Search results

  1. spidernyoka

    Unqualified Physician Lyrics

    I am not a qualified physician And I dont want to give this injection I am not a qualified physician And I dont want to give this injection Dorothy is begging for trouble She insist I should give her this needle But, darling, one thing I want you know Donât blame me for where the needle go I...
  2. spidernyoka

    Rules to teach your son

    1. Never shake a man’s hand sitting down. 2. Don’t enter a pool by the stairs. 3. The man at the BBQ Grill is the closest thing to a king. 4. In a negotiation, never make the first offer. 5. Request the late check-out. 6. When entrusted with a secret, keep it. 7. Hold your heroes to a...
  3. spidernyoka

    Binti mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi

    Habari zenu wakuu Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia. Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni mwaminifu na ana muonekano mzuri (anaweza kupambia biashara kama za uwakala mikahawa) Naomba kwa...
  4. spidernyoka

    Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

    Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona...
  5. spidernyoka

    Muonekano wa mtu sio tabia

    Habari wanajamvi Kwa utafiti mdogo niliofanya watu wengi wana mazoea ya kuhusisha muonekano wa mtu na baadhi ya sifa ambazo hazihusiani mfano ujasiri roho ngumu muda mwingine na ukakamavu yani ukiwa na sura ya kazi ni nongwa. Unaweza ukadhani ukiwa na muonekano mzuri umepona lakini ukiwa na...
  6. spidernyoka

    Yuko wapi Josheph Shamba (Vengu)?

    Salaam sana wanajamvi, Nimeona taarifa kupitia TvE Tanzania leo asubui alikua anahojiwa mshiriki mwenza katika kipindi cha ucheshi kilichobamba kitambo kidogo ze comedy mpaka orijino komedi Mpoki akisema kwamba Bw. Joseph shamba maarufu kama Vengu ambaye tuliaminishwa amepoteza maisha kwa...
  7. spidernyoka

    Hayati Magufuli bado ni shujaa

    Baada ya siku 21 za maombolezo maisha yameenda kasi sana, Mtu aliekuwa akipambwa katika kila idhaa na vituo vya habari sasa hali imegeuka Ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na baadhi ya kauli za viongozi zimepigilia msumari hali hii. Nafananisha uongozi wa Mh JPM na habari za shujaa...
  8. spidernyoka

    Nasumbuliwa na tatizo la kutoka jasho kila napokula chakula (Hyperhidrosis)

    Habarini wakuu, Mimi ni kijana mdogo wa umri siku za karibuni nimekua nikisumbuliwa na kutoka jasho (sweating) kipindi napata kula. Nakua natoka na jasho sehem ya mbele ya kichwa na uso yani forehead. Tatizo hili limekua linanikosesha raha hususan pale napoanza kusweat hata vile vipindi...
  9. spidernyoka

    Stori za vikosi vya JKT

    Kamanda OP yenu na kikosi chenu kombania gani ilikua inaongoza kwa serengeti wakali 821kj C coy walkua hatari
  10. spidernyoka

    Naomba kujuzwa unlocking codes za Nokia 106

    Wakuu naomba msaada wa unlocking codes za iz nokia nilinunua kwa ajili ya mawasiliano zaid nkaweka laini zangu baada ya muda nkahamisha kuweka kwenye simu kubwa kuanzia hapo nkiweka simcard tofaut na zile inakataa. Msaada wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. spidernyoka

    Wanawake wameumbwa kwa mfano wa uzuri

    Naomba nliweke wazi hili wakuu wanawake Mungu amejaalia kuumbwa kwa mfano wa uzuri Kama unataka kufaham maana halisi ya uzuri basi chkua mda wako kumtazama mwanamke Lakini hakuna mwanaume mzur katika macho ya mwanaume mwenzake wala handsome miongoni mwa macho ya mwanaume mwenzake hivyo wakuu...
  12. spidernyoka

    Wale wenye ndevu tukutane hapa

    Ndio tufoleni hapa; kuna wanaume wenzetu hawana wanaponda ni uchafu. Na kuna kidada wanazimia watu wenye ndevu zao. Mtazamo wako upi bila kujali jinsia yako? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. spidernyoka

    Ushawahi kunyimwa tunda kimasihara

    Mimi ilitokea 2017 Iringa town pale mtaa mmoja kwa mkulu sijui mkulo (sifaham sana nlkua mgeni) nlikutana na binti mmoja mrembo mwenye figa matata alkua ana asili ya kikomoro iv au kihabeshi wale waarabu ambao sio weupe kupitiliza nlisemezana nae ikawa tumeelewana akanpa namba zake za cmu kufika...
  14. spidernyoka

    Nimeingia Intelligence forum

    Wakuu leo nilijichanganya nikaingia Intelligence wamenipa nondo za kuuacha mwili nimezidiwa na somo bora tuendelee na mada zetu za Lisa Ann na Mia khalifa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. spidernyoka

    Napata wapenzi wakubwa kiumri

    Wakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano. Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila difference inakuwepo 2 to 4 years na pia nkitafta rika langu inakuwa shida. Nifanyeje? PS: Nina umri...
  16. spidernyoka

    Uhusiano wa makabila na ufanisi wa tendo

    Habar wanaJf Naomba tushee maujuzi kuhusiana na makabila na ufanisi wa tendo je ni kwel baadhi ya makabila yana sifa ya kua wafanisi katka nyanja ya 6×6 tuchangie kwa facts Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom