Search results

  1. M

    Original Samsung Powerbank

    Get original Samsung power bank, cost effective @ 40000 tzs only with 1 yr warranty. Dont lose your business because of empty battery. Please call 0654438201 now!
  2. M

    Simu ya kisasa kabisa hii apa

    FEATURES OF X-TOUCH WAVE WATCH PHONE/ EMAIL/ SMS/INTERNET DUAL CORE 1.2 GHZ CORTEX, ANDROID 4.2 MEMORY: RAM 512 MB, ROM: 4 GB SUPPORT 32 GB MICRO TF CARD BLUETOOTH 4.0 CAMERA 3.0 IP 65 WATER RESISTANCE SIM CARD SUPPORTED VIDEO/ GPS/ VOICE MEMOS/ YOUTUBE, GOOGLE SEARCH FACEBOOK, TWEETER...
  3. M

    Msaada jinsi ya kuandaa Sales plan

    Habari za kazi wakuu wa kazi. Naomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu au mwenye sample ya kitu kinaitwa SALES PLAN. Nahitaji kuingiza bidhaa zangu za simu sokoni, naomba kama kuna mwenye uzoefu au sample anitumie katika e-mail hii apa, dmmayunga@gmail.com Asanteni sana
  4. M

    KAZI KAZI KAZI KAzi Red Dot solutions

    Sales Executive 10 Posts. Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help find markets and sale of mobile phones to different territories allocated. Requirements -Minimum...
  5. M

    Nafasi ya kazi Red Dot solutions

    Sales Executive 10 Posts. Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help find markets and sale of mobile phones to different territories allocated. Requirements -Minimum...
  6. M

    Nafasi za kazi kutoka Skymoo Co Ltd

    Skymoo co. Ltd needs dedicated and committed applicants with not only entrepreneurship mind but those with experience in organizing events, such as in music, film, politics festivals or any other forms of public event. They should possess extensive knowledge on preparing excellent event proposal...
  7. M

    Jk nakupongeza sana na wizara ya kazi mei mosi jk uwe serious na ulilosema

    Aliongea chochote kuhusu hawa mawakala wa kuajili ( Recruitment agencies)? kama vile erolink?
  8. M

    Nimeitwa Interview NMB

    Kuna kua na written interview yenye aptitude qns. the itafatia oral interview.
  9. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Hata kama ukisema unafanya biashara ndogo ndogo utaambiwa uweke TIN/Leseni kaka. Mbona zipo mbinu nyingi za kutumia kama upo seriously unahitaji passport. Kuliko mbinu ya kutoa hongo inaweza kukuingiza matatizoni bure. Ukihitaji sababu ya safari karibu nitakusaidia bure
  10. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Kama unataka tu kuandaa passport mapema na sababu ya safari huna. weka namba yako apa nikuelekeze cha kufanya. Ni rahisi sana, sababu hawa maafisa uhamiaji hutumia kigezo hicho vizuri sana kunyima watu visa
  11. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Ndugu huhitaji kutoa pesa yote hiyo kupata passport. Unahitaji tu kufata taratibu zote husika. Kama kua na docs zote, kama vile cheti cha kuzaliwa, Id yako, affidavit ya mzazi, barua utambulisho kutoka (serikali mtaa/kazini/shuleni-chuoni), barua ya sababu ya safari. Au kama mfanyabiashara...
  12. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Nadhani mhusika ameshaelewa kuhusu hilo. Ni kweli ulichosema ndugu. Japo kikubwa ni kwamba, wazungu hata kama wanakuja kwa visa huku kwetu. Hupata visa kwa mashart nafuu sana, tena kwa kubembelezwa. Sisi watz tunanyanyaswa sana na tunakua discouraged kufanya zoezi hilo
  13. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Nilifukuzwa kazi ubalozini baada ya kile kilichoonekana kua nilikua naaprove visa kirahisi bila kufata taratibu za balozi. Nilichukizwa sana na swala la watanzania kuwekewa vikwazo vigumu sana ktk swala la visa. Wakati nafahamu wao wanafika nchi hii wa masharti rahisi sana, tena % kubwa...
  14. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Ningefurahi ungepost kile unachohitaji hapa ili umma kwa ujumla waweze kufaidika pia. unaweza kuni PM namba yako kama tu una specific info unaihitaji. Maana lengo hapa ni watanzania kwa ujumla waweze kufaidika. Kumbuka kusafiri popote duniani ni haki yako ya msingi, ila binadamu wameweka misingi...
  15. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Ok ndugu yangu usijali. Ninachoweza kukushauri ni kwamba ogopa matapeli, hakuna mtu anayeweza kukuguarrantee visa asilimia 100%. ila tu mimi nitatumia ushauri wangu kwa uzoefu nilionao ktk kufanya kazi embassy mbalimbali. ushauri utakaokuwezesha wewe mwenyewe kuufata na kua na uhakika wa zaidi...
  16. M

    Wanaopata shida upataji wa Passport au Visa kwa ajili ya kusafiri

    Wadau hbr zenu, kumekua hakuna haki sawa kwanza hapa Tanzania, kwenye upataji wa travelling document i.e passport. swali la msingi, je passport siyo haki ya kila mtu kua nayo kama ID's zingine? Pili ni upande wa visa, wazungu huja hapa kwetu kwa masharti nafuu sana. Lakini ukijaribu wewe kuomba...
  17. M

    Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Kuna mtu anaitwa costumes manager...nimewapa tbc hint. Fanyieni kazi sasa
  18. M

    Walioitwa Kwenye Interview Akiba Commercial Bank

    Mimi pia niliomba sijaitwa...kwa yeyote mwenye taharifa tufahamishe tafadhali
  19. M

    Msaada wa kununua gari

    Chukua starlet mzee. Sababu za msingi 1. It can accomodate your cash 2. Durable 3. Economy 4. Easy to run. Kwa pesa uliyonayo utapata starlet mpya I.e used japanese, ukiforce kununua gari kubwa zaidi utajikuta unachukua gari used tanzanian. Na ukishanunua tu gari kwa mtu I.e wa hapa tz, ujue...
Back
Top Bottom