Search results

  1. M

    Nina tatizo la kwenda chooni mara kwa mara

    Habari ya Leo wana jf? Ninakuwa na tatizo la kwenda chooni Mara kwa Mara nikaamua kwenda hospitali wakanipima stool wakakuta nikona malabsorption inayosababishwa na microorganisms. Walinipa dawa ya secnizole na zengine za minyoo but naona kama hazinisaidii kama kuna dawa nyengine naomba...
  2. M

    Nina tatizo linanisumbua sana jameni

    Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu. Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa mwili maumivu ya mishipa ya damu na kichwa inauma upande wa nyuma.
Back
Top Bottom