Search results

  1. Muokota Makopo

    Mliokuwa mnawatusi TTCL kwenye nyuzi mbalimbali mjiandae kisaikolojia

    Tangazo hilo hapo chini. Mnatafutwa kwa matumizi ya lugha chafu dhidi ya shirika.
  2. Muokota Makopo

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Imekula kwenu mliozoea kutukana ovyo
  3. Muokota Makopo

    TTCL Fanyeni haya ili muwe Kampuni yenye ushindani wa kibiashara

    Wataalamu wa biashara, miundombinu na wengineo naomba kufahamu. Je Nini kifanyike ili TTCL iwe kampuni ya kiushindani kama ilivyo Tigo, Voda na Halotel? Maana sahivi wanajikongoja na muda si mrefu wataporomoka kama zamani.
  4. Muokota Makopo

    TTCL Fanyeni haya ili muwe Kampuni yenye ushindani wa kibiashara

    Hawa jamaa walikuwa sharp sana mwaka 2016 kuja 2018 ila sasa wamebadili vifurushi mwaka huu 2020. Nani kawashauri wabadili?
  5. Muokota Makopo

    TTCL Fanyeni haya ili muwe Kampuni yenye ushindani wa kibiashara

    1. Kuboresha na kusambaza minara kwa wingi. Jitoeni kwenye ROAMING ya Tigo, jengeni minara yenu. 2. Kufungua matawi au ofisi zao. Vuta picha pale Kibaha, ofisi ipo sehemu moja tu. Je huko vijijini itakuwaje? 3.Ondoa wazee, wekeni vijana. Wazee wameshachoka wapo zama za Ujima(Communalism)...
  6. Muokota Makopo

    Mh. Ndalichako tafadhali futa usajili wa Chuo cha UCC

    Sharom Waziri Ndalichako twende moja kwa moja kwenye mada husika. Hiki Chuo cha Univerisity of Dar es salaam Computing Center sio chuo kabisa. Tafadhali kifutie usajili maana ufundishaji wao ni wa nadharia tu na si vitendo. Wiki 3 nyuma nilienda kuangalia miundombinu ili nimuapply mdogo wangu...
  7. Muokota Makopo

    Uchaguzi 2020 Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi Oktoba angalia mgombea mwenye sifa zifuataza

    Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi October angalia mgombea mwenye sifa zifuatazo: 1. Ataliweka taifa kuwa la amani, akamate wote wasiojulikana walioua, poteza na kuumiza watanzania wenzetu Wanaokamatwa kesi zao zisikilizwe na kumalizika ili haki ipatikane 2. Atakayeteua watu weledi wenye...
  8. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    tafuta uzi uliletwa na jamaa nani sijui wa buza huko alilalamika alitoka buza mpaka posta makao makuu ya ttcl kwa ajili ya kununua vocha ya 500 na akaambiwa zipo za 1000
  9. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Kibonge haswa mtu mzito kama kiroba cha chumvi
  10. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Jamaa yupo tu ofisini katulia ghorofani anaangalia mandhari ya jiji ilivyo.
  11. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    kuna Mangi alienda kununua voha za jumla akaambiwa subiria mpaka sijui nani aje ndio atie saini ili awepe hizo vocha. MPAKa leo ukienda kwa Mangi haupati vocha za TTCL ila vocha zingine anazo
  12. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Long walk for freedom. Kitaeleweka tu.
  13. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Kwani Bashite alikuwahi kuwa meneja wa TTCM?
  14. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Greyson Msigwa na Pascal Mayalla watamfikishia ujumbe kiaina.
  15. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  16. Muokota Makopo

    Mgeni nikaribisheni JF

    Stop Let’s go Hi, baby say hi Naomba tabasamu pale unaponipa hi Hata kama uko ovyo, punguza nishai Masela na mademu ndani ya nyumba say hi Yoh Hi, baby say hi Naomba tabasamu pale unaponipa hi Hata kama uko ovyo, punguza nishai Masela na mademu ndani ya nyumba say hi D-U-L-L-Y-S-Y-K-E-S (Dully...
Back
Top Bottom