Search results

  1. B

    A light touch: Dakika kumi!

    mkjj, again you stand out from the crowd! thanks for this man.. Unajua, hii kweli inaumiza vichwa sana, tena sana sana. Ila ninaamini in 'my heart of hearts' kuwa kila jambo lina mwisho. Tunaokereka na kuathirika ki-kweli na haya tunaweza kubaki wachache, lakini it won't be in vain! Tuendelee...
  2. B

    Katika pitapita zake kakakutana na hiki...

    this is very serious? how can this be? what did the auditors recommend? has action been taken?
  3. B

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Mramba ndani ya kandambili!?Mungu Mkubwa!
  4. B

    Mwema, Manumba, Othmani, Mganga +1 wawajibishwe!

    Kelele muhimu ziendelee.. na katika mkondo husika, yule 'starring' katika kumwaga unga-unga awajibishwe kisawasawa pia!
  5. B

    Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa..BoT yaendelea kukombwa

    Yana mwisho yote haya.. na mwisho huu umekaribia sasa!
  6. B

    James Sinclair: A Friend or Foe?

    Hivi sinclair anadhani anamchezea nani? hayo maelezo meengi kuwa amefanyia mengi Tanzania ni crap.. labda ajibu what was his motivation for investment? and what did he get in return? And in his case, kwa kukaa miaka yote hiyo inamaanisha amekula mno sasa anakufuru! enough now mister!
  7. B

    Watanzania wamjia juu swahiba wa Kikwete

    safi saaaaaaaaaaaaana! jf hoyeeeee! hakuna kulala. indeed together we can change our destiny!
  8. B

    Chopa ya JWTZ yaanguka na Kuua..

    Ooh, Sad news. May God give them all eternal peace. Pole kwa familia zote.
  9. B

    Daudi Ballali's Death

    Mzee Mwanakijj, heshima yako baba! ulitabiri hili few days ago.. how? how!! Yaani nakuaminia.
  10. B

    Mkapa above the law?: Allegations

    you are not serious, are you?
  11. B

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    what an 'evidence less' report!
  12. B

    Prof.Benno Ndullu kafanya maajabu BOT!!

    SHAME ON YOU MKULLO! MUOGOPE MUNGU, AT LEAST DO YOUR HOMEWORK. Usiendelee kututia aibu wananzania. Ni kwa vile kuna utaratibu tofauti wa kuwajibisha viongozi, hasa wakiongea pumba- otherwise ujinga kama huu unadhihirisha ulivyo kiazi na hivyo unatakiwa uachie ngazi mara moja!
  13. B

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Guys, nimewasoma na inaelekea wote tunakubaliana kuwa lazima tuendelee kuwaibua na kuwabana kiuhakika hawa mafisadi. Sasa, leteni 'action points' basi- tumfanze nini huyu Rostam? Ninaimani action(s) ndo zitaendelea kututoa watanzania hapa tulipo from kuwa walalamikaji kuelekea kuwa watu...
  14. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kwa kweli huhu Chenge ni kituko. Ni aibu sana kwa mtu mzima kama yeye ku behave hivi. What happens to human beings like these ambao wanakosa aibu kabisa katika jamii?Hawana nafsi zinazosuta watu wa kawaida. Shame on you Chenge. Go please.. go.
  15. B

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    God forbid this Mwafrika wa Kike! Kamati kuchunguza kamati- no way. Naelewa kwa nini wafikiri hivyo, and deep in my heart i have a similar fear too. Ila kwa hatua aliyochukua Mheshimiwa Mwakyembe na kamati yake ya kuwa wazi kiasi hiki, ninaimani kubwa kuwa zile zama za kamati kuchunguza...
  16. B

    Jumuiya Ya Watanzania Uingereza Yadaiwa Kuwa Kigenge Cha Maslahi Binafsi

    Sasa kama hii ndiyo hali, is there a solution. Kitila, na wengine any suggestions? At least this UK thing is a small and manageable situation- and to me if solutions can be sort for smaller structures, we can learn how to curb the bigger monsters like BOT..
  17. B

    Tuishitaki Serikali Kwa Kuhujumu Uchumi

    Great idea Ibrah! Eti ndugu zangu lets see how we can do what Ibra suggests. Nashauri team pia iwe na akina Tundu Lissu et al.
  18. B

    Mbeya waichezesha kwata CCM - Mawaziri wazomewa

    Saharavoice, Kilitime you both have good points. Now lets take these great points further! Mie naona we need action- and that action should come from me, and you and everybody else who is asking the questions/issues you have both raised. Viongozi wetu hawana mawazo mapya- they have used all they...
  19. B

    Serikali ya CCM ijiuzulu sasa hivi!

    kweli kabisa. lets take an active role in leading our country. Kwa trend iliyopo we need new blood katika uongozi and one of the best ways is for you and me to take interest and part in leadership. LETS DO IT GUYS!
  20. B

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    nafikiri kwa speed hii, kitalelweka. Lets all continue to take interest in our country and rights. Tuhamasishane, kila mtu kwa nafasi yake ili hawa watu wasiendelee kusema au kuwaza kuwa '...watanzania kazi yao kupiga kelele kwa siku mbili halafu wanasahau..'! This time let it be the time for...
Back
Top Bottom