Search results

  1. FundiNgoma

    Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Zipo sababu nyingi za kutengana na marafiki ila kwa upande wangu ni Ubinafsi na dharau plus kujisikia flani hivi.... Yani mshikaji wako anajali mambo yako yaende wewe ukwame. kuna mmoja huyo toka alivojipatia kazi sehemu akaanza kujikuta busy nikampunguza.
  2. FundiNgoma

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    [emoji1787][emoji1787]ndo kilichobaki mkuu
  3. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Umemaliza kila kitu mkuu
  4. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Umekula mchana lakini kijana...
  5. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Kwani kunipa k mpaka nikupe hela?huwezi nipa kwa upendo tu? Sasa tofauti yako na dada poa ni nini hapo!!? Na je ukinipa k me pia si nakupa mboo,basi na we nipe hela.... Mbona wanawake mnakuwa selfish sana [emoji3]
  6. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Kwani tunakuwa wapenzi ili iweje?Ili tupostiane status ama?
  7. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Ukimwambia hivo anasema me sijiuzi [emoji3]kiufupi hawajielewi hata wao ni kina nani
  8. FundiNgoma

    Sijui tunaelekea wapi asee!

    Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3] That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa...
  9. FundiNgoma

    Hivi ni kweli kuna kitu kinaitwa Gundu?

    Yani najiuliza hivi kweli kitu gundu kipo au ni nadharia tu. Kuna ile mtu anaambiwa we una gundu yani mambo yake hayatoenda na hatokaa afanikiwe katika jambo lolote abadani,kama ni mafanikio atayasikia tu kwa wengine,kuna hicho kitu nasikia sana kuhusu Gundu,sasa niwaulize wana MMU maana hili...
  10. FundiNgoma

    Natamani kuacha kumcheat mke wangu

    Na ujanja ni upi Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  11. FundiNgoma

    Natamani kuacha kumcheat mke wangu

    Eti nafanyaje madam Palina Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  12. FundiNgoma

    Natamani kuacha kumcheat mke wangu

    Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa . Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni...
  13. FundiNgoma

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Muleba nije Bukoba Manispaa idara msingi Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  14. FundiNgoma

    Kuna wanaume watamu sana!

    Chagueni moja sasa mnatuchanganya bhana
  15. FundiNgoma

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Iliwahi nikuta scenario kama hiyo hiyo mwaka 2018 ,japo nashukuru Mungu nipo na binti yao mpaka leo Mzee ujinga aliacha siku hizi aliniheshimu
  16. FundiNgoma

    Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    We mpe hata akitangaza si ushampa havinaga ushahidi....
  17. FundiNgoma

    Mwanamke kushindwa kufika kileleni ni uzembe wako

    Asipokojoa ghetto shauri yake atakojoa kwenye boda boda [emoji3]
  18. FundiNgoma

    Umewahi kuuza mechi kwa mgonjwa wa HIV bila kujua?

    Haya mambo haya yasikukute Nakumbuka mwaka jana nilikuwa likizo home huko,tukapanga na wana twende kiwanja flani hivi ambacho kina bar kwa nje na club ndani tukaenjoy .... Tumefika pale tukaanza kugonga vitu mpaka saa saba hivi usiku kila mmoja akawa haelewi ,sasa tulipokuwa tumekaa kulikuwa...
  19. FundiNgoma

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwamba alikula kimasihara [emoji3]
Back
Top Bottom