Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

    Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa. Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
  2. M

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

    Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo...
  3. M

    Dkt. Mwigulu alivyoununua uongozi wa CCM Wilaya wampigie debe

    Juzi baada ya kushtukia mpango wa viongozi wa CCM Wilaya kumpatia kura Dkt. Mwigulu Nchemba mpango huo ulichezwa kwa namna ingine. Pamoja na kuweka mazingira yote kuwa kura zitahesabiwa kwa uwazi na taratibu zingine zote kufuatwa bado Dkt. Mwigulu alikuwa kishawashawishi viongozi wote wa CCM...
  4. M

    Dkt. Mwigulu anapendelewa

    Dkt. Mwigulu Nchemba anavyopendelewa na uongozi wa CCM Wilaya na Mkoa inaweza kabisa kutuponza CCM Iramba tukapoteza kwa upinzani. Nasema kweli kabisa CCM wametoa maelekezo wagombea wote wapewe majina ya wajumbe wapiga kura ikibidi na namba zao ili wafanya nao mawasiliano ya kuomba kuungwa...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

    Kutokana na CCM kuweka mazingira mazuri ya kuzuia watia nia kujipitisha pitisha kwa ajili ya kugombea katika Uchaguzi huu na msisitizo wa kutotumika kwa rushwa, imejulikana kuwa kigezo kikubwa kinachoenda kumtoa Dkt Mwigulu Nchema kwenye kinyanganyiro ni vitendo vyake vya kifisadi amabavyo...
  6. M

    "Kimbunga" cha Membe na Hoja za Lissu zitamng'oa Dkt. Mwigulu Nchemba Iramba!

    Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Upinzani ukimweka Membe itakuwa tofauti kubwa na ilivyokuwa kwa Lowassa! Watashinda

    Lowassa pamoja na kupendwa sana kwa kweli alikuwa dhaifu mno 2015. Tena mno, kimawazo (hakuwa na mvuto wa hoja) na hata kiafya (enzi za siha njema zilishampita). Kwangu mie hata JK kuhakikisha Lowassa hawi Rais ilikuwa ni kumsaidia rafiki yake ambaye alikuwa anajua undani wake. Lowassa...
  8. M

    Uchaguzi 2020 Kampeni inayosambaa Iramba ni "Kumi ya Dkt. Mwigulu Yatosha"

    Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais ili kutimiza ndoto yake. Watu wanatarajia watu wapya kujitokeza kuchukua Fomu na kumpa changamoto...
  9. M

    Kuna kila sababu jimbo la Iramba kugawanywa

    Sio kwa sababu ya Prof. Kitila na Dk. Mwigulu kutenganishwa, hapana. Kuna sababu ya Jimbo hili kugawanywa kwani hata baada ya Iramba Mashariki kufanywa Mkalama bado Jimbo la Iramba ni kuwa kuliko majimbo yote ya Mkoa wa Singida kufanywa Jimbo moja tu. Wanaouhusika tafadhali hebu angalieni namna...
  10. M

    Nakumbuka Mtani wangu alilalama kumpikia chai Nchimbi akakimbilia CHADEMA

    Msifikiri kuwa Waitara Mwita (Naibu Waziri TAMISEMI) kaanza leo kuropoka ropoka (off-course pengine hajaropoka kaongea ukweli), ameanza siku nyingi na ndiyo tabia yake hiyo. Huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa ni Mwanachama wa CCM na kwa sababu hufanya siasa kama biashara akakimbilia CHADEMA kwa...
  11. M

    Dkt. Mwigulu ameanza kujipigia debe kwa kasi tena

    Jumamosi iliyopita kulikuwa na msiba kwenye makao makuu ya kata anayotoka Dkt. Mwigulu kule Kyengege - Iramba. Basi Dkt. Mwigulu bila kutoa taarifa yeyote au kuomba ruhusa ya kutoka nje ya Dodoma akakimbilia msibani kwa gari la Ofisi - Msibani gari lake limeandikwa W- KS utafikiri aliyefariki...
  12. M

    Dkt Mwigulu sio kabisa!

    Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo...
  13. M

    Uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba: Siasa, Dini na Gonjwa la Corona

    Siku tu Dkt Mwigulu alipodai kesi mpya za wagonjwa wa corona zisitangazwe na akashambuliwa sana mitandaoni basi nikajua Dkt. Mwigulu anakijua atendacho. Nikakumbuka ndugu mmoja aliyenidokeza kuhusu Dkt. Mwigulu tangu akisoma Sekondari Mazengo alivyokuwa akitaka cheo ni lazima akipate, atatumia...
  14. M

    Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

    Mwaka huu ni wa Uchaguzi Mkuu ambao kwa jimbo letu la Iramba tunategemea kumpata Mbunge na Madiwani ambao wataifanya Iramba yetu ijipambanue na kuanza kurudi katika enzi za kuwa Wilaya bora Mkoa wa Singida. Kwa sasa Iramba sio bora tena. Inazidiwa na watani zetu na inavyoelekea hata Manyoni...
  15. M

    Kumbe Singida United ilikuwa ya kukupaisha kisiasa!

    Sikuelewa mpaka hivi juzi Mnyaturu mmoja mtani wangu ambaye ni mmojawapo wa viongozi wa Singida United alivyonihakikishia namna Dkt Mwigulu Nchemba alivyojitoa kuidhamini Timu yetu. Ndugu hajaficha ukweli kwani alinionesha hadi dialled calls kwenda Dkt. Mwigulu za kama siku tatu zilizopita...
  16. M

    Uchaguzi 2020 Injinia Jumbe Katala ajitokeza wazi kupokea Kijiti kwa Dkt. Mwigulu Iramba

    Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi: "Hi ni nia tu, Campaign Bado. Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya kuwatumikia rasmi wna Iramba mbali na hii kujitoa kibinafsi katika kuchangia kuinua elimu Iramba. Wana Iramba...
  17. M

    Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

    Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu. Inavyoonekana baada ya kushambuliwa...
  18. M

    Kati ya wanasiasa vijana waliotumbuliwa Januari, Mwigulu na Nape nani anajipendekeza sana kwa Mkulu ili arudishiwe Uwaziri

    Naona kama Mwigulu kule Twitter anatapa tapa sana. Kuna wakati Nape naona alijititimua lkn naona baadaye akapotezea! Tunaweza kusema Januari na Nape ni kama wamebaki na uamuzi wa litakalokuwa na liwe lkn Mwigulu amekomaa na kusifia utawala huu. Ila ukitembea nchini yale mawe aliyoyapiga chata...
  19. M

    Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

    Wewe ni Mchumi na siku zote wachumi huelezea uhalisia wa mambo kwa namba. Wataalamu wanadai "namba haziongopi". Mheshimiwa umekosa ujasiri wa kusema mambo ambayo umeifanyia Iramba kwa sababu hamna ulichofanya ambacho unaweza kujivunia. Au unataka kuongelea kwa mfano shule yako ya Kata yaani...
  20. M

    Jimbo la Iramba Ushirikiano wa Wananchi na Viongozi Zero

    Jimbo la Iramba ni mojawapo ya Jimbo la Ubunge lililopo Mkoa wa Singida. Mwanzani Wilaya ya Mkalama ilikuwa pia ni Jimbo la Ubunge lililojulikana kama Iramba Mashariki. Kwa maana hiyo Wilaya ya Iramba pamoja na ukubwa wake jimbo lake la Uchaguzi ni moja tu - ajabu sana! Historia ya kisiasa...
Back
Top Bottom