Search results

  1. Gembe

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Ukiicha ufisadi wa pesa bado kuna Udini wa khali ya juu. Mkurugenzi aliyeondolewa alikumbatia udini sana na ilikuwa hatari kwa umoja wa kitaifa.
  2. Gembe

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Katika watu wazushi ni YO YO..huyu jamaa mtata sana..
  3. Gembe

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Umemsahau Lunyungu. Tumetoka mbali...
  4. Gembe

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Anaenda kuzungumza nini?- Huyu Jamaa anapenda sana ukubwa, never see before..
  5. Gembe

    Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Ripoti ya PAC ni dhaifu na ukiangalia ilitengenezwa ili kuilinda serikali isianguke, wakakosa sehemu ya kusimamia na sitegemei kama Rais atamwondoa Muhungo na Maswi. Moja ya hoja za kipuuzi ni kulazimisha waliopewa pesa na ruge walipie kodi utadhani kila mtu anayepokea pesa analipia kodi. PAC...
  6. Gembe

    DPP Feleshi ahamishwa nafasi, Nani kumrithi? - Rais Kikwete ateua majaji wa mahakama kuu ya Tanzania

    Nipo, Mambo kama haya hayapiti hivi hivi bila kuchangia. Ukiangalia utaona ofisi nzima ya Kakukuru imeondolewa kuanzia Naibu Mkurugenzi Mkuu, Mchunguzi mkuu na hii inaonyesha kuna mabadiliko makubwa yanataka kutokea PCCB. Nilitegemea Lilian angechukua nafasi ya Hosea ambaye atastaafu hivi...
  7. Gembe

    DPP Feleshi ahamishwa nafasi, Nani kumrithi? - Rais Kikwete ateua majaji wa mahakama kuu ya Tanzania

    M.M Uteuzi huu si wa kufurahia hata kidogo, kuna jambo linatengenezwa ili kuwanufaisha baadhi ya wagombea Urais. Mark my words!
  8. Gembe

    Ujumbe mzito wa John Mnyika kwa Wana-Chalinze, siku ya kufunga kampeni na kupiga kura

    Huu ni moja ya chaguzi ambao chadema watashindwa vibaya sana. Sitarajii wa kupata hata ten percent.CDM wanatakiwa kujipanga upya Kama Chama, kuanzia uongozi Mbinu za ushindi pamoja na sera. Watanzania wamebadilika sana kuhusu mtazamo wa siasa na maendeleo, wanataka Vyama vitakavyoonesha ni...
  9. Gembe

    Wanawake Maarufu 60 Africa 2013: Elsie Kanza mtanzania pekee!

    Hawa wazungu wasanii, huyu Elsie kalifanyia nini Taifa? Zaidi ya kuwaconnect wazungu Kwa Dili za kulimaliza Taifa.. ujinga mtupu.. That lady ndo aliwaleta wef...she is not popular in tz, how comes she become the best from tz? Advocacy ipi keshafanya?
  10. Gembe

    Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

    wewe dogo unaanza kulewa umaarufu, Mkurugenzi wa UWT si saizi yako na uwe na nidhamu. Usipende kuweka siasa kwenye masuala yanakozidi umri na nakushauri utafute shughuli ya kufanya kuliko kuwa kibaraka.
  11. Gembe

    Now it is for sure Kikwete will support Lowassa 2015

    Namsikitikia sana Mamvi, anarudia makosa yale yale yalimfanya aondolewe kwenye uwaziri Mkuu. Washauri wake ni wasahaulifu sana na matukio ya kisiasa. For the benefit ya vijana ambao ni wageni hapa Jamvini, tabia moja ya EL ambayo inaweza kumkera yeyote ni yeye kutaka kuonekana anaweza...
  12. Gembe

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Mkuu MM, Serikali inatakiowa kuchukua hatua na nitafanya jitihada za kuwasiliana na Rais kikwete. Wamekisahau na wanaogopa ila ni bora kuondoa shari mapema
  13. Gembe

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Wakuu Leo sina maneno mengi zaidi ya kuitaka serikali ichukue hatua za haraka na za dhati kuhakikisha wale wote ambao wamehusika na matukio yafuatayo wanakamatwa, wanafunguliwa kesi na kuhukumiwa adhabu(hata iwe ya kifo) 1.Waliohusika na mauaji ya Mchungaji kule Geita 2.Waliohusika na Mauaji...
  14. Gembe

    TANZIA: Mbunge wa zamani na Mwenyekiti wa SSRA Siraju Kaboyonga afariki Dunia

    Msiba mzito sana kwa taifa. Mwenyezi Mungu aiweke Mahali pema peponi roho ya Mtumishi wa serikali Siraju Kaboyonga.. Msiba upo wapi?
  15. Gembe

    Ridhiwani kaenda Ukerewe?

    Whats up? Christmas inataka kuzaa nini? Please.{PM}
  16. Gembe

    Tatizo la Takwimu: CCM imekataliwa japo inapendwa; CHADEMA inapendwa lakini...

    M. M Hili ndilo tatizo la mtoto anayedekezwa, hataki kuambiwa chochote na hili litawaathiri sana CDM katika kujipanga ili waweze kupewa dhamana ya Uongozi. Kwenye siasa hasa kwa chama ambacho haijawahi kutawala inahitaji Busara ya khalli ya juu sana hasa kusikiliza yale ambayo hautaki...
  17. Gembe

    Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?

    Ndiyo!
  18. Gembe

    Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?

    Heshima Mbele Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua? Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa atalisaidiaje Taifa? Je, Pesa hizi anazotumia kuweka watu wake kwenye Chama tawala atazirudishaje...
  19. Gembe

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    I salute you M. M Mwanakijiji.
  20. Gembe

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    Mkuu M.M Mwanakijiji et all.. Jana nilisikia kuhusu hili na nimeonelea ni vyema nikachangia machache baada ya kusoma Barua za SIRI. This is wehre I like JF 1.Hivi ni sheria gani ambao inamtaka mkurugenzi yeyote kuiharifu serikali kama kuna mgao wa dhararula? Dharula siku zote unaipredict...
Back
Top Bottom