Search results

  1. Bambushka

    CCM waanza kuchapana

    Kazi IPO! Wauze wahamie Pemba!
  2. Bambushka

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    Nilichopenda na realistic timeline! Miaka 7! Ila, ingekuwa mtu fudenge ungesikia jukwaani mradi lazima ukamilike 2025! Ili azindue hata kama ni theluthi Tu iliyokamilika!
  3. Bambushka

    Baada ya hali kubadilika Biden amsuta Zelensky

    Beberu hatoi kitu Bora, Anachekelea Putin anavyombomoa Ukraine, Kwa sababu anajua kazi ya REBUILDING OF UKRAINE, atapiga hela ndefu sana, anajua demand ya building materials cement, nondo, itapanda, atauza, usafirishaji gharama zitapanda, meli za mizigo zitaelekezwa Ukraine, huku duniani kuwe na...
  4. Bambushka

    Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Abiria panda gari zingine, zinazoendana na speed unayoitaka! Zipo nyingi Sana route ya Mbeya, New Force, Kilimanjaro, Abood, Kyela Express n.k Kung'ang'ana kupanda Saul ni upuuzi! Sauli ina watu wake special hawana hofu, WANAOKAA ndani, kuchimba dawa hawanunui chakula kinaigiziwa Kwa mama lishe...
  5. Bambushka

    Baada ya hali kubadilika Biden amsuta Zelensky

    Sidhani Ka alikuwa serious, Ila kajitutumua! Sijui kashajiuzulu 😂 Daah kachimba biti!
  6. Bambushka

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Kwani wapinzani siyo watu!? Siyo watanzania!?? Haki ya kuwa viongozi ni ya watanzania wote! Sisiem haitegemei sanduku la Kura linalohesabiwa ofisi za serikali ya mtaa, wewe na unayejua kuliko Mie nisiyejua naamini wajua Hilo!
  7. Bambushka

    MONKEYPOX: A Global psyop designed to deceivepost Covid vaccine victims who develop skinblisters all over their bodies

    Hakuna binadamu anayeishi milele, hata hao unaosema wanaplan kupunguza population, ni wahanga wa kifo!
  8. Bambushka

    Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Watu wamejazana ujinga. Muarabu ndiye anayepambaniwa ammilikishwe! NGO zinajua zinaenda kufa kifo cha mende! Mahela waliyokuwa wanachukua kupitia mgongo wa mashuka na sime za wamaasai yanayeyuka na kupotea!
  9. Bambushka

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Hakutakuwa na candidate tokea huko! Hilo kosa halitorudiwa KAMWE! Wenyewe CCM wanajua wanachofanyaga! Kura za kuhesabiwa na mawakala hawazitegemei! So maybe iko siku moja Kura za kweli zitatupa picha halisi! Siyo Kura zinazokutwa kwenye viroba vya MBOLEA.
  10. Bambushka

    MONKEYPOX: A Global psyop designed to deceivepost Covid vaccine victims who develop skinblisters all over their bodies

    Ulimwengu umejaa conspiracy theories za kutosha, Ila ukweli siku zote hujitenga na uongo! Ngoja tuendelee kusubiria!
  11. Bambushka

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Wanaharakati watatafuta picha za Vita za wafugaji na wakulima Kilosa, zitatengenezewa Stori, waombee misaada, hii nchi ngumu Sana! Kufa KUFAANA! Wahenga walisema
  12. Bambushka

    Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hoja hii imeungwa mkono! Serikali ya Tanzania ndiye mmiliki wa ardhi! Wengine hatuna uamuzi wa mwisho! Na ukiamua imeamuliwa hata ziwekwe siasa za Aina gani watafanya jambo lao! Kimara, sijui Kipawa, ilikuwa Lukobe huko Kilosa...Ihumwe...Songwe....Mvomero! Waathirika ni Sisi kwa ustawi wa jamii...
  13. Bambushka

    DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    😂 😂Inachekesha Sana! Agent wa PK akijaribu kueneza propaganda Ka Zelensky!
  14. Bambushka

    Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Bill Clinton mbona ana mmoja Tu!?!? Maamuzi tu! Wabongo bana kila kitu kesi, maskini alizaa wengi kosa, tajiri akizaa wachache kosa!
  15. Bambushka

    Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Hatusemi waibe, Ila basi waibe kwa utu! Haa haa wale kistaarabu!
  16. Bambushka

    Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Mtaji WA wanasiasa ni ujinga wetu na kutokuelewa vitu! Huenda contena linalozungumziwa ni vile vikopo vya kuhifadhia sukari na chumvi au contena za chakula za Mama ntilie! Mtu anateka akili za watu kabisaaaah kimasihara!
Back
Top Bottom