Search results

  1. Pisi kali

    Nataka kuingia Kariakoo kibiashara

    Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7] Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo?? Mawazo ya biashara ni 1. Chupi na sidiria, night dresses 2. Cosmetics Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani Au mwenye wazo tofauti...
  2. Pisi kali

    Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

    Hey hey jf members Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body...
  3. Pisi kali

    Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

    Eid al Adha mubarak wana JF Jamani mwenye ubuyu kamili wa Menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe[emoji33][emoji33] Nasikia bi dada ni mgonjwa na hakumtaarifu mwenzie mume kaumwa hoi hoi hadi umauti kumkuta huku Menina akiwa...
  4. Pisi kali

    Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

    Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12] Niko na...
  5. Pisi kali

    Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

    Habari zenu wanaJF Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39]) Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja. Suala lililonileta kwenu. Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto...
  6. Pisi kali

    2021 ni fireee

    Heri ya mwaka mpya Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787]) Inahitaji moyo wa ziada Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda...
  7. Pisi kali

    Nahitaji gari la Milioni 3 au 4

    Hello jf!! Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana, Vipi vits/ist/ kigari kidogo tu[emoji87] Kwa dar, japo kwasasa tupo mkoani soon tunarudi.
  8. Pisi kali

    Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Hello wapendwa[emoji112] Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii Ideas tofauti[emoji1370] Kama hauna mtaji Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara then unapeleka hela ya bidhaa au kama hakijachukuliwa unarudisha, ili uaminiwe unaacha simu yako (sio...
  9. Pisi kali

    Natafuta Gynecologist mzuri

    Wasalam jf!! Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute) Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital Shukrani!
  10. Pisi kali

    Ulitumia njia gani kurudi mwili wako wa kawaida baada ya kujifungua?

    Nina miezi kadhaa baada ya kujifungua ni mtoto wangu wa kwanza, (RIP MY ANGEL) sasa tangu nijifungue nazidi kunenepa tu sipungui Sijanywa masupu wala mitori lakini unene umegoma kuniacha nimefanya mazoezi naona nachoka tu bure nimegoogle aina ya milo kwaajili ya kupungua ila bado Huu unene...
  11. Pisi kali

    Nahitaji vifaa vya sehemu ya chips na viti vya mbao

    Hellow [emoji112] Nahitaji vifaa vya sehem ya chips kama kabati la kioo, karai kubwa lile hata vikiwa used ila viwe katika hali nzuri Ni pm unitumie picha na bei Pia viti vya mbao na meza (kwa anayetengeneza) au kama unamjua fundi mzuri na wa bei za kawaida tu ni pm namba zake au mahali...
  12. Pisi kali

    Mwanangu wa siku mbili amefariki dunia, alichomwa sindano baada ya joto kupanda

    Am in tears, Mwanangu alizaliwa mzima hana shida yoyote (4kg) hiyo siku alilia sana hadi joto likapanda to 41 (alikua na siku mbili tangu kuzaliwa) nesi akamchoma sindano hakunambia ya nini, basi kumlaza mtoto akalala moja kwa moja. Nimemuachia Mungu yeye ndio anayejua na mpangaji wa yote...
  13. Pisi kali

    Stretch mark na chunusi kwa wajawazito

    Kuzuia ama kupunguza stretch mark za tumboni kwa wajawazito, asubuhi na muda wa kulala unakua una massage tumbo lako taratibuuu na mafuta ya Nazi Au Oliver oil. Chunusi, paka unga wa dengu na limao Au na Nyanya baada ya masaa kadhaa nawa na maji ya uvuguvugu (usichoke). Bila kusahau maji kwa...
  14. Pisi kali

    Wajuzi naombeni ushauri kuhusu vyakula navyotakiwa kula katika hali hii ya ujauzito wa wiki 23

    Hello wanajf, Bado siku 1/2 hivi tukacheze duduke[emoji39][emoji16] Naombeni mnijuze ni sawa? Mimi ni mjamzito wa week 23 sasa ratiba yangu ya kula kila siku Asubuhi mayai mawili nachemsha na viazi vitamu viwili na maziwa nusu lita, saa2 asubuhi Saa4 lazima ninywe uji (unga nimeutengeneza...
  15. Pisi kali

    Tuweni makini na marafiki tulio nao

    Habari zenu wakuu! Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadilika. Huyu aliyekuwa rafiki yangu ni wa muda mrefu sana Yani sana almost...
  16. Pisi kali

    Ushauri unahitajika; Nina mimba, nimegundua baba kija anani-cheat na bestfriend yangu

    Am in dilemma sielewi nimelia hadi nimeshachoka, hapa nina mimba ya miezi kadhaa, nimegundua baba kija ananicheat na BEST FRIEND wangu. Mimi na mwenzangu hatuishi mkoa mmoja kwasababu za kikazi, tunakaa mikoa tofauti, kumbe mwenzangu alivyokua Dar alikua anakula bata na huyo rafiki yangu wa...
  17. Pisi kali

    Hamna kitu kirahisi, Mimba sio mchezo

    Habarini wanaJF Aisee kweli hamna kitu kirahisi hapa duniani, almost 2weeks ago nilikuwa naumwa siwezi kula yaani nakuwa na hamu na kitu then nikila kidogo tu najisikia vibaya +kichefuchefu, joto sasa hadi kizunguzungu naweza kuoga hata mara nane, na usiku nikishtuka ndio silali tena...
  18. Pisi kali

    Uzushi wa kifo cha meja kunta

    Meneja wake athibitisha kwamba yu hai hajafa na anaendelea vizuri Ila wamefanya kik ya kijinga sana Mungu hadhihakiwi jamani Wametembelea kik ya REMA[emoji57] Huyo gmaker na meja mwenyewe inabidi watuombe msamaha Mama na mchumba wake inadaiwa walikua wanazimia zimia according to his father...
  19. Pisi kali

    Kwa wajawazito hali hii imekaaje kiafya?

    Habarini wanaJF Mjamzito wa mwezi mmoja, hali ya kuumwa tumbo kama kichomi alafu kinakata na papuchi kuvuta fulani hivi ni kawaida kwa miezi ya mwanzoni? Na nikila nikashiba kitumbo kinajaa kama gas hivi na manyonyo yanauma halafu yamejaa. Pia joto yaani mimi hata mvua ikinyesha nasikia joto...
Back
Top Bottom