Search results

  1. M

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Kuna gari nyingine orignal tinted na pazia na ndivyo zilivyotengenezwa sasa inakuwaje... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Kifahamu kikosi hatari duniani cha u.S.A navy 'seal' tayari chatua rasmi rasi ya North Korea

    Hofu kubwa ya vita hii ni kutumika siraha za maangamizi Nuclear ,wataingiaje kwa mapank maana hakuna wasaliti wanaotoa info kama ilivyokuwa Libya na Sylia tusidanganyane hakuna commando atakaye survive
  3. M

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Kwenye kona tu kuelekea mtongani kunduchi beach pale unapoacha bagamoyo load kuna baa kushoto kituo daladala nimekaa pale mara kadhaa vjana wanauziana bangi live
  4. M

    Anaemnunulia huyu baba suit over size Mungu anamuona

    Bullet proof aijavaliwa..ikivaliwa inamfit
  5. M

    Fiesta vs Panya Road

    TRA kusanyeni mapato ya fiesta tununue Bombadia nyingine
  6. M

    Kitovu kumuangukia mtoto wa kiume ni kweli anakuwa hana nguvu za kiume?

    Wako wasomi waliobobea kisayansi tunaishi nao katika jamii yetu hawapuuzii hii kitu wanakesha kuakikisha kitovu akiangukii huko chini
  7. M

    Hii ndiyo mitaa inayongoza kwa wizi na wakabaji hapa Dar

    Nakala kwa Jeshi laPolsi,Mkuu wa Mkoa
  8. M

    Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

    Zari ni mzuri hata kama ana umri mkubwa ajiulize akifikia umri wa zari atakuwaje? Nyani aoni kundule
  9. M

    MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    Engine ya 3.0L 1Mz VVTI utumiaji wa mafuta inategemea mazingira ya barabara ,uzito wa mzigo au abiria na namna ya uendeshaji .kwa hapa Dar si rahisi kuzidi speed 80 .unacheza na rpm isiyozidi 2000 yaani speed ya 60-80 mafuta inatumia 8-9Km/1L safarini ni 10-13Km/1L
  10. M

    Apps Baada ya simu kuwa Rooted..

    Na vipi kuhusu virus, nasikia ukidownload apk app tofauti na play store uwezekano Wa kuingia virus na kuharibu simu Ni mkubwa...hii imekaaje?
  11. M

    Natafuta mke awe kuanzia miaka 45 nakuendelea

    Duh...atakuwa kachoka tena kachakaa
  12. M

    Mtandao gani una internet ya uhakika?

    Jiunge Ukawa ni mtandao Wa uhakika
  13. M

    Angalia Mmarekani alivyowananga Watanzania na vijitamaa tamaa vyao

    Siyo kweli story ina chumvi nyingi...Mzungu tena mmarekani akiripoti ubalozi tu Mara moja cm inapigwa kwa RPC na anaagizwa na mzigo unapatikana na waliohusika wanawajibishwa
  14. M

    Nionavyo: Azam Energy Drink ina madhara ukiitumia vibaya

    Hakuna Energy drink isiyo na caffeine taratibu zote zimezingatiwa ikiwa pamoja na tahadhari kwa mtumiaji
  15. M

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Stage zote za Ku install Vdubt25 nimekamilisha nasikia sauti tu kwa baadhi ya Chanel kama za cartoon channel zingine inakuja msg Chen the log file nimekosea wapi? au nifungue channel ipi?iliyo wazi
  16. M

    Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Huyo muhongo ni fisadi kama mafisadi wengine, kama mkweli mbona aleti mikataba ya madini na gesi tuione hana jipya kama miradi ya umeme vijijini REA Na MCA ilikuwepo na kaikuta
Back
Top Bottom