Search results

  1. Comex

    Chuo gani kinatoa kozi ya stationary

    Wakuu naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa kozi ya mambo yote yahusuyo stationary. Natanguliza shukrani[emoji120]
  2. Comex

    Biashara ya mahindi

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?
  3. Comex

    Nauza tecno spark 2

    Nauza tecno spark 2 ROM gb 16 RAM 1 kwa sh 160000 tu nimeitumia miez michache ipo vizuri kila kitu na imenyooka haina kipengele chochote nipo Mwenge Dar 0672904720
  4. Comex

    Connection ya viatu vya kimasai kwa bei za viwandani

    Tunauza viatu vya kimasai OG kwa bei ya kiwandani jumla na rejareja Jumla ni 5000 Reja reja ni 7000 Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720
  5. Comex

    Tunauza viatu vya asili

    Je unahitaji simple kali za kimasai kwa bei poa..... Usihofu MMASAI OG FASHION SHOES tutakuuzia viatu vya kimasai kwa bei ya chini sana jumla na reja reja Bei ya jumla ni kuanzia shilingi 5000 tu kuanzia pc 25 Bei ya reja reja ni shilingi 7000 tu Wahi sasa!!! Tuchek 0672904720
Back
Top Bottom