Search results

  1. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Asante sana kwa ushauri wako.
  2. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Matumizi ya mbolea hayafanani. Matumizi ya samadi si sawa na mbolea za viwandani. Nimeambiwa mbolea ya popo ni kali kuliko za wanyama wengine. Inaelezwa kuwa ina naitrojeni nyingi. Hata hivyo, hata mbolea za viwandani zinatofautiana kati ya moja na nyingine. SA si sawa na Urea. NPK/TSP si sawa...
  3. D

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Naomba ushauri/maelekezo ya namna ya kutumia mbolea inayotokana na kinyesi cha popo kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya, mshumaa, pili pili aina zote, bilinganya nk.
  4. D

    Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    Baadhi ya majibu/maoni huwezi kuamini kuwa yumo kwenye Ramadhani.
  5. D

    Njoo ujipatie spare original, battery original na vifaa vingine vya magari KWA AL HUSSEINY SPARE PARTS, Tanga

    Asante sana. Rekebisha: Spear iwe spare. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  6. D

    Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana

    Hakika. Wapunguze ukubwa wa mitaa/vitongoji, vijiji na kata. Hivi ndivyo vyenye uhusiano wa moja kwa moja na wananchi. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  7. D

    Mliopo Morogoro town nini tofauti ya lodge ya elfu 15, 20, na 30

    Hapo sasa........ Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. D

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Matajiri (hata waliozeeka) wanakwenda benki kuomba mikopo ili wafanye mambo. Maskini anaamua kuweka pesa benki. Baba yangu alistaafu 1983. Bado yuko hai. Alipewa kiinua mgongo sh.30,000/=(elfu thelathini). Aliamua kupanda kahawa na miti. Ndiyo inayotuunga mkono kumtunza. Angeiweka benki...
  9. D

    Tanzania tusije kubali haraka wazo la kuondoa mipaka yetu ya nchi kama wanavyotaka baadhi ya MaRais wa Afrika Mashariki

    Tuweke mikakati ya kuwajaza maarifa vijana wetu kufaidi mali na raslimali hizi badala ya kuwa na tabia ya mbwa kulalia nyasi nzuri. Israel, nchi sawa na mkoa wa Mtwara inatamba duniani si kwa raslimali bali kwa akili zao za kukabiliana na changamoto.
  10. D

    Tanzania tusije kubali haraka wazo la kuondoa mipaka yetu ya nchi kama wanavyotaka baadhi ya MaRais wa Afrika Mashariki

    Nakumbuka kuna watu walipendekeza kuwa Burundi isiingizwe Afrika y as Mashariki. Walitoa hoja zao kuntu. Kilichofuata kinafahamika. Hoja hapa iwe manufaa ya kufanya na kutofanya hivyo.
  11. D

    Kwanini haileti shida wanawake wazungu kuvaa nguo fupi mtaani bongo tofauti na wanawake weusi wabongo

    Hoja kuntu. Mara wengine wanashabikia uvaaji wa kimaasai wakidai ni utamaduni wetu. Wakiona wale akina Makhirikhiri wanasema wanatuwakilisha Waafrika. Saida akicheza mchenkure jukwaani wanapandwa mzuka wakidai ni uafrika. Akivaa hivyo mtaani anaambiwa ni umagharibi. Utmaduni wetu ni upi sisi...
  12. D

    INASIKITISHA! Wastaafu wageuka ombaomba, vijana tuwe makini

    Tafiti sababu. Sh.100,000/= ni mshahara wa mfanyakazI wa ndani anayehudumiwa kila kitu. Enzi za ujamaa unazifahamu?
  13. D

    Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Ukweli halisi unaokataliwa na wengi.
  14. D

    Hiki ndicho ambacho Wazungu hawataki Mwafrika ajue kuhusu Afrika

    Kama wao hawataki kuchora tunavyotaka ni kwa nini sisi wenyewe hatuchori ramani zetu? Kuna haja gani kusubiri wao ndio wachore?
Back
Top Bottom