Search results

  1. Born Star

    Ushauri

    Wanaotumia huduma zenu si watanzania peke yao wapo wageni kutoka nchi mbalimbali wanatumia huduma zenu sasa mnaposema kusajili lain ni mpaka kitambulisho cha utaifa peke yake je hamtaki hawa wageni watumie huduma zenu kwanini msiruhusu lesen hati za kusafiria zitumike pia
  2. Born Star

    Msaada jinsi ya ku enable javascript

    JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding. Huu ujumbe naupata ninapo peruz jamiiforums je nawezaje ku enable javascript kwenye operamin yangu natumia Nokia asha 303
  3. Born Star

    Ujanja na utapeli wa tigo

    Wana jamiiforums kuna jambo la muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa tigo nataka kushare nanyi ukipigiwa simu na huduma kwa wateja wa tigo kuhusu huduma yoyote na wakakwambia bonyeza kitufe chochote kupata huduma hii usikate simu maana ukikata unakuwa umeshabonyeza kitufe kwa hiyo wanakuunga...
  4. Born Star

    Kwa hili usihitaji malipo yoyote

    Kumsomesha mpenzi/girlfreand usitegemee huyo unaye msomesha atakuja kukulipa jema lolote kama unamsomesha msomeshe tu ila usitegemee chochote na usitegemee utakuja kumuoa sahau wanawake hawapendi watu wanao wajali sana wanapenda watu wanaowapeleka peleka hiyo ndio siri kubwa ya wanawake...
  5. Born Star

    Lowassa Umenifurahisha Big Up

    Siasa Umeweka Pembeni Sasa Unatekeleza Kauli Mbiu Ya Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa Dr John Pombe Magufuli Ya HAPA KAZI TU Kwa Vitendo Kwa Kuchunga Ng'ombe Nimefarijika Sana Big Up
  6. Born Star

    Umeme wa betri la gari

    jamani naomba ushauli wenu eneo nililopo halina umeme kwa hiyo nataka kutengeneza umeme kwa kutumia betri la gari na inveta kwa matumizi ya kuchaji cim na redio na tv je inawezekana ushauli hata kama una njia nyingine unayo ijua pleas ushauli wako unahitajika
  7. Born Star

    Kujiendeleza kielimu

    Nina elimu ndogo ya darasa la saba lakini nataka kujiendeleza kitu kinachonitatiza ni muda siku nzima nakuwa kazini. Sasa nataka niwe najisomea usiku ili nifanye qt sasa naomba ushauri ninunue vitabu gani au online books mtandao gani vipo ambavyo vitanisaidia na je inawezekana kama nikifaulu qt...
  8. Born Star

    Kanumba & Kigosi

    nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za...
  9. Born Star

    hodi hodi

    naomba mnikalibeshe pleas
Back
Top Bottom