Search results

  1. M

    Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

    wanasemaje kuhus vituo..vimebadilika au vip?
  2. M

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    hata kupanga..majina na wilaya bado..afu unaongelea kuachiwa..lets wait ndugu zangu..hadi tarehe 15..nadhan ndo wakati muafaka wa kuanza kuleta mijadala..tofauti na hapo..ni rumors tu..!
  3. M

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    uhakika wa post kutangazwa ni tarehe 15.03..
  4. M

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Couceling and Guidance

    nimemaliza ..bachelor ya guidance and counselling..mwaka huu...nahitaji connection walau nipate hata N.G.O ya kufanya kazi ili nipate experience kwanza..jaman..mwene kufaham tujuzane..tanzania sis ndugu..
  5. M

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Pako..ppoa..ila kwa baadh ya maeneo...mie nimezaliwa huko..kipnd hcho..baba mwanajesh..kiabakari...
  6. M

    Kwa wale tuliopata TRANSFER kuna mtu amepata LOAN

    transfer kawaida mkopo huwa unachelewa ila badae unapata, .fuatilia tu,
  7. M

    Udom- bed.guco

    Karbun sana, am pursuing the same degree programme, bt am a third year now, !welcome counselors
  8. M

    ndo nimekosa mkopo au?

    Polen sana, ukikosa mkopo ,hupewi hata mia, means hata hela ya field hupewi, meals hupewi, yan kiufupi, unajitegemea ,pole sana .
  9. M

    Kwa wanaolifahamu hili kuhusu UDOM msaada please!

    Direct cost inalpwa yote, then ada unalpa kulngana na mkopo wako, either nusu au yote,. mind you kwamba ,usipolpa direct cost na nusu ya ada, huez kusajiliwa na hata bum husaini, pia kuna udoso fee, nayo ni mhimu. then kuhusu malpo sio lazma ulipe kabla ya tar. 30,
  10. M

    Msaada kuhusu transfer TCU

    Angalia 3rd batch,
  11. M

    Msaada kuhusu transfer TCU

    Udom, waliapload jana, angalia 4th batch.
  12. M

    Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

    Bed guco, nyie nawatafta sana! karbun sana! wadau. mim niko mwaka wa tatu. ..karbun sana ni programe nzuri sana welcome counselors!
  13. M

    Join instructions za udom jamani!

    Kuhusu form msijali, na hilo ni suala dogo sana, cha msingi ushajua unaennda kusoma nin, na college gan, na fee structure washatoa, pia na opening date, hakuna tatzo, hyo form hata ikichelewa hlo lisikupe shida, karbu sana udom.
  14. M

    Kwa wanao soma UDOM

    kubadili, course inawezekana, ila kama una vigezo. lakn kwa hyo 13, duh cjui. pengne aangalie qualfication then ,kama anaqualify, kabla ya registration afuate taratibu tu, watamkubali, ,
  15. M

    joining udom!

    Karbun sana udom,coed. mim nasoma bach. of education in guidance and counseling. (BED GUCO.)
  16. M

    joining udom!

    Huez sajiliwa, kama hujakamilsha direct cost, na kulpa nusu ya ada kulingana na mkopo wako.
  17. M

    joining udom!

    Usijal, kila kitu knaenda pole pole, karbu sana udom.
  18. M

    unique characteristics of udom. THE BEST PLACE TO BE

    jamaaa. uko blok gan nikutafte. mie nko h.65. karbu sana mao.
  19. M

    Jamani msaada tafadhali

    leo kdogo kapata ucngzi ,thanks sana waungwana, nimefata mawazo yenu na leo tunaenda hosptali.
Back
Top Bottom