Search results

  1. Cobra70

    Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  2. Cobra70

    Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  3. Cobra70

    Kwenye Walimu wa kujitolea kuna ukakasi ila Rais nimekuelewa

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee.. Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
  4. Cobra70

    Bariki ndoa na si kufunga ndoa

    Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele. Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
  5. Cobra70

    Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

    January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri. Antony Mutaka...
  6. Cobra70

    Je, wajua anayeiangamiza Afrika ni nani?

    Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho. Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu wenye huruma sana kwetu na maneno yao ukiyasikiliza kwa haraka unaweza ukahisi ni watu wametumwa...
  7. Cobra70

    Nyuma ya Legacy kuna maumivu

    Nawasalimu wadau wa JamiiForums, Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli na pia bila kumsahau aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar hayati Maalim Seif. Pili: niombe...
  8. Cobra70

    Hivi kuna shahawa za wanaume zinazokondesha na nyingine kunenepesha wanawake?

    Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya. Je, kuna ukweli hapo?
  9. Cobra70

    Serikali iwapeleke A Level shule za vipaji maalumu wanafunzi waliopata division one kali kutoka shule za kata kwanza baadae za private

    Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu. Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
  10. Cobra70

    Mtazamo kuhusu kupunguza tatizo la ajira kwa vijana

    Kwanza, napenda kumpongeza mheshimiwa raisi kwa kutekeleza kwa vitendo miradi ya umeme na miundombinu mana vitu hivi ni muhimu ili kufikia nchi ya viwanda. Ushauri Ningependa kumshauri mheshimiwa raisi awamu ijayo ajikite katika sekta ya kilimo yaani kilimo cha kibiashara mana asilimia kubwa ya...
  11. Cobra70

    Dunia inachekesha sana

    Binti anaanza ngono kuanzia miaka 12 hadi miaka zaidi ya 20 na utitiri wa wanaume hadi kuta za uke zinalegea baadae akiolewa anaanza oo..h eti mwanaume huyu ana kibamia. Uke umeulegeza mwenyewe unategemea radha uipate wapi! Mabinti wa kisasa kila ukikagua picha zao insta na mitandao mingine ya...
  12. Cobra70

    Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Back
Top Bottom