Search results

  1. Gembe

    Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?

    Heshima Mbele Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua? Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa atalisaidiaje Taifa? Je, Pesa hizi anazotumia kuweka watu wake kwenye Chama tawala atazirudishaje...
  2. Gembe

    Kudos to Hon. Pinda kwa kuanza kuwekeza Nchini: Wawekezaji si Lazima watoke Nje

    Wakuu Its has been so long toka nianzishe thread hapa ila nafurahi kuona JF ikizidi kukua na kupata wanachama wengi...Hongereni sana Kilichonikuna leo ni auli ya Hon. Pinda kuwa na yeye ni mwekezaji na kutoa kauli kuwa wawekezaji siyo lazima watoke nje. Zaidi ya yote kaongea kauli hii bila...
  3. Gembe

    UTETEZI: Namuunga Mkono JK katika miaka mitano ijayo (2010-2015)

    Ndugu wana Jamii wenzangu, Ni muda mrefu toka nimeandika maada katika jukwaa hili la siasa na hii imetokana na kutigwa na shughuli za hapa na pale ila kila mara nimekuwa nikipita humu na kusoma michango ya wanajamii wanaochipukia. Nimekuwa nikiguswa sana na watu ambao wamekuwa wakiendelea...
  4. Gembe

    Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

    Watanzania wenzangu, Siku zote nimekuwa nikiwahurumia sana kwa ajili ya matatizo yanayowakabili,ila hili la ujio wa timu ya Brazil nimelifurahia sababu ni moja ya michezo ambayo mnaipenda Kwa kuwa tumesikia na kuona na nimeukuu hapa chini basi nawasihi sana mgome kwenda kuwatazama Brazil na...
  5. Gembe

    Rangi za Uongozi wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM-CWT?

    uongozi wa juu wa CWT Sophia Simba-Mwenyekiti Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM Shamsa Mwangunga Hawa Ghasia Zainabu Mwamwindi Furahia Abdallah Fatuma Tawafiq Lucy Mayenga Lediana Mng’ong’o Subira Mohamed...
  6. Gembe

    Mdau wa nani Amjibu Mzee Mwanakijiji kuhusiana na VODACOM

    Hii nimeitoa kwa Nani ii kule: Mwanakijiji wameamua kukujibu sasa! Link:MICHUZI Mytake: Kwani Mzee Mwanakijiji alitoa AMRI?
  7. Gembe

    Kama tusipochukua hatua Tutakuja kulaumiwa na wajukuu zetu

    sihitaji kuongea mambo mengi ila habari ndiyo hiyo! Naona kama wameshatuelemea na hatuji tufanyaje,Sanduku la Kura limeshatengenezwa na siyo mbali sana ni kama mwaka bado! Mkishindwa kupanga safu nzuri sasa,nawaapia mtakuja kujuta na wajukuu zenu watalaam kizazi hiki kwa maombi.Watatuona...
  8. Gembe

    Al Jadawi yuko Tanzania?

    Heshima Mbele, Kuna mambo matatu nataka kujua 1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa 2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani? 3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please) Am...
  9. Gembe

    Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

    I have this Feeling, Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi. Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo...
  10. Gembe

    Harakati za kulikomboa Taifa hili: Siasa ni nini?

    Heshima Mbele, Baada ya muda mrefu wa kupaza sauti,takribani miaka mitatu ya kueneza mapinduzi ya kidemkrosia kupitia mijadala ya moto moto,imani yetu ya kujenga uwezo wa watu kuzungumzia mambo mabaya na kukemea mambo yote ya kifisadi. JF imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwafanya watu kama Dr...
  11. Gembe

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Heshima Mbele, Jana nilipata ujumbe wa simu toka kwa Mpwa wangu ambaye yuko chuo kikuu cha dar es salaa,Safari hii alikuwa akiniambia jambo la kusikitisha. Aliniandikia kuwa ile tovuti al maarufu ze utamu kuwa wamemtoa mhe rais kwa picha mbaya isiyo na heshima katika jamii, Na kwa haraka sana...
  12. Gembe

    Barua kwa Waziri Mkuu:Anza na wahalifu waliokuzunguka kwanza,DECI ni kushindwa kwenu

