Search results

  1. ze future

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    God Bless Vijana Wote Tz. #themarathoncontinue
  2. ze future

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Asante mkuu
  3. ze future

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mkuu hv ni kamara gani nzuri kukaa yani hakuna matukio ya kukabwa mana nilipo Sasa ni mabibo uku dah vibaka wengi sana uku
  4. ze future

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Unayo namba ya dalali wa hayo maeneo mkuu
  5. ze future

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wazee nataka kuhamia maeneo ya kimara ni wapi nitapata chumba cha 40k maeneo ayo
  6. ze future

    Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    1. Game of Thrones 2.Vikings 3.Warrior(hii series inakua underrated sana sijui kwanini hila ni kali sana) 4.God father of Harlem 5.Dark
  7. ze future

    Morogoro: Watoto zaidi ya 1200 wapatiwa ujauzito ndani ya mwaka mmoja

    Duh hii ni hatari, ingefaa kwa wazazi waanze kutoa funzo la maadili kwa watoto maana huo mmomonyoko unaonekana ni mkubwa sana.
  8. ze future

    Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Mi nilivyo kuwaga shule ya msingi tulikuwa tunaambiwa eti na Mwalimu wa sayansi kila binadamu ana asilimia chache za ukichaa ndani yake, itakuwa we ndo asilimia zako hizo.
  9. ze future

    Msaada: Airtel wamegoma kunirudishia pesa zangu

    Mkuu Muamala Wa Airtel 2 Airtel kama umeshazuiliwa unasubiri masaa 6 ya kazi baada ya kutimia unarudishiwa hyo Fedha. NB; masaa ya kazi yanaanza jumatatu mpaka ijumaa saa 2 asubuhi mpaka 10 jioni
  10. ze future

    Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    Kweli Mkuu Muamala Wa Wakala na Mteja Uliotolewa Ombi la Kuzuiliwa Huwaga Haurudishwi Bila Kufanya Mawasiliano na Wakala Ndipo Hiyo Fedha Hurudishwa.
  11. ze future

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari, nimekosea Kufanya malipo ya umeme kwahiyo nimenunua umeme kwa mita nyingine tofauti na mita yangu. Namba ya mita niliyokosea; 24210039582 Namba ya mita sahihi; 24210059382 Gharama; 1,900 Namba ya simu iliyotumika kununua umeme; 0625 603326 Eneo;Mabibo Mtaa; Gereji
  12. ze future

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Mimi nilikuwa na swali kidogo hapa hivi kwasisi ambao atukuenda Kufanya written hiyo tar 7 Aug kwahiyo wakirudia tunaeza kwenda au watatukataa??
  13. ze future

    Barbara Gonzalez: Simba SC haijawahi kumuhitaji Manyama

    Sizitaki mbivu hizi.
  14. ze future

    Dondoo na uchambuzi kuelekea mechi ya Watani wa Jadi

    Dah kuna watu hawana huruma na pesa zao nyie🤣
  15. ze future

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Hv wanaruhusu kuingia na calculator
Back
Top Bottom