Search results

  1. T

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    ikiwezekana wanakuua kabisa....!
  2. T

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    CHADEMA vs CCM ndio uwanja wenu
  3. T

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    hivi wewe na umri wako bado unaaamini anything the Govt tells you? come on jiulize kwa nini CAG aliandaa ripoti 3 tofauti na nani kapewa ripoti ipi na kwa nini?
  4. T

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    you are asking the wrong question the right question should be je hao wanachama wako kwenye category ipi kati ya hizi: 1. WENYE NCHI 2. WALA NCHI 3. WANA NCHI ukishajua jibu la hilo then kila mmoja atajua hatma yake.
  5. T

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    wana JF wako bize na mipasho ya akina CCM vs CHADEMA kuna mtu wa kufikiria beyond petty politics za Mwigilu, Lema, Lwakatare na Youtube videos? Ukumbi mmepewa lakini mko bize kujadiliana na nani ana watu wengi zaidi kwenye mikutano ya hadhara
  6. T

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    As other countries in East Africa stick on nominating bloated cabinets (mawaziri na manaibu 40 hadi 70), and mostly re-cycled materials; President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto have today unveiled twelve more cabinet secretaries nominees to bring the number to sixteen out of...
  7. T

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Je mnajua kuwa kulikuwa na versions 3 za CAG reports ambazo zote zimefichwa from the public? Yes Ludovick Utouh either kwa kuambiwa au kwa kusudi ameamua kuwa wasiweke ile ripoti ya mahesabu ya PSPF wazi japo ni pesa za pensheni zinazolipwa na idara zote za serikali. Sasa policy makers na REAL...
  8. T

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    well...nalaumu media ya Tanzania iliyojaa waandishi wajinga na ma pu mba v
  9. T

    Symbion Power: Intelligence watupu

    sasa naamini kuwa yaliyotokea MTWARA si bure
  10. T

    Vurugu ya Gesi Mtwara: CIA/MI6/DGSE lawamani

    Hivi mmesoma gazeti la leo ambalo limetoa tuhuma kuwa vurugu za kule Mtwara zinachochewa na mashirika ya kijasusi ya CIA na MI6 Hii imenifanya nikumbuke thread hii : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html Inamaana ile ARAB SPRING...
  11. T

    Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

    These are serious allegations. Je Waziri Nyalandu katoa ufafanuzi upi kuhusu hili jambo?
  12. T

    Picha: Ikulu yazawadia wafanyakazi wake bora, yapokea makombe ya shimiwi na kupongeza wanamichezo wa

    Of course Ikulu itakuwa imechakachua kama kawaida. Sitoshangaa kuskia kama walikodisha mamluki (mercenaries wa kili namna ) ili washinde game zao na wapokee vikombe hivyo. Cha kujiuliza kuwa mwenyekiti wa kamati ya ushindi alikuwa ni nani na kamati ya ''ufundi'' alikuwa ni nani? Je marefa...
  13. T

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    I agree Pesa ikishaingia kwa wazungu huwa hairudi, na ikirudi wao huwa wana namna ya kuirudisha tena Abacha Nigeria kaiba pesa zote hizo halafu wao wanarudisha vijisenti ambavyo vimerudi tena uswisi kupitia NGO na makampuni ya uswisi kupewa sub contracts.
  14. T

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    British government inactive on freezing Mubarak regime accounts The British government has allowed 19 members accused of embezzling under the former regime to keep for the past year and a half financial assets and real estate whose value is estimated in the millions, an investigation by the...
  15. T

    Kwanini Magufuli na Mwakyembe hawatoki CCM?

    Kwa hili umewashika wana JF pabaya Unakumbuka tulivyoambiwa tu boycott makampuni ya Rostam kama Vodacom? Sasa kiko wapi? Tazama hapo chini fisadi Rostam naye anatangaza biashara zake JF MASWALI MENGINE BORA MYAACHE TUU MAANA MNAWACHANGANYA WATU NA HUMU DOUBLE STANDARDS NDIO HOME
  16. T

    "DR" Shayo the plagiarist

    Mimi hata simlaumu huyu bali ninam QUESTION Ndugu Mwakyembe. Ina maana kama nia yake ilikuwa ni ku balance dini na umri bas yeye kaona huyu ndio anafaaa? Kwa nini asingefanya hata simple GOOGLE SEARCH na kujua anadeal na nani? Kuna majina kibao kama alikuwa anataka vijana wapo akina: NATHAN...
Back
Top Bottom