Search results

  1. Sim Card

    Overstayed Visitor

    Wana Jf salam na pokeeni pole nyingi kwa janga hili la UVIKO 19 na nina imani tutavuka salama kwa uwezo wa Mungu. Niende kwenye hoja wakuu nina mtoto wa ndugu yangu ambaye ni mtu mzima wa miaka 35 kaja kunitembelea kwangu na ni mwezi sasa yuko kwangu hapa akasema kuna kazi wanafuatilia na...
  2. Sim Card

    Hii ni pesa zaidi ya Benzi

    Wakuu poleni kwa taharuki ya leo ya mechi ya watani wa jadi YANGA NA SIMBA kuahirishwa na TFF bila kufuatwa kwa kanuni na pengine mbaya zaidi bila hata sababu kwa wadau wote wa soka na wananchi kwa ujumla wake. Niende tu moja kwa moja kwenye lengo. 1. Kwa nijuavyo mimi timu zetu Simba na Yanga...
  3. Sim Card

    Green Cards za Marekani

    Wandugu heri ya mwaka mpya. Nitaenda kwa mada husika. Nimekuwa nikipokea jumbe nyingi kwa account yangu ya gmail ukitaka kunipongeza kuwa nimeshinda Green Card ya Marekani nyingine mara Umepata nafasi ya ajira Canada mara Australia. Nikijaribu kufuatilia na kujiandikisha, kuna fees. Je, hizi...
  4. Sim Card

    Naomba ushauri kuhusu network market ya Neolife

    Jamani naomba tu niwasalimu. Kuna changamoto moja naipata juu ya Neolife ni network market ambapo kuna mshikaji tunaheshimiana sana of course ni uncle ananilazimisha kujiunga nae. Anadiriki kunitukana kwamba utabaki maskini kama huoni fursa halafu pia yaani ananidharau. Tatizo hata yeye sio...
  5. Sim Card

    Pamekaaje hapa? Naomba ushauri

    Mahitaji Muhimu: 1. Hakikisha mwanao amekamilisha mchango wa chakula kwa mhula wa Kwanza. Hatutatoa nafasi ya hosteli kwa yeyote mwenye madeni ya nyuma ya chakula kwani hatuna chakula kabisa. 2. Mhula wa pili utaanza tarehe 29/08/2020 Hadi tarehe 18/12/2020. Wazazi wote wa hosteli mhakikishe...
  6. Sim Card

    JamiiForums Mchana Kutwa

    Nimefungua uzi huu kutokana na mihangaiko ya asubuhi pamoja na mishemishe ya siku nzima. Najua wengi tupo makazini tunapitia changamoto za utafutaji kwa hiyo mwenye ishu au jambo linaloweza kumsaidia mtu ataweza kupost ishu. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.
  7. Sim Card

    Huyu Demu Namkwepaje?

    Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili...
  8. Sim Card

    Mikopo ya Benki

    Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili...
  9. Sim Card

    Tutakoma

    Salaam kweli sasa tumefika hatua ya kuweka mabango. Hali tete tutakoma tusipochukua tahadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sim Card

    Mabucha ya Nyama Pori

    Salaam na poleni na janga corona. Mimi ni mfatiliaji kiasi wa kauli zinazotolewa na Mheshimiwa Rais watu JPM. Ni majuzi juzi tu aliagiza maliasili waanzishe mabucha ya nyama pori ili watanzania wanufaike na zao hili. Ninachojiuliza Maagizo haya mbona hayatekelezwi? Na kama yametekelezwa ni kwa...
Back
Top Bottom