Search results

  1. kingkongtz

    Nipeni mbinu kwa huyu manzi, asiende kizembe

    Wakuu mko poa lakini, Turuke moja kwa moja kwenye mada Ebanaee huyu manzi wa kuitwa Angel nimefahamiana nae miezi 5 kabla, kama zari tulianza kuwa kama marafiki tu wa kawaida. Taratibu tukaanza kuzoeana na story za hapa na pale nikajikuta nmeanza kumwelewa na nafikiri alilitambua hilo...
  2. kingkongtz

    Nawezaje kuwalipa kwa wakati mmoja kila mmoja apate sms ya muamala

    wakuu kwema msaada kwenye tuta,nina vibarua kama 100 nimepewa jukumu la kuwalipa kila siku baada ya kazi kuisha waliorodhesha namba zao kwahyo kila ikifika saa 10 kila mmoja anatumiwa pesa yake (ni makubaliano waliyowekeana) sasa imefika hatua nachoka naomba kwa wenye uelewa nawezaje kuwatumia...
  3. kingkongtz

    Napata choo lakini hakitoki

    habarini ndugu zangu sina tatzo la bawasiri wala sina tatzo la kukosa choo ,ni hali imenitokea hivi karibuni ipo hivi nilisafiri kwenda burundi siku 3 kabla ya Christmas. Ni mara yangu ya kwanza kwenda huko,chakula cha kule kiufupi kilinishinda ikawa ni mwendo wa nyamachoma tu na...
  4. kingkongtz

    Nimchakate au niendeleze mikausho

    Wakuu mko poa lakini. Niwape story kdgo. Kuna demu nimefahamiana nae miez 4 nyuma,tulikutana sehemu moja hivi ikiwa ni katika harakati za kutafuta maisha na mambo kadha wa kadha ili maisha yaende poa, Kama zali kumbe manz tunakaa mtaa mmoja na hakulitambua hilo pia,kadri siku zilivyozid...
  5. kingkongtz

    Binadamu hawaeleweki

    Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili. Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito , Sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito, nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji...
  6. kingkongtz

    Msaada: Not registered on network (Samsung)

    Wakuu kwema, Nina samsung a20s nimeitumia kama miez 3 sasa nikaona niireset ianze upya tena coz ilikuw na vitu vingi Sasa kimbembe kimekuja baada ya kereset, haisomi laini inaandika emergency Nikaipeleka kwa dogo mmoja akaiflash kwa kuiwekea firmware nyingne kwa kutumia odin lakn tatzo bado...
  7. kingkongtz

    Wadada acheni kupoteza rangi zenu nzuri

    Wakuu kwema. Kadri siku zinavyozidi kwenda wanawake weusi wanazidi kupungua (hawajiamini yan) Wanahisi weupe ndio dili,wanawake wanaokubali kubaki na rangi zao halisi ni wa vijijini (wale wa town walioamua kubaki na rangi zao nawapa big up sana) Ila mbona mkiwa na rangi zenu za asili ndo...
  8. kingkongtz

    Mapenzi katika biashara

    Msaada kwenye tuta. Huu ni mwezi wa 8 tangu nifungue duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani,mwezi huu nimeamua kupanua kidogo duka limekuwa la jumla na reja reja, Duka lilianza vizuri sana ,kila nilichokuwa naleta hakikuchukua muda mrefu kilinununuliwa,bidhaa nyingi zilinunuliwa kwa wakati pia...
  9. kingkongtz

    Msaada wa kutoa lockscreen oppo r15

    wakuu kwema, Kuna dada hapa Ana oppo R15 ukiiwasha inakuletea uingize password,Sasa yy alisahau nimejaribu kuformat inadai niingize password ,najua nitapata majibu sahihi hapa kama inawezekana au la. Karibuni
  10. kingkongtz

    Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

    Wakuuu mko poaa Nikiwa napiga piga story na wanaume wenzangu wanaibuka na kudai wao bao la kwanza bila ya zaidi ya dk 60 halitoki. Kuna bro wangu na yeye anasemaga ivo, akichakata bao la kwanza ni kuanzia dk 40 na kuendelea. Humu JF pia wengi nawaonaga wakikomenti et hata saa 1 inaweza...
  11. kingkongtz

    Kufumaniwa: Mwanamke Vs Mwanaume

    Jumapili njema kwa watu wote. Twende kwenye mada Kwa nini mwanamke akimfumania mwanaume/mme wake kuna uwezekano wa kumsamehe na mapenzi yakaendelea japo yatapungua kiasi chake ila kwa nini mwanaume akimfumania mwanamke/mke wake inakuwa ni hapo hapo kuachana .(na ni vigumu kurudiana) Labda...
  12. kingkongtz

    Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

    Kwema ndugu zangu, Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini. Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi. Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au? Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
  13. kingkongtz

    Nawezaje kuingiza kipato kupitia online jobs?

    Wakuu kwema natumaini mko salama Lengo la uzi wangu huu ni kutaka kuuliza na kufahamishwa nawezaje kuingiza pesa mtandaoni kupitia simu au laptop. Nimekuwa nikisikia sana wadau wengi wakilizungumzia hili suala na wengne wakifanya kama chanzo kikuu cha mapato. Binafsi nafanya biashara ya...
  14. kingkongtz

    Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

    Wakuu kwema.? Hope mko salama. Leo nimetimiza mwaka tangu nimeoa, Mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri Nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama chumvini a.k.a kunyonya papuchi. Sasa juzi nikaona nitest na mimi kwa mke wangu nilimpa taarifa kuwa leo...
  15. kingkongtz

    Wakulungwa hivi ni kweli huwa mnapiga bao 7+ au ni mbwembwe tu?

    Natumaini mko poa Hii kitu naona imezid kushika Kasi hapa JF, katika miaka yangu yote 24 ya uzinifu nimelala na wanawake 51 (wazuri kwa wabaya)ila sijawah kuzidisha bao 4-5 kwa mwanamke mmoja. Siongelei kwa usiku mmoja au kwa siku nzima ,naongelea ile unagegeda unamwaga unaunga Tena unapumzika...
  16. kingkongtz

    Unapoanzisha mahusiano na mwanamke mpe asilimia 10 tu.

    Kwema ndugu zangu. mwanamke anapoachana na mpenzi wake humchukua muda mrefu kumsahau mpenz wake .kwa hyo unapomtongoza akakukubalia usifikiri amekupenda kabsa . Mnapoanzisha mahusiano yey akili inabak kule mwanzo,muda wote anajiuliza kwa Nini nimeachwa?,huyu Ana Nini Cha ziada tofauti na Yule...
  17. kingkongtz

    Mpenzi wako akifa ndani kwako utafanyaje?

    Wakuu kwema? Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki, unamtikisa unaona hatikisiki, unammwagia maji haamki. Unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni, unamgusa...
  18. kingkongtz

    Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

    Wakuu salama? Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa. Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco. Kuna mwanamke mmoja...
  19. kingkongtz

    Nimempa zawadi cha ajabu amekata mawasiliano na mimi

    wakuu polen kwa msiba huyu binti nimefahamiana nae kama mwiez miwil nyuma na sasa tumekuw wapenzi ana kazi (ni muajiriwa) mi mfanyabiashara kwa hyo huwa tunakutana mara nying weekend au nyakat za usiku baada ya mishemishe. kwa kipind chote icho nmekuw nae sijawah kuona dalil yoyote ya...
  20. kingkongtz

    Wale wazee wa movies za kizungu naomba kuuliza

    wakuu natumaini mko salama mimi n mmoja wa watu wanaopenda sana kuangalia movies hasa za kizungu ,napendelea sana sana action movies kuna baadhi ya vitu huwa vinaniumiza kupata fumbuz juu ya ujuz wa wenzetu ukiachilia mbali suala la kutuzid technology. nmeanza kupenda movies nikiwa mdogo...
Back
Top Bottom