Search results

  1. Mtuflani Official

    Ni Tanzania tu ndio Waziri wa Fedha anahangaika kumsifia Rais

    Anajijua sio msafi bilionea Mwigulu….
  2. Mtuflani Official

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    Nenda Yombo mkuu…rami ya zege mpaka milangoni kwa watu
  3. Mtuflani Official

    Umeme upo hapo ulipo kwa sasa?

    Hitilafu kila siku. Duh. Aya bana.!
  4. Mtuflani Official

    Safari ya Prof. Ndalichako katika utumishi, siyo chawa wa wanasiasa amejikita kiutendaji zaidi

    Je kama kaomba yeye kupumzishwa?…tusikurupuke kuongelea tusiyoyajua
  5. Mtuflani Official

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Anatafuta “government bailout”. Serikali itampatia pesa ya bure. Bashe atachukua % yake na yeye atapata mtaji wa bure kufanya mambo mengine. Akili mtu wangu
  6. Mtuflani Official

    Luku yangu inawaka na units zipo ila umeme hakuna. Nini tatizo?

    Wakuu hili limejitokeza leo kwangu. Unit kwenye mita zinasoma 12. Ila cha ajabu umeme hakuna. Nini kinaweza kua tatizo. Msaada tafadhali.
  7. Mtuflani Official

    Godbless Lema: Msafara wa bilioni 2 unazindua zahanati ya milioni 176!

    Katika mkutano wake huko Arusha kabla ya maandamano. Mh. Godbless Lema ameongea kitu kimenigusa sana. Yaani unakuta viongozi wanatoka Dar na msafara wao wanaelekea mkoani kuzindua zahanati iliyogharimu Milioni Tshs. 176 na pesa za zahanati ni za msaada kutoka mashirika ya kigeni!
  8. Mtuflani Official

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Mimi nasubiria tu output ya SGR. Kwa uongozi wa awamu hii, hii itakua worst “white elephant” ya karne hii.
  9. Mtuflani Official

    Tetesi: Hiyo vita ya risasi Kilimanjaro Airport imesababishwa na nini?

    "We have been caught in a shootout at Kilimanjaro International Airpot. We have no idea what it is all about. It was quite a firefight. Stopped now but staff are nowhere to be seen."
  10. Mtuflani Official

    Hapa mlipofika Tanesco, mnataka kuua watoto wetu

    Yaani na hili joto lote la Dar, Tanesco mnaamua kukata umeme. Jana mmekata umeme usiku mkarudisha saa sita usiku. Watoto wanapata joto mpaka wanaumwa. Wengi sasa wanavipele kwenye miili yao. Huku tunakoelekea sasa mtaua watu. Biashara za watu wanaohitaji umeme mshawatia hasara. Sasa mnaelekea...
  11. Mtuflani Official

    Kusema ukweli, vijana nchini wametengwa na wamechoka sana

    Aisee kila ukizunguka nchini kote Tanzania. Vijana wana hali mbaya. Vijana wamesoma, ajira hakuna. Na sasa inasikitisha sana vijana wameingia kwenye shughuli za siasa. Wanatumika sana na wanasiasa kama “influencers” kujipatia umaarufu kwa pesa ndogo tu. Kwanini serikali isiweke mikakati ya...
  12. Mtuflani Official

    Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Lazima akae karibu na wenye CCM yao maana hao ndo watamrudsha.
  13. Mtuflani Official

    DOKEZO Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Na utakuta kila mwezi wanaomba pesa ya service ya feni[emoji23][emoji23]
  14. Mtuflani Official

    Hamisi Kigwangala akili kuna Upigaji wa kutisha awamu hii

    Watumishi wa umma ndo wanaongoza kujenga awamu hii…….
  15. Mtuflani Official

    Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    Ukiona anajikomba hivi ujue ana jambo anataka lipite[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom