Search results

  1. M

    Nimesoma Stashahada ya Ugavi, natafuta mahali pa kufanyia Field Practical

    Hahahaaaa,haya maisha tunapoelekea sijui ni wapi,yaani sasa hivi mpaka field tunaanza kuhitaji connection
  2. M

    Nimesoma Stashahada ya Ugavi, natafuta mahali pa kufanyia Field Practical

    Habari,Mimi ni kijana ninayesomea diploma ya ugavi na ununuzi kutoka chuo cha uhasibu Tanzania(TIA). Ifikapo tarehe 1/8/2021 tunatakiwa kuanza kufanya field(masomo kwa vitendo). Hivyo naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nipate sehemu ya kufanyia field.
  3. M

    Procurement & logistics

    Jamani ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uelewa na hii course ya procurement kama bado Ina soko au nibadilishe nisome accountancy.
Back
Top Bottom