Search results

  1. karv

    Vifurushi vya bima za afya

    Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Tanzania kuna makampuni mengi yanayotoa huduma ya bima hasa bima za Afya. Sasa ukiacha NHIF na CHF naomba kufahamu bei ya vifurushi vya bima za afya kutoka kwenye makampuni mengine ya bima. Natanguliza shukurani [emoji1488]
  2. karv

    Msaada wa haraka kuhusu brela

    Habari za wakati huu wapendwa Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
  3. karv

    Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

    Habari ya wakati huu Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo. Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain...
  4. karv

    Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

    Habari ya wakati huu Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo. Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain...
  5. karv

    Uzi wa matukio mbalimbali kwenye maisha ya ndoa

    Habari za wakati huu Moja kwa moja niende kwenye mada husika maana huu uzi nitaleta na utajumuisha matukio mbalimbali kwenye maisha yetu ya ndoa. Moderators msiuchanganye wala kubadilisha title ya huu uzi acheni usimame wenyewe watu wapate kujifunza changamoto mbalimbali zilizopo kwenye ndoa...
  6. karv

    Mjadala wa DP World ujikite zaidi kwenye hoja bila kuongelea Udini, Jinsia, Ukabila na Ukanda

    Habari zenu ndugu zanguni, Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu nielezee japo kwa uchache japo sio mbobevu sana wa haya mambo. Tangu kuibuka hii ishu ya DPW kumekuwa na mvutano mkubwa baina ya pande 2 pande wanaopinga na pande wanaounga mkono. Kwa upande wangu naona tatizo ni...
  7. karv

    Masoko ya mazao ya kilimo

    MIFUMO YA MASOKO YA MAZAO YA KILIMO Masoko ya mazao na bidhaa za kilimo ni muhimu kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuendeleza Sekta ya Kilimo. Aidha, ubora wa miundombinu wezeshi katika uzalishaji, usafirishaji, hifadhi na usindikaji wa mazao ya kilimo ni muhimu katika kuwezesha ukuaji wa...
  8. karv

    Kabla hujaanza kulima, mkulima hebu zingati yafuatayo

    1)Eneo shamba lilipo Kabla hujaanza kulima zao lolote, hebu kwanza angalia mahala shamba lako liipo. Je linafaa kwa kilimo au kulima zao ambalo unataka kulilima. Katika eneo lako hebu zingatia yafuatayo:- Aina ya udongo sio kila udongo una uwezo wa kusapoti kila aina ya zao lililopo shambani...
  9. karv

    Hali ya utoaji huduma za afya nchi unatisha

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana Kwanza niwape pole na moja kwa moja niende kwenye mada husika. Leo nimeamka siko sawa ikabidi niende kituo cha afya ili nipate hudumu kidogo. Nikaenda kituo cha afya cha kwanza binafsi nikauliza getini nikaambiwa nichukue namba 159 nikaona uongo...
  10. karv

    Nilichogundua kuhusu machangudoa

    Habari zenu mabibi na mabwana, Katika pita pita zangu na ufuatiliaji nimenote baadhi ya vitu kutoka kwa madada poa. 1) Washirikina Kama ambavyo mwenye duka anavyoenda kwa waganga ili apate mvuto wa wateja basi na wao pia huroga ili wapate mvuto kwa mwanaume. Kama unavyoenda mahala kununa kitu...
  11. karv

    If you have a breakdown, think first of all other road users

    . If you have a breakdown, think first of all other road users and - a) Get your vehicle off the road if possible; b) Warn other traffic by using your hazard warning lights if your vehicle is causing an obstruction.; c) Put a retro reflective warning triangle on the straight road at least 50...
  12. karv

    Kumbe haya mambo ya kulowekeana nguo na kufungiana ndani bado yapo?

    Habari zenu ndugu zangu, Kuna kipindi nilikuwa Tanga kikazi, sasa kwa bahati mbaya nilichelewa sehemu ya kukutana na wenzangu basi wenzangu walinitania sana eti nimelowekewa nguo.nBinafsi sikujaji sana nikaona ni utani tu kama ijulikanavyo kwetu vijana. Sasa kama miezi mitatu nyuma hapa...
  13. karv

    Watu ni wanafiki sana

    Habari zenu watanzania wenzangu Kwanza rejea uzi hapo chini Nimeshangaa kuona watu wengi mnasapoti mambo ya kijinga kama hayo. Watu wa hivyo hawastahili kupata msaada wowote. Hebu tuseme ukweli hapa angetokea shoga anasema anataka mke wa kumpa mimba muitikio wenu ungekuwaje najua yangekuwa...
  14. karv

    Use of lights

    Use of Lights........... There are different types of lights in a vehicle, which are intended to be used in different situations. As a driver, it is very important for you to know the functionof these lights and to use them in appropriate situations. The following are the guidelines for...
  15. karv

    Sababu zangu za kuoa single mother

    Habari za wakati huu Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu; ~ Mtamu sana. ~ Anajua kupenda. ~ Amekomaa kiakili. ~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi. ~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani...
  16. karv

    Kuwa makini kumchangua mtu wa kuwa na mahusiano naye

    Habari zenu mabibi na mabwana natumaini mpo wazima wa afya na maendelea poa naajukumu yenu Leo ningependa kuja na haya kwako kijana ambaye unampango wa kuoa siku zijazo basi ni vyema ukazingatia haya. Mwanaume Umetangulizwa Kuumbwa na Kupata Uhai Kabla ya Mwanamke ,,,Ili Upatikane Ubavu Wako...
  17. karv

    Jifunze kumpenda mwenza wako hata kama hakua chaguo lako la kwanza

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Leo katika pita pita zangu nimeona niwaletee hii japo kuwa wapo ambao wstapinga. Si kila mtu anapata bahati ya kuoa au kuolewa na mtu ambae alimpenda Mara kadhaa unajikuta kua mtu ambae ulimpenda kwa dhati alikuumiza Yeye alikua...
  18. karv

    Tuwe makini, baadhi ya wafanyabishara wa vitambaa Tandika sio waaminifu

    Habari zenu, Naamini kwa wale wakazi wa Dar wengi tunafahamu kwamba soko la tandika ni maarufu kwa uuzaji wa vitambaa mbalimbali kwa ajili ya kushonea nguo. Pamekuwa ni suluhisho la mafundi wengi wa kushona nguo pindi wanapotaka vitambaa vya aina mbalimbali kwa ajili ya wateja wao. Lakini cha...
  19. karv

    Amazing football facts

    1. Germany lost the most World Cup finals in football history (4 times) 2. Juventus lost the most UCL finals in football history (7 times) 3. Cristiano Ronaldo is the only player in history to win the Ballon d'or without winning a single trophy (2013) 4. Jorge Campos is a goalkeeper who...
  20. karv

    Sports memes

    Mlete mthunguuu Ni muda wa wanamichezo kufurahi na memes zetu za kimichezo
Back
Top Bottom