Nani kakudanganya kuwa mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana! Kwa kuuza nini? Maembe na tumbaku?
Tumbaku yenyewe Wanyamwezi wamesusia kulima kutokana na mizengwe ktk vyama vya Ushirika.
Then unadai wewe Msabato; Usabato haukufikishi mbinguni yakhe!
Namkumbuka Gaddafi kwa kumsaidia Iddi Amin katika vita ya Tanzania na Uganda.
Pia namkumbuka kuratibu mauaji ya abiria zaidi ya 250 wasio na hatia ktk anga la Lockerbie, ajali iliyohusisha ndege ya Pan Am Flight 103.
Mleta Uzi, wewe endelea tu kulia machozi ya mamba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.