Search results

  1. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3] That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa...
  2. FundiNgoma

    Hivi ni kweli kuna kitu kinaitwa Gundu?

    Yani najiuliza hivi kweli kitu gundu kipo au ni nadharia tu. Kuna ile mtu anaambiwa we una gundu yani mambo yake hayatoenda na hatokaa afanikiwe katika jambo lolote abadani,kama ni mafanikio atayasikia tu kwa wengine,kuna hicho kitu nasikia sana kuhusu Gundu,sasa niwaulize wana MMU maana hili...
  3. FundiNgoma

    Natamani kuacha kumcheat mke wangu

    Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa . Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni...
  4. FundiNgoma

    Kwani kabila letu lina shida gani?

    Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine.... Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi watu wa huku ilipotokeaga ajali ya ndege ,sehemu pekee ambayo jiwe aliwahi twambia kila tatizo ni la...
  5. FundiNgoma

    Ni kipi bora Wakuu!?

    Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
  6. FundiNgoma

    Cheti Original kilipotea nifanyeje ili nipokelewe chuoni huku nikiendelea na taratibu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nilipoteza cheti cha form IV na kiutaratibu inabidi niende necta na nikipiga mahesabu ni pesa ndefu kidogo ambayo sijajipanga kwa sasa,naombeni ushauri ili niweze kupokelelea chuo nilichochaguliwa. Katika admission letter inaelezwa copy haitakiwi japo kuna...
  7. FundiNgoma

    Socialogy vs Public Relations

    Wakuu napata utata kati ya kozi hizi mbili ngazi ya shahada naomba ufafanuzi... 1. Ni ipi ni rahisi kufanyiwa recategolization kwa in service? 2. Ni ipi kazi zake zina mshahara mkubwa ukilinganisha na nyingine? Msaada wenu [emoji120][emoji120]
  8. FundiNgoma

    Mimi ni mtumishi wa umma, kuna uwezekano wa kusoma kozi tofauti na kada niliyopo?

    Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya shahada ila natamani kusoma shahada ya mawasiliano ya umma (mass communication), jambo lililonileta...
  9. FundiNgoma

    Anastahili au kaonewa?

    Kuna jamaa angu tunaishi mtaa mmoja na tunashauriana vitu vingi kama vijana tuliooa tayari Jamaa yeye kiukweli ni bonge la mchepukaji me simfikii amekuwa na hiyo tabia for a long time mke wake alikuja kugundua wakawa wanagombana sana ndani jamaa anatulia kidogo anaanza tena upya mwisho wake...
  10. FundiNgoma

    Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

    Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo. Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife...
  11. FundiNgoma

    Msaada naomba kufahamu ada za OUT kwa Diploma

    Habarini wanajukwaa naomba kujua ada za Open University of Tanzania kwa Ngazi ya Diploma
  12. FundiNgoma

    Hanigusi mpaka mimi nianze

    Wakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na...
Back
Top Bottom