Search results

  1. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Habari, naomba msaada kwa aliyemwelewa mheshimiwa waziri makamba hapa atusaidie.
  2. frenk julius

    Simba tunatest mitambo

    Hapo vip wanasimba Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  3. frenk julius

    GSM hawafai kudhamini timu

    Habar jf Hawa GSM hawafai kudhamini timu yoyote hapa nchini, tumeshuundia miaka 3 walichokifanya ndani ya yanga ni ujaja jaja tu, Hatujawahi kuona yanga ikikaa miaka 3 ikiwa na mdhamini alafu ikakosa ubingwa Matokeo mabovu ya timu zilizominiwa na GSM msimu huu ni mwendelezo wa jaja yao, mfano...
  4. frenk julius

    Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

    Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
  5. frenk julius

    Kwa hili GSM wamefanikiwa

    Habar jf, Niwapongeze gsm kwa kufanikiwa kumnyofoa aliyekuwa ceo wa simba hongeleni sana. Lakini pia mmefanikiwa kuzima maswali yote ya uongo wenu kuhusu kuwadanya mashabiki kwamba mmewasajili wachezaji tengemeo wote kama nahoha Papy Shishimbi na Bernard Morrison. Mmefanikiwa sana kucheza na...
  6. frenk julius

    Morrison Mali halali ya Simba

    Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja...
  7. frenk julius

    Mwakilishi aliyesaini mkataba wa La Liga ni yupi?

    Kuna swali watu wanajiuliza mwakilishi wa sevilla/Laliga hapa ni yupi?
  8. frenk julius

    Shiza Kichuya: Mtoto karudi nyumbani

    Baada ya tetesi kwamba kasaini Yanga, leo yeye mwenyewe kathibitsha hawezi kuacha kurudi nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app =====
  9. frenk julius

    Wakala wa James kontei avurunga usajili wa yanga

    Wakala wa James kotei ameikatalia club ya kaizar chief kumtoa kotei kwa mkopo kwenda yanga Awali uongozi wa yanga kwa kushilikiana na mdhamini wao GSM walikubaliana na kaizer chiefs kumtoa nyota huyo kwa mkopo Yanga Wakala wake aliweka ngumu na kuitaka kaizer chief ivunje mkataba kama...
  10. frenk julius

    Anayejua malengo ya harambee ya Rais Magufuli Zanzibar

    Habar wana jf Rais ameendelea na ziara ya siku 5 hapa kisiwani Zanzibar na leo amefungua hotel ya Verde azam luxury resort Lakini kilichotuchanganya ni kuendesha halabe ya vijana Lakin hatujajua hiyo halambee ilikuwa na malengo yap Mwenye kujua malengo hayo atusaidie Sent using Jamii Forums...
  11. frenk julius

    Mapindunzi: Fainaly Simba vs Mtibwa

    Habar: simba na motibwa zimefanikiwa kutinga fainaly baada kuzitoa azam ya yanga Nn maoni yako mdau Sent using Jamii Forums mobile app
  12. frenk julius

    Kuelekea Darby; fukuzafuza yanga yashamilli

    Habar, Siku chache tulisikia uongozi wa yanga ukimsimamisha meneja wao .Dismas ten kwa kile kilichodaiwa kuwavalisha wachezaj a bech la ufund jezi zisizotakiwa Jana tena tukasikia wamemsimamisha kaz kwa mda usiojulika mpiga picha wao kwa kosa la kuingia kambini bila ruhusa. Swali dogo tu hapo...
Back
Top Bottom