Search results

  1. V

    Dr Kafumu anusa kushindwa kesi ya Uchaguzi Igunga, amkataa Jaji......

    hawa jamaa ni wanaakili sana kwanza wanataka watuaminishe kuwa jaji yupo upande CDM hafu badae watageuza kibao kwenye hukumu CDM wakilalamika wataambiwa jaji alikuwa upande wao so they have to take care things is like game.
  2. V

    Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

    sina uhakika sana na uwezo wako any way ni hv hapa utamsifia filihunzombe kwasaba anamwelekeo wa kuleta maendeleo na huyo mkuu wa koa kwa unavomfahamu lakini siyo hao uliowaorodhesha na kama hzo lasilimali zilikuwepo tangu kuanza kwa CCM mbona hawakuzitumia iweje leo ushawishike kirahisi kiasi...
  3. V

    Kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Deo Filikunjombe amuumbua Stella Manyanya

    mheshimiwa deo hana sababu hata moja ya kuogopa ccm akiacha inchi inatafunwa kwasababu ukimfukuza ccm anakubalika CDM kwa kiasi kikubwa na ukimtisha uhai kwa alichokifanya mpaka sasa hata akifa atakufa na sifa ya uzalendo kwa inchi yake na kama unamtishia ubunge wanaichi hawachagui chama...
  4. V

    Hii ndio CV ya Mwana CHADEMA aliyeko ndani ya CCM ila Watanzania bado hawajamfahamu vizuri...

    Namkubali sana mbunge wangu kwa alichokifanya akiwa ndani ya ccm je atakapo ingia upinzani?.
  5. V

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    RIP kanumba.sisi tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi, mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi amina
  6. V

    Clouds FM muige mfano CBE kwa kuvaa mavazi ya heshima!!!

    ishu siyo kaz ya mungu ni mbaya aaa tunachosemea ni kuwa maadili yetu hayatutaki tufanye hivo na siyo kila sehemu ya mwanamke inahtaji kuonekana ovyoovyo kama mbwa.
  7. V

    Pongezi kwa chuo cha cbe

    Habari wana jf kwa moyo moja napenda kuungana na waungwana wote wenye mapenzi mema na maadili ya inchi yetu kuwapongeza wana CBE Kwa msimamo wao wa mavazi waliotoa ifahamike ukiitwa msomi siyo tu kupata mshahara na kufanya kazi bali unawajibu pia wa kuwa na muonekano kama msomi siyo kama...
  8. V

    Kuna halmashauli gani inayotesa watumishi wake kama mbeya vijijini?.

    Habari wana jf nimeamua kuandika thread hii kutokana na manyanyaso niliyopata toka halmashauli hii kwa muda miezi kumi tangu kuajiriwa bila kuingia kwenye mfumo wa mishahara nakuwa sijalipwa mishahara kwa muda wote huo. Hivo unatakiwa kuandika barua ya kupata salary advance kila mwezi hadi...
  9. V

    Kwa anayejua namna ya kuomba exemption kwa halmashauli unapoingiza gari.

    Mi ni mwajiriwa wa halmashauli nahitaji kuingiza gari hivo naomba kujua namna ya kupata punguzo la kodi TRA kwa watumishi wa selikari
  10. V

    Kunauhalali wa mtumishi anayeajiriwa halmashauli kulipwa pesa ya kusafilishia mizigo?

    Habarini wana JF Mimi ni mwajiriwa katika moja ya halwashauli kwenye hii halmashauli kila mtu anayeomba kupewa pesa ya kusafilishia mizigo anajibiwa kuwa labda apewe gari sasa kwakuwa naamini utawala bora ni ule utawala unaozingatia shelia na kwakuwa halmashauli nyingi watu wanalipwa naomba...
  11. V

    Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

    kama katiba yetu inavosema mtu mwenye umri kuanzia miaka 18 akiri timamu na mtanzania unaruhusiwa kugombea zaidi ni kuwa kanumba yeye anajina hivo huwezi kumlinganisha na baadhi ya magamba. Isipokuwa kwa wabunge wa CDM ni makini sana na sifahamu utaratibu wanaotumia kuwapata watu makini kiasi...
  12. V

    BEI MPYA YA UMEME: CHADEMA, wasomi, wanaharakati wapinga bei mpya

    Mungu tunusuru na hili janga tuondoshee wachumia tumbo na wenye mawazo mgando kwenye safu ya uongozi na watalamu. Hiv tunaosoma kwa kodi za wanainchi huwa tunajiuliza tunawarudishia fadhira gani walipa kodi?. Kwasababu kila kunapokuwa na shida kupanda kwa gharama ya vitu mbalimbali hata kwa...
  13. V

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Ni wazi tukiwa vitani na makamanda wakifa kwa kasi hii unaweza kukata tamaa lakini tuwape pole sana wafiwa lakini tutiane moyo wapiganaji wote tusikate tamaa damu zinazomwagika ni ishara ya ukombozi. Najua ni ngumu kukubali lakini ushawahi kujiuliza kuwa kunaumhimu gani wakuishi unateseka umekaa...
  14. V

    Nyaraka za Dr Slaa si lolote si chochote - Spika

    sina uhakika na uelewa wako ila ngoja tuzungumzie hyo thread yako:ni mwanasiasa gani ambaye anamvuto kuliko dr.wa ukweli siyo dr. Wakutunukiwa ya slaa yani mapokezi yake utakubali kuwa kweli slaa ni chaguo la watu na hiyo inaonyesha kuwa slaa hajachuja na hahitaji mbinu ya kipuuzi kama unavosema...
  15. V

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Nakusuport kumbuka ari iliyopo hivi sasa ya kuwachukia magamba inatokana na elimu kubwa iliyotolewa na cdm hivo hata kama katiba ikibaki lakini watu wakielimishwa vya kutosha bado uwezekano wakuliondosha hili janga la kitaifa upo mkubwa na cdm ikichukua ichi au wabunge 2015 wakiongezeka ndio...
  16. V

    Ni kweli tanzania tunahitaji kizazi chenye maadili?

    Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya miss Tanzania mashindano ambayo wahusika hupita kukwaani nusu uchi huku watu na akili zao...
  17. V

    Upandishwaji wa bei ya umeme itatusaidia?

    Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei tunazoziacha au ndo byby, 2. nikweli pesa zitakazopatikana baada ya ongezeko hili ni kweli zitafanya kazi...
  18. V

    Upandishwaji wa bei ya umeme itatusaidia?

    Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei tunazoziacha au ndo byby, 2. nikweli pesa zitakazopatikana baada ya ongezeko hili ni kweli zitafanya kazi...
  19. V

    CHADEMA yatambua mamlaka ya umma ni nini

    hapana we sio mzima haaa!?.
  20. V

    Kumwalika Ndesamburo kwamponza mchungaji

    Ivi mbona mh. Lowasa amealikwa sehemu mbalimbali makanisani na akathubutu kutoa mtazamo wake kuhusu tanzania nakutokea vita mbona mapadre hawakukamata.
Back
Top Bottom