    Mheshimiwa Waziri mkuu, Awali ya yote naomba kukupongeza kwa hatua yako ya kuzungumzia suala la DECI,na kuonehsa jinsi suala hilolilivyo la kihalifu,Umefanya vyema sana kwa kuwa kwa baadaye litakuwa tatizo la serikali pindi wannachi watakapoanza kudai pesa zao.Pia ningependa kukopongeza kwa...
  13. Gembe

    Nchi ya watu wa kulalamika,yenye viongozi wagonjwa,walevi wa madaraka,wenye kutupuuza

    Heshima Mbele, Jana nilikuwa naongea na mpwa wangu kuhusuiana na mipango yake ya shule hasa ya chuo kikuu anakosoma,katika maelezo yake alilaumu jinsi ya ufundishaji katika vyuo,mpwa wangu aliniambai kuwa hawapi elimu kwa vitendo na ndiyo inachangia wao kutokuwa na uwezo wa kujieleza na...
  14. Gembe

    Mtoto wa wangwe awashutumu viongozi wa CHADEMA kwa kuwatelekeza

    Heshima Mbele, Kwa mlio Nyumbani na ambao mmeweza kusoma gazeti la leo la Mwananchi naomba mtupe habari zaidi sababu mie nimepewa kwa kifupi tu na Mhariri wa Gazeti moja la Nyumbani.Habari hiyo inahusiana na mahojiano kati ya gazeti la Mwananchi na zakayo wangwe kuhusiana na kutelekezwa kwa...
  15. Gembe

    Tumelifanyia nini Taifa? Je tunatakiwa tufanye nini zaidi kwa taifa ?

    Heshima Mbele, Mchana huu nimetafakari sana maneno ambayo nimeulizwa na Ndugu Msimbe.Sanctus kaniuliza mpaka sasa nimelifanyia nini Taifa,Inawezekana likawa swali langu ila ni swali ambalo tunapaswa kujiuliza kila mmoja wetu(hata yeye kama yeye amelifanyia nini taifa?). Ili swali si geni...
  16. Gembe

    PENDO MAGALUDA Ametutoka

    Heshima Mbele, Kam,a Mtakumbuka kipindi Flani Mkulu FMES(wazee wasauti za umeme) alieleza khali ya mgonjwa pendo magaruda.Kwa taarifa ambzo nimezipata toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ni kwmaba amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwa saa za Tanzania. Nitawapa Update Msiba uko...
  17. Gembe

    Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

    Heshima Mbele, Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa kisheria kwa Mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali. Nchi hii inaongozwa kisheria,na...
  18. Gembe

    National Insurance Corporation(NIC) Limefungwa?

    Heshima Mbele, Kwa taarifa nilizonazo ambazo nimepewa toka kwa mkulu mmoja wa shirika la Bima ni Kwamba Serikali imeagiza shirika hilo lifungwe wakati serikali ikiamua ni nini kifanyike kulinusuru shirika hilo. Habariz a ndani kabisa zinasema kuna baadhi ya watu wanataka kulichukua shirika...
  19. Gembe

    Nimetimiza Post 2000..Je naihitaji kubadilika?

    Heshima Mbele, Ni post yangu ya 2000 hapa Jamvini,furaha yangu kuu siyo kutimiza post 2000 ila ni mie kutumia muda wangu kuandika na kuchochea maendeleo ya nchi yangu Tanzania. Nimekuwa hapa toka sept 2007 ila nimeanza kusoma hapa jamvini toka linaanza na sikuweza kuchangia mwanzoni kwa kuwa...
  20. Gembe

    Ombi langu Maalum kwa Mhe Rais:Naomba uwaachie Rais wa DARUSO na Katibu wa TGNP

    Mheshimiwa Rais , Naomba nikupe pole na jinsi khali ya uchumi inavyoendelea hapa nchini,Naona jitihada zako mpya za kuweza kufufua uchumi wa nchi hii zikianza kwa nguvu mpya na kasi mpya tena.Mikutano yako na viongozi wa BOT,Wizara ya Fedha itasaidia sana japo kuwapa watanzania maisha bora...
Back
Top Bottom