Search results

  1. N

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Lengo la cDM siyo kumwondoa Kikwete madarakani bali kuondoa Ccm madarakani 2015 hivyo kwa sasa wanatimiza wajibu wao kwa wananchi(kutetea matatizo ya wananchi na kuiumbua serikali inaposhindwa wajibu),hivyo Cdm sio kama NTC,MAGEUZI LAZIMA.
  2. N

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Ntc imeanzishwa kwa interest za western kwa hiyo inakidhi interest zao tu,chadema iko kwa ajili ya wote sio mafisadi sawa? Amani haiji ukiwa na njaa bali utulivu, tukuze uchumi amani itakuwepo, utaifanyia nini Tanzania kama una fikra za ccm, amka kijana TUMECHOKA MANENO TU, VITENDO LAZIMA.
  3. N

    Wakina dada kuvaa viatu vya Plastic,je ni urembo au umasikini ?

    Yote kwa yote, tukumbuke bidhaa za kwetu kama viatu vya ngozi mfano viatu vya kimasai/shanga vinapendwa sana Ulaya,Bidhaa za ngozi zinaendana na mazingira yetu pia ni Urembo.
  4. N

    Wakenya tusaidieni viatu vya watoto wa shule

    Tuna viwanda vya kuprocess leather vingi tu,tatizo wabongo hamuoni vya nyumbani,viatu vya ngozi vinazalishwa sana tu tena viwanda vyake vinakua,KARIBUNI-WOISO PRODUCTS.COM/HIMO TANNERS&PLANTERS.COM,Kwa bidhaa imara za ngozi ya hapa hapa Tzania,tupo,DAR,MBEYA,MOSHI,KIBAHA,ARUSHA na mawakala...
Back
Top Bottom