na pia nahitaji kusomea na...
  10. Samily de cruze

    Je, yuko wapi Hussein Machozi?

    Habari wanajamii, Naomba kujuzwa mwanamuziki aitwae Hussain Machozi hivi yupo na kama yupo amesha toa wimbo wowote katika mwaka wa 2019/20? Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samily de cruze

    Leo napenda tushare maneno mazuri na kutia moyo na kufundisha

    Habari wana jamii leo ningependa kushukuru sana maana kiukweli ni vingi nilikuwa sijui ila kupitia jukwaa hili nimejifunza mengi. Sasa ndugu zangu leo napenda tushare maneno mazuri na kutia moyo na kufundisha Kaka, dada, baba, shangazi, mjomba wote kwa ujumla kama unalo neno au maneno ambayo...
  12. Samily de cruze

    Umuhimu wa kozi ya Business Administration

    Hellow wana JF nilikuwa naomba tueleweshane na kujuzana kuhusu ili. Tukiangalia Tanzania inazidi kujua ila na kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda sasa swali langu lipo hapa. Hivi kwa mtu anayesoma Business Administration anakuwa na kazi gani katika kampuni na je kozi hii umuhimu wake ni upi na...
  13. Samily de cruze

    Naomba kujuzwa kama aliyesoma Diploma hii anaweza kuendelea na Digrii

    Habari wana JF (wasomi) nimeweka Uzi huu kwa nia ya kujifunza na kuelekezwa kuhusu ili. Je kwa mtu aliye soma diploma ya business administration anaweza kuendelea mpaka digrii au haiwezekani? Naomba tujuzane plz. Nimewasilisha. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Samily de cruze

    Msaada wa qualifications za kujiunga Center for Foreign Relations (CFR)

    Jaman wana JamiiForums naombeni msaada wa kupata qualification za chuo cha diplomasia kilichopo Kurasini, Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Samily de cruze

    Jinsi ya kufanikiwa katika maisha

    Hellow wana JF leo naomba tushare vitu vichache ambavyo vitaniwezesha mimi na wewe pia hata ndugu zako jinsi ya kufanikiwa katika maisha nitaenda kukuonesha siri saba za mafanikio na pia kama wewe utakuwa na za kuongezea utaongezea kwa manufaa ya wote. Nayo ni kama ifuatavyo: 1. Always keep...
  16. Samily de cruze

    Maisha sio kubahatisha maisha ni kujituma na kukubali changamoto zote

    Wenda kijana mwenzangu kwa Siku nyingi na miaka mungu umekaa bila kugundua na kufikiria maisha yako ya mbeleni utafanya nini kufikia target yako. Inaweza isiwe muhimu sana kwa mtazamo wa juu ila kaa ufikirie je nikwel au uongo. Kufanikiwa maishani unaitaji vitu viwili; >UJINGA >UJASIRI * Mtu...
  17. Samily de cruze

    Upatikanaji wa post za waliochaguliwa Form 5 na vyuo

    Wana JF naombeni msaada wenu jinsi ya kupata link ya post za waliochaguliwa kujiunga na vyuo pamoja na form 5. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Samily de cruze

    Naomba kuelekezwa namna ya kuapply Chuo

    Jamani naombeni kujua kwa mfano chuo kama IFM au vyuo vyote ukitaka ku-apply wanakwambia andika index number. Naombeni kukumbushwa jinsi ya kuandika please. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Samily de cruze

    Naomba kueleweshwa kuhusu kozi hizi

    Jaman Naomba kufahamu kozi zifuatazo: Hivi nikisoma kozi hizi naweza fanya kazi gani 1:Human resources management 2Public sector financial management 3Public procurement and supplies management Naomba msaada wenu jamani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